chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wasipoe, ushindi uko karibu

    Kwenye hii ishu ya katiba mpya na haki ya mikutano ya kisiasa iliyoko kwa mujibu wa katiba, kwa vyovyote vile Samia atakavyoamua kudeal na Chadema, Chadema bado wataibuka washindi. 1. Ni kwa faida ya legacy yake mwenyewe kutogeuka dictator Kama angekuwa mwanafunzi mzuri wa hayati Magufuli...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: CHADEMA haijahodhi mchakato wa Katiba bali inaongoza mapambano, anayetaka ajiunge nayo

    Makamu Mkiti wa CHADEMA akiongea leo kwenye Forum ya Maria Space inayoongozwa na Mwanaharakati Maria Sarungi iliyoshirikisha watu zaidi ya elfu 6 duniani kote, amesema, “Kama makundi mengine ya vyama vya kiraia, vyama vya siasa, NGOs, viongozi wa dini wanasita au wanaogopa dola kujitokeza...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana kwa dharula tarehe 22/7/2021

    Taarifa hii imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Mh John Mnyika alipokuwa anaongea na Waandishi wa Habari wa Kimataifa na wa ndani , kwenye Mkutano wake wa dharula aliouitisha Maalum. Bado haijafahamika ajenda zitakazojadiliwa , lakini suala la Kukamatwa kwa viongozi na wanachama wa chama...
  4. Countrywide

    JamiiForums Tanzania Rais Samia shikilia hapohapo, usirudi nyuma. CHADEMA hawahitaji kubembelezwa

    Mama Samia kwanza nikupe hongera kwa kuwa hadi sasa umeonyesha ukomavu mkubwa sana kwenye uongozi wako. Kwa lugha nyepesi tunasema "sasa umeiva", mwanzo ulivyoanza kiukweli ulianza kutupa wasiwasi Kama ungeweza kweli kwa kuwa ulionekana kama unahitaji sana kubembeleza yale magenge. Mama katika...
  5. BestOfMyKind

    JamiiForums Tanzania Sitakubali Rais Samia ahujumiwe

    Serikali hii ilianza vibaya. Walianza kwa kujitenga na Magufuli bila kujua watanzania wengi walimpenda, na hata ambao hawakumpenda walihuzunishwa na kifo chake kwakua walimzoea. Hapa tulipofikia, wale waliotakiwa kuridhika na serikali kutokua chini ya Magufuli, hawaridhiki na serikali iliyopo...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Sikukuu ya Eid imegeuka siku ya wenye madaraka kuwatesa wenzao bila hatia

    Ni aibu sana kusikia watu wanatuma salamu za eid wanajibiwa kwa matusi. Page za viongozi zimejaa matusi badala tutakiane baraka Kama Taifa. Siku ya ibada takatifu Kama Leo ili viongozi wa kitaifa wawe wanaozungumza na wananchi na waumini kuwaeleza mipango ya kesho, kinyume chake hata wao...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaitisha Mkutano wa dharula na waandishi wa Habari wa ndani na nje ya nchi Makao Makuu ya chama Mchana huu

    Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika atazungumza na Waandishi wa Habari Mchana huu kwenye ofisi za Makao Makuu ya chama Kinondoni Dar es Salaam . muda ni kuanzia saa 9:00 mchana huu MUHIMU : Tufuate Mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona . wote mnakaribishwa ====== Mbowe hajulikani alipo ...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Katiba lalaani kukamatwa kwa viongozi wa CHADEMA huko Mwanza

    Huu hapa ndio ujumbe wao
  9. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaanza kumulikwa vibaya na Mataifa Wafadhili

    Vyombo vya habari vya nchi wanaoisaidia Tanzania tayari vimeanza kutumulika. Kufuatia Polisi mkoani Mwanza kuwazuia wana CHADEMA kufanya kongamano lao la kudai katiba mpya. Wahenga walisema kuwa hata mbuyu ulianza mdogo kama mchicha na sasa ndiyo naona wana CCM na viongozi wao wameanza...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa viongozi wa CHADEMA: Lissu awataka wahisani kuacha kuisaidia Serikali

    Mwamba kaungurumu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

    Usiku majira ya saa tisa, Polisi walivamia Hoteli aliyokuwa amefikia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na wageni wengine pamoja na wenyeji wao. Waliochukuliwa: 1. Freeman Mbowe 2. John Pambalu 3. John Heche 4. Rose Mayemba 5. Masenya(Mwenyekiti BAVICHA Ilemela) 6. Steven Odipo 7. Dr. Rwaitama 8. Seti...
  12. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni washindi katika hili

    Nimesikia Mwanza viongozi wa chadema wakiongozwa na freeman Mbowe wamekamatwa saa nane za usiku na jeshi la police, Ukweli ni kwamba jeshi la police na serikali wanashindwa kujua kwa kufanya vile lawama zinaenda kwa mama kuonekana anaendeleza yale tuliyo zoea kwa mwenda zake hivyo kutojitenga...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Chadema yawatakia heri ya Idd Waislam pamoja na Watanzania wote kwa ujumla

    Huu ndio ujumbe waliousambaza kila mahali leo
  14. S

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ikileta vurugu, CCM itakuwa ndiyo chanzo kwa kukataza mjadala

    Kuna kitu ambacho CCM hawataki kutuambia - sababu za kuiogopa sana Katiba mpya. Tunachoona na visingizio tu kwamba Katiba mpya italeta vurugu, mara ooh tunashughulikia uchumi kwanza. Kwa nini na kwa vipi watu kujadili Katiba mpya kulete vurugu? Na Katiba mpya na uchumi vinaingilianaje? Kwani...
  15. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Figisu dhidi ya CHADEMA zashika kasi, RC Mwanza apiga marufuku mikusanyiko

    Hali ya kusikitisha, kuogofya na kuumiza, RC wa Mwanza amekataza kwa mtazamo wake mikusanyiko yote isipokua Misiba na Ibada tu ili "kupunguza kasi ya maambukizi ya Covid-19"! Ukumbuke Chadema wamepanga kufanya kongamano la Mjadala wa Katiba Mwanza. Kwa akili za RC mikusanyiko ya Mazishi na...
  16. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atoa kauli ya chama juu ya kodi/tozo ya miamala ya simu na kuvurugwa kwa Kongamano la Katiba

    Tazama na sikiliza VIDEO No. 1: Msimamamo wa CHADEMA juu ya tozo za miamala ya simu: VIDEO No. 2: Kauli ya Mwenyekiti kuhusu polisi mkoa wa Mwanza kupitia kwa RPC wao Ngh'anzi kuvuruga kongamano la katiba juzi j' mosi tarehe 17/7/2021 na kuwaweka kizuizini viongozi, wafuasi na wapenzi wa...
  17. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Operesheni Haki ya CHADEMA, Hotuba ya Mbowe Mwanza, na Uharaka wa Katiba Mpya: Hoja za Mbowe zinabeba ukweli kiasi gani?

    Jana, tarehe 19 Julai 2021, Mwenyekliti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe, aliongea na waandishi wa habari mjini Mwanza. Katika kikao hicho Mbowe alilaani vikali uamuzi wa Jeshila Polisi mkoani Mwanza wa kuvunja kongamano la Katiba Mpya lililokuwa limeandaliwa na Baraza la Vijana wa Chadema...
  18. The Boss

    JamiiForums Tanzania Hizi nguo kama za EFF ya Malema Afrika Kusini ndiyo CHADEMA wanavaa siku hizi?

    Nimeona clip ya Mbowe anasema chanjo iwe lazima nimeshangazwa na mavazi. Ni mavazi rasmi ya Chadema? Mbona kama yanafanana na Eff ya Malema? Yanaashiria nini? Wenye clips au picha naomba muweke.
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA kufanyika July 31 , 2021 Jijini Mbeya

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , leo kimetangaza siku ya kufanyika kwa mkutano mkubwa kabisa wa chama hicho ambao ni Baraza Kuu la Chama , uliopangwa kufanyika Jijini Mbeya July 31 2021 . Taarifa hii imetolewa na Mwenyekiti wa Chama hicho , Freeman Mbowe , Jijini Mwanza . Kikao...
  20. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Chanjo ya COVID-19 iwe ya lazima

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeomba huduma ya utoaji chanjo ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19), iwe ya lazima badala ya hiari kama ilivyotangazwa na Serikali. Wito huo umetolewa leo Jumatatu, tarehe 19 Julai 2021 na Mwenyekiti...
Back
Top Bottom