Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Nyimbo zenyewe ni kama zifutazo...
1. Tutatoana Roho Yarabi
2. Ujanja wa bure tu
3. Mwaka huu unalo
4. Mbabe kakutana na Mbabe mwenzake
5. Za Mwizi 40
6. Mwosha huoshwa
7. Malipo ni hapa hapa duniani
Wewe Mtani wangu wa Kisiasa mwana CHADEMA hapo Mbezi 'Goigi' Mimi GENTAMYCINE mwana CCM...
Kwa muda mrefu katika ukumbi huu CHADEMA imekuwa ikiitwa (reffered to) kama saccos. Wanaoiita CHADEMA saccos nadhami wana maana kwamba chama kinaendeshwa kwa matakwa ya watu wachache tofauti na matakwa ya Wanachama kwa ujumla.
Kwa mtazamao wangu kama ni hivyo basi CCM ni kioski. Kwa nini nasema...
Nijuavyo CHADEMA chenye ofisi za makao makuu pale Kinondoni uswahilini mtaa wa Ufipa hawana ukwasi wa kuweza kumlipa huyo Wakili Robert Amsterdam wa ubeberuni.
Je, ni nani hasa anayemlipa Robert kwa niaba ya Tundu Lissu na atafaidikaje na ufadhili huo siku za baadae?
Tanzania kama taifa tuwe...
Kupitia hili suala la Mbunge wa Nkasi pamoja na wabunge wa viti maalumu, CHADEMA wamejitanabaisha ni kiasi gani wamekua wanafiki kwa watanzania na wapenda Haki na amani wote.
Uchaguzi wa mwaka 2015 CHADEMA walikiri wazi kuwa ni uchaguzi ambao haukua huru na Haki hadi kupelekea kususia hotuba ya...
Mh. Mnyika Katibu Mkuu CHADEMA, kwa sasa wajumbe wa Kamati kuu wanakuangalia kwa pande mbili, pande ya kwanza kukikosesha chama kupata ruzuku kwa kutopeleka majina ya wabunge viti maalum, upande wa pili kuwasababishia wanachama kukosa ajira ya uteuzi wa kuwakilisha hoja za chama chenu bungeni...
Mwamba ana mzigo mzito kipindi hiki. Anatakiwa afanye maamuzi magumu ambayo yatakuwa kufa au kupona kwa Chadema.
Wakubali, wakatae, huu uchaguzi umekwisha na hakuna vikwazo wala matamko ya wazungu yanayoweza kubadili matokeo. Na hakuna mzungu yeyote anayeweza kutuporomeshea mabomu kila Chadema...
Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu, Rais Magufuli aliahidi kumpa Tundu Lissu cheo serikalini kama akishinda.
Binafsi naamini Rais Magufuli atatekeleza ahadi hiyo kwa Mhe. Lissu. Naamini Lissu hatoweza kukataa nafasi hiyo impite kwa kuwa anajua watanzania walimchagua Rais Magufuli kihalali...
atika Hali ya kawaida CHADEMA kabla ya kampeni ilikuwa na wabunge zaidi ya 50, wakati hata kabla Lissu hajaenda Ubelgiji.
Kabla ya ujio wa Lissu, CHADEMA ilikuwa kidooogo inaeleweka eleweka ingawa bado kulikuwa na majinga yanayopenda kupiga mayowe ya kutafuta Kiki, hata hivyo wananchi...
Muda mchache kabla ya kuondoka nchini, Aliyekuwa mgombea uraisi wa kupitia Chama cha demokrasia na Maendeleo Chadema Tundu Lissu alifanya mahojiano mafupi na vyombo vya habari na kuseama kuwa uchaguzi uliopita ni uchaguzi ambao uliovurugwa na kuharibiwa sana, amesema kuwa katika vikao halali...
Hesabu hii imenipiga chenga kujua NEC imetumia uwiano gani katika utoaji wa wabunge wa viti maalum kwa Chadema kupewa "offer" ya kupeleka wabunge Wa viti maalum 19 wakati CCM iliyojizolea viti 262, karibia ya viti vyote vya ubunge nchini, iweze kupata viti maalum 94?
Kuuliza siyo ujinga...
Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka huko Makambako, hii ni baada ya shughuli za kilichoitwa Uchaguzi mkuu kumalizika, ambapo wanachama na viongozi wa CHADEMA wa Jimbo hilo wameanza rasmi kuimarisha chama chao.
Waziri Mkuu mh Kassim Majaliwa amewashukuru wabunge wa vyama rafiki Chadema, Cuf na ACT wazalendo kwa kumpigia kura za "ndio" kwenye ushindi wake wa 100% wa kumthibitisha kushika wadhifa huo.
Mh Majaliwa amesema maendeleo hayana chama hivyo atashirikiana na wabunge wote bila kujali itikadi...
Duniani kote uende Ulaya, Amerika au Marekani ya Kaskazini wazee huwa ndio washauri na ndio huwa wanatoa maoni juu ya suala lolote muhimu juu ya mustakabali wa taifa au nchi yao.
Mzee Lyatonga Mrema aliwaonya wapinzani msio na busara hasa CHADEMA na ACT Wazalendo kuwa JPM anatimiza yale ambayo...
CCM nayo imepoteza katika uchaguzi huu, mshindi JPM tu
Abu Kauthar
Uchaguzi wa 2020 Tanzania umepita. Inasemekana Watanzania wameamua kukirejesha chama tawala, CCM kwa kishindo. Kishindo kilikuwa ni kikubwa mno. Kishindi cha bomu lililoteketeza sio tu vyama vya upinzani, bali hata mmea...
Taarifa hii ya kusikitisha imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh John Mnyika , alipokuwa anaongea na Gazeti la Mwananchi .
Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba wengi kati ya waliokamatwa wamepewa kesi za uongo zisizo na dhamana za Mauaji , Uhujumu uchumi , Ugaidi , Unyang'anyi na kukutwa na vifaa...
Kauli ya Spika Ndugai kwamba wabunge watarajiwa wa upinzani wasihadaike na kutoa rushwa " isiyoeleweka" ili wapate uteuzi wa viti maalumu ni nzito kwa kweli.
Kwani hapo CHADEMA mnatumia utaratibu gani kuwateua/ kuwachagua hao wabunge watarajiwa?
Maendeleo hayana vyama!
Katiba ya Tanzania ibara ya 66 (1), inaelekeza kuwa lazima kuwepo wabunge wanawake asilimia 30 ya wabunge wote wa makundi mengine. Makundi mengine ni wabunge wa kuchaguliwa (ambao mwaka huu jumla ni 264), wabunge 10 wa kuteuliwa na Rais, wabunge watano wa kutoka Baraza la Wawakilishi, pia wanne...
CHADEMA kikiwa chini ya katibu mkuu Dkt. Slaa mtu muadilifu wa kweli mkakati wake kama chama cha upinzani ulikua kupinga rushwa na kutaka uwepo wa utawala bora. Wakati Dr Slaa akiwa Katibu Mkuu nchi ilikua imeoza kwa rushwa kuanzia chama tawala CCM chenyewe na serikali yake hadi maisha uraiani...
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema haijapokea orodha ya majina ya wabunge wa viti maalumu kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Akizungumza na Nipashe jana kwa njia ya simu, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dk. Wilson Mahera, alisema tume bado haijapokea orodha hiyo kama...
Kama Membe ambaye hakufanya kampeni na mwishoe alijitoa kwenye uchaguzi ameshika nafasi ya 3 ina maana angefanya kampeni angekuwa namba 2 akimzidi Tundu Lissu wa CHADEMA.
Napendekeza uchaguzi wa 2025 CHADEMA waende na Membe wanaweza kuambulia hata wabunge kadhaa wa kuchaguliwa.
Membe ni wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.