chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Tukubali ukweli, CHADEMA tumemkosea Rais Samia

    Ameingia madarakani tukiwa na hali mbaya sana. Maana tulikuwa tumevunjiliwa mbali na CCM yao. Tukapewa ruhusa ili tufanye mikutano ya kidigital ili walau hata kidogo kuwe na nguvu ya upinzani. Badala yake ni kutumia nafasi hii vibaya. Kumletea dharau na kumtishia Sasa ameonyesha ukuu wa...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA waombe radhi Umma wa Watanzania kwa kutaka kuleta uvunjifu wa Amani japokuwa wamedhibitiwa

    Mpaka sasa hivi wamedhibitiwa kwa maghasia waliokuwa wanaratibu kuyafanya kwa kisingizio cha kutaka kudai katiba mpya. Madhari hiki ni Chama cha Umma na kwa kuwa kipo chini ya mwavuri wa msajiri wa vyama vya siasa. Basi wanapaswa kuomba radhi ili umma wa watanzania wawasamehe. My take: Kuwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Polisi yavamia kikao cha ndani cha CHADEMA jimbo la Segerea, Patrick Asenga na wenzake wakamatwa

    Hii ndio taarifa ya sasa kutoka Dar es Salaam, kwa sasa Mwendo ni ule ule wa kuhakikisha Haki za kisiasa za CCM kujibu hoja za wapinzani zinaporwa na Jeshi la polisi , ambalo sasa ni dhahiri limechukua sehemu ya CCM kwenye siasa za Tanzania , hasa baada ya CCM yenyewe kuishiwa hoja za utetezi...
  4. JamiiForums Tanzania Sune Mushendwa akiwa na Bendera ya Chadema

    Naam, wale waliosema chama cha Kichaga, sijui chama kilichokufa! Walete akili zao huku waone! We are moving mountains. Policcm mkae mguu sasa
  5. JamiiForums Tanzania Busara za Mkurugenzi mteule halmashauri ya Mkalama huko Singida Bi. Mwenda

  6. JamiiForums Tanzania Maoni: Halima Mdee na wenzake wajiuzulu ubunge kuungana na CHADEMA kumpigania Mbowe

    Wadau nawasalimu, Nichukuwa nafasi hii kuwashauri japo sio lazima kuufuata ushauri wangu Wabunge 19 waliofukuzwa Chadema yaani Halima Mdee na wenzake. Naamini wao binafsi wanaujua ukweli uliowafikisha bungeni ulivyoratibiwa na Magufuli, Tume ya Uchaguzi na bunge na sio chama chao lengo likiwa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kama Wewe ni Mwana-CHADEMA, chama kinakuhitaji kuliko wakati wowote

    Sidhani kuwa kuna wakati wowote ambapo chama kiliwahi kukuhitaji kama ilivyo kwa wakati huu. Pengine utakuwa na sababu zako maalum zilizokufanya uwe mwanachama wa chama hicho, lakini hata kama sababu mojawapo si kwa sababu ya chama chako kusimamia HAKI, UHURU na DEMOKRASIA, bila shaka wajibu...
  8. JamiiForums Tanzania Huu mjadala wa kususia bidhaa na huduma ni hatari kwa uchumi wa nchi

    Kuna mjadala unaendelea space pale twitter aisee kama haya maazimio ya kususia bidhaa na huduma yatafanikiwa hakika itakuwa hatari kwa uchumi. Ushauri, Serikali wakutane na wapinzani haraka maana hata mishahara ya mapolisi inaweza kukosa huko mbeleni. Ni ushauri tu mnaweza kuufanyia kazi au...
  9. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu: Freeman Mbowe (CHADEMA) afungua shauri kupinga mashtaka dhidi yake

  10. JamiiForums Tanzania Ushauri: CHADEMA watoe tamko na kuchukua hatua hii

    Habari zenu ndugu zangu. Mara baada ya kusikia tangazo la kuhamasisha maandamano kutoka kwa katibu mkuu wa Chadema, nilikuwa nashauri viongozi wa CHADEMA wafanye mambo haya hapo chini ili kuonesha umma wa watanzania na dunia kwa ujumla kwa wapo serious na kile wanachokisema. Lakini pia hii...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Staili ya Mwigulu ya kuchora majina yake kwenye mawe na miti kutumika na CHADEMA kumtetea Mbowe

    Kumekuwa na mkakati mkali wa BAVICHA na BAWACHA kupata fedha na kuwalipa vijana wa vijiweni mikoa yote ili waandike maneno MBOWE si GAIDI kwenye mawe na miti mikubwa mikubwa pembezoni mwa barabara kama alivyofanya Mwigulu wakati akitafuata Urais wa nchi hii mwaka 2015. Hii mbinu ninaona italeta...
  12. JamiiForums Tanzania James Millya: CHADEMA wanamuonea Rais Samia kwa kuwa ni Mwanamke

    Hawa wakina John Heche wanaodai Katiba Mpya kwa sasa kwanini katika kipindi cha miaka mitano iliyopita hatukuwasikia wakidai Katiba Mpya kwa kuanzisha makongamano yao au wanamwonea Rais kwa kuwa Rais wetu wa awamu ya sita, Samia Suluhu ni mwanamke" : James Millya
  13. JamiiForums Tanzania Mbowe na CHADEMA wana itikadi na sera ya ubinafsi

    Kwa wale wasiyoelewa wala kuona itikadi za vyama ingetosha tu kumsikiliza mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe ili kujua CHADEMA wanapigania nini. Ukisikia jinsi Mbowe anamponda Magufuli mtu ambaye kabla ya kuwa Rais wa JMT kwa miaka 20 amekuwa anasimamia ujenzi wa miundombinu ya barabara nchini kwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Kuna watu wanasali Novena kumlilia Mungu leo siku ya tano

    Anaandika Askofu Bagonza Chanjo Mbowe ,Katiba mpya, Tozo za miamala na Rais Samia. Mambo haya 5 yameshikilia mustakabali wa nchi kwa sasa. Amani, haki, Maendeleo na ustawi vinatikiswa. Jiulize: 1. Kwa nini itumike nguvu na jitihada za ziada kuwaaminisha watu wakachanje wakati afya ni mali...
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA vs CCM - Katiba mpya

    Wana bodi, Katika kipindi hiki ambacho wana CHADEMA wanakamatwa kwasababu ya nia yao ya kutetea katiba mpya ni vyema kuji uliza kama katiba tuliyo nayo sasa hivi ina mapungufu na kama utumiaji wa nguvu na vyombo vya usalama ni sahihi. Vile vile katika kupinga au kutaka katiba mpya ni vyema kwa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mtego: Wanafanya kila mbinu kutaka wafuasi wa CHADEMA waandamane ili wapate sababu ya kuifuta CHADEMA

    CCM sio tena chama cha siasa, bali ni kakikundi cha watu walioamua kutumia dola kulinda madaraka waliyonayo(kubaki madarakani) Kwa sasa wamegundua kutumia mabavu kupambana na upinzani hasa CHADEMA hakusaidii hivyo wamekuja na mkakati wa kutaka kuifuta CHADEMA kama alivyosema Katibu Mkuu wa...
  17. JamiiForums Tanzania Mbeya: Polisi wadaiwa kuwakamata wanachama wa CHADEMA zaidi ya 30

    Polisi Jijini Mbeya imewakamata wanachama wa CHADEMA zaidi ya 30 usiku huu. Waliokamatwa ni Pamoja na -Joseph Mbilinyi (Sugu) -Emmanuel Masonga (Katibu wa Kanda ya Nyasa) -Paschal Haonga( Alikuwa Mbunge wa Mbozi) na Viongozi na wanachadema wengine wengi.
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA tumeshindwa kujisimamia, hatuwezi kuikosoa CCM

    Tuna maamuzi ya ajabu ambayo yanaonyesha kuwa chama hakipo makini. Jambo dogo tu utasikia michango ya kila aina. Na michango yenyewe haipitii akaunti ya chama. Mbowe kaswekwa ndani, kila mtu anataka kuanzisha michango. Tena haipitii kwenye akaunti ya chama. Hii dalili tosha kuwa chama...
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA yaiteua tarehe 5 Agosti 2021 kuwa siku ya kupinga mashitaka dhidi ya Freeman Mbowe nchi nzima

    Akizungumza na Waandishi wa Habari wa Mataifa mbalimbali , wakiwemo na waandishi wa Habari wa Tanzania Kwenye ofisi za chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam , huko Kinondoni , Katibu Mkuu wa chama hicho Mh John Mnyika , alitangaza rasmi kwamba tarehe 5/8/2021 kuwa siku ya Watanzania wote...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mikoa 20 yathibitisha kuhudhuria kesi ya Mbowe Kisutu Agosti 5, 2021

    Kesi ya kubambikizwa Ugaidi Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe inatarajiwa kutajwa Alhamisi August 5 Kisutu jijini DSM. Akizungumza na wanahabari jana Jumamosi Katibu Mkuu John Mnyika aliwataka wana Chadema na wananchi kufurika Kisutu siku ya Alhamisi August 5 ili kufuatilia kwa ukaribu kesi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…