chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Rutunga M

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

    IGP Simon Sirro leo Agosti 2, 2021 akizungumza kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe IGP Simon Sirro leo Agost 2,2021 amefanya mkutano na Waandishi wa Habari ambapo amezungumza mbalimbali kuhusu kukamatwa na Mwenyekiti wa Chadema pamoja na vuguvugu la kutaka kufanya maandamano...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Dar: Polisi wafanya mazoezi ya utayari wa kupambana na uhalifu wowote. RCP Muliro asema hawataruhusu kikundi cha watu kutengeneza hofu

    Askari wa jeshi la polisi wakiongozwa na kamanda wa kanda maalumu afande Muliro leo wamefanya mazoezi maalumu. Afande Muliro amesema mazoezi hayo ni ya kawaida kwa askari kujiweka tayari kupambana na uhalifu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Viongozi wa CHADEMA Mjini wakamatwa na Jeshi la Polisi

    Taarifa kutoka Bukoba mjini zinasema kuwa Jeshi la Polisi mkoani Kagera limewakamata viongozi wa CHADEMA na makada wa chama hicho waliokuwa wanafanya kikao cha kawaida katika ofisi za CHADEMA mkoani humo. Hivyo ndivyo Jeshi la Simon Sirro lilivyogeuka kuwa jeshi la uonevu, uonevu huu mpaka...
  4. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kutiwa nguvuni Mbowe isiwe sababu ya kukata tamaa. Tujipange tuwe na CHADEMA isiyokuwa mali ya watu

    Najua ukweli wangu huwa unawachukiza. Lakini fitina kwangu mwiko nitasema kweli daima. Chama chetu ni mali ya watu binafsi. Ni mali ya watu ambao wakiwa hawapo kila kitu kinakwama. Sasa Chairman yupo kunyavu. Kila kitu kipo likizo. Tusikate tamaa tuabadili mfumo wa Chama chetu. My take...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za ugaidi dhidi ya Mbowe zimeonesha picha kamili CHADEMA sio chama makini, kimejaa wapiga kelele

    Kama kweli chama makini lazima kiwe na watu makini basi Chadema ni chama mfu. Hakina watu makini kimejaza wapiga kelele wasiojitambua. Mwenyekiti wao amepata tuhuma, tena tuhuma nzito. Wao kama wanajumuia wa Chadema tulitalajia watupe mrejesho kuwa Mbowe kama chairman na mfanyabiashara mahiri...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kusema Kweli CHADEMA inatisha, nchi ipo kwenye STANDBY

    SIo la kuchekelea NCHI kesho inaingia kwenye Standby na ukiangalia CHADEAMA tokea mwanzo magwanda yao yamekalia kijeshi, hujisemea pengine inamahusiano na Jeshi wanaitana Makamanda, kesho si siku ya kulala mpaka ukakoroma. Tanzania si shwari tena.
  7. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Tukubali ukweli, CHADEMA tumemkosea Rais Samia

    Ameingia madarakani tukiwa na hali mbaya sana. Maana tulikuwa tumevunjiliwa mbali na CCM yao. Tukapewa ruhusa ili tufanye mikutano ya kidigital ili walau hata kidogo kuwe na nguvu ya upinzani. Badala yake ni kutumia nafasi hii vibaya. Kumletea dharau na kumtishia Sasa ameonyesha ukuu wa...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waombe radhi Umma wa Watanzania kwa kutaka kuleta uvunjifu wa Amani japokuwa wamedhibitiwa

    Mpaka sasa hivi wamedhibitiwa kwa maghasia waliokuwa wanaratibu kuyafanya kwa kisingizio cha kutaka kudai katiba mpya. Madhari hiki ni Chama cha Umma na kwa kuwa kipo chini ya mwavuri wa msajiri wa vyama vya siasa. Basi wanapaswa kuomba radhi ili umma wa watanzania wawasamehe. My take: Kuwa na...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Polisi yavamia kikao cha ndani cha CHADEMA jimbo la Segerea, Patrick Asenga na wenzake wakamatwa

    Hii ndio taarifa ya sasa kutoka Dar es Salaam, kwa sasa Mwendo ni ule ule wa kuhakikisha Haki za kisiasa za CCM kujibu hoja za wapinzani zinaporwa na Jeshi la polisi , ambalo sasa ni dhahiri limechukua sehemu ya CCM kwenye siasa za Tanzania , hasa baada ya CCM yenyewe kuishiwa hoja za utetezi...
  10. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Sune Mushendwa akiwa na Bendera ya Chadema

    Naam, wale waliosema chama cha Kichaga, sijui chama kilichokufa! Walete akili zao huku waone! We are moving mountains. Policcm mkae mguu sasa
  11. BestOfMyKind

    JamiiForums Tanzania Busara za Mkurugenzi mteule halmashauri ya Mkalama huko Singida Bi. Mwenda

  12. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Maoni: Halima Mdee na wenzake wajiuzulu ubunge kuungana na CHADEMA kumpigania Mbowe

    Wadau nawasalimu, Nichukuwa nafasi hii kuwashauri japo sio lazima kuufuata ushauri wangu Wabunge 19 waliofukuzwa Chadema yaani Halima Mdee na wenzake. Naamini wao binafsi wanaujua ukweli uliowafikisha bungeni ulivyoratibiwa na Magufuli, Tume ya Uchaguzi na bunge na sio chama chao lengo likiwa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kama Wewe ni Mwana-CHADEMA, chama kinakuhitaji kuliko wakati wowote

    Sidhani kuwa kuna wakati wowote ambapo chama kiliwahi kukuhitaji kama ilivyo kwa wakati huu. Pengine utakuwa na sababu zako maalum zilizokufanya uwe mwanachama wa chama hicho, lakini hata kama sababu mojawapo si kwa sababu ya chama chako kusimamia HAKI, UHURU na DEMOKRASIA, bila shaka wajibu...
  14. Genius Mzee

    JamiiForums Tanzania Huu mjadala wa kususia bidhaa na huduma ni hatari kwa uchumi wa nchi

    Kuna mjadala unaendelea space pale twitter aisee kama haya maazimio ya kususia bidhaa na huduma yatafanikiwa hakika itakuwa hatari kwa uchumi. Ushauri, Serikali wakutane na wapinzani haraka maana hata mishahara ya mapolisi inaweza kukosa huko mbeleni. Ni ushauri tu mnaweza kuufanyia kazi au...
  15. Informer

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu: Freeman Mbowe (CHADEMA) afungua shauri kupinga mashtaka dhidi yake

  16. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Ushauri: CHADEMA watoe tamko na kuchukua hatua hii

    Habari zenu ndugu zangu. Mara baada ya kusikia tangazo la kuhamasisha maandamano kutoka kwa katibu mkuu wa Chadema, nilikuwa nashauri viongozi wa CHADEMA wafanye mambo haya hapo chini ili kuonesha umma wa watanzania na dunia kwa ujumla kwa wapo serious na kile wanachokisema. Lakini pia hii...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Staili ya Mwigulu ya kuchora majina yake kwenye mawe na miti kutumika na CHADEMA kumtetea Mbowe

    Kumekuwa na mkakati mkali wa BAVICHA na BAWACHA kupata fedha na kuwalipa vijana wa vijiweni mikoa yote ili waandike maneno MBOWE si GAIDI kwenye mawe na miti mikubwa mikubwa pembezoni mwa barabara kama alivyofanya Mwigulu wakati akitafuata Urais wa nchi hii mwaka 2015. Hii mbinu ninaona italeta...
  18. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania James Millya: CHADEMA wanamuonea Rais Samia kwa kuwa ni Mwanamke

    Hawa wakina John Heche wanaodai Katiba Mpya kwa sasa kwanini katika kipindi cha miaka mitano iliyopita hatukuwasikia wakidai Katiba Mpya kwa kuanzisha makongamano yao au wanamwonea Rais kwa kuwa Rais wetu wa awamu ya sita, Samia Suluhu ni mwanamke" : James Millya
  19. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Mbowe na CHADEMA wana itikadi na sera ya ubinafsi

    Kwa wale wasiyoelewa wala kuona itikadi za vyama ingetosha tu kumsikiliza mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe ili kujua CHADEMA wanapigania nini. Ukisikia jinsi Mbowe anamponda Magufuli mtu ambaye kabla ya kuwa Rais wa JMT kwa miaka 20 amekuwa anasimamia ujenzi wa miundombinu ya barabara nchini kwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Kuna watu wanasali Novena kumlilia Mungu leo siku ya tano

    Anaandika Askofu Bagonza Chanjo Mbowe ,Katiba mpya, Tozo za miamala na Rais Samia. Mambo haya 5 yameshikilia mustakabali wa nchi kwa sasa. Amani, haki, Maendeleo na ustawi vinatikiswa. Jiulize: 1. Kwa nini itumike nguvu na jitihada za ziada kuwaaminisha watu wakachanje wakati afya ni mali...
Back
Top Bottom