Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Wana bodi,
Katika kipindi hiki ambacho wana CHADEMA wanakamatwa kwasababu ya nia yao ya kutetea katiba mpya ni vyema kuji uliza kama katiba tuliyo nayo sasa hivi ina mapungufu na kama utumiaji wa nguvu na vyombo vya usalama ni sahihi. Vile vile katika kupinga au kutaka katiba mpya ni vyema kwa...
CCM sio tena chama cha siasa, bali ni kakikundi cha watu walioamua kutumia dola kulinda madaraka waliyonayo(kubaki madarakani)
Kwa sasa wamegundua kutumia mabavu kupambana na upinzani hasa CHADEMA hakusaidii hivyo wamekuja na mkakati wa kutaka kuifuta CHADEMA kama alivyosema Katibu Mkuu wa...
Polisi Jijini Mbeya imewakamata wanachama wa CHADEMA zaidi ya 30 usiku huu.
Waliokamatwa ni Pamoja na
-Joseph Mbilinyi (Sugu)
-Emmanuel Masonga (Katibu wa Kanda ya Nyasa)
-Paschal Haonga( Alikuwa Mbunge wa Mbozi) na Viongozi na wanachadema wengine wengi.
Tuna maamuzi ya ajabu ambayo yanaonyesha kuwa chama hakipo makini.
Jambo dogo tu utasikia michango ya kila aina. Na michango yenyewe haipitii akaunti ya chama.
Mbowe kaswekwa ndani, kila mtu anataka kuanzisha michango. Tena haipitii kwenye akaunti ya chama.
Hii dalili tosha kuwa chama...
Akizungumza na Waandishi wa Habari wa Mataifa mbalimbali , wakiwemo na waandishi wa Habari wa Tanzania Kwenye ofisi za chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam , huko Kinondoni , Katibu Mkuu wa chama hicho Mh John Mnyika , alitangaza rasmi kwamba tarehe 5/8/2021 kuwa siku ya Watanzania wote...
Kesi ya kubambikizwa Ugaidi Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe inatarajiwa kutajwa Alhamisi August 5 Kisutu jijini DSM.
Akizungumza na wanahabari jana Jumamosi Katibu Mkuu John Mnyika aliwataka wana Chadema na wananchi kufurika Kisutu siku ya Alhamisi August 5 ili kufuatilia kwa ukaribu kesi...
Sio siri CCM wameivuruga CUF na kumuua Seif Sharif ila Maalim hakukubali kufariki baada ya siku tatu akafufukia ACT (Jesus of Zanzibar).
Sasa baada ya kushindwa na Maalim Seif (Marehemu) CCM wamekusudia kuiuwa Chadema na kuivunja nguvu wakiamini ,uwanja wa siasa utakuwa mwepesi.
Suali Je...
Leo tarehe 1.8.2021 ndani ya kanisa hilo kumefanyika ibada ya kumuombea Mwamba wa siasa za Tanzania Mh Freeman Mbowe ambaye amebambikwa kesi ya Ugaidi kutokana na kujitolea kwake kupigania demokrasia na haki nchini Tanzania.
Umati wa waumini umehudhuria huku sadaka za kumshukuru Mungu...
Zoezi la kuiua CHADEMA alilianza Hayati Magufuli na kaondoka Duniani hajafanikiwa kuiua CHADEMA. Kwa maneno mengine rahisi, aliyetaka CHADEMA ife kafa yeye na kuiacha CHADEMA ikiwa hai.
Mbowe alikuwa hana tuhuma zozote za Ugaidi hapo kabla, lakini alipoanza vuguvugu la kudai Katiba Mpya...
Huu ni mkusanyiko wa wananchi wa kata ya Utengule huko Mlimba wakisubiri kusajiliwa kwa njia ya kisasa ya Chadema digital.
Tunawasisitiza waratibu wa mambo haya kuhakikisha tahadhari dhidi ya corona inachukuliwa ili kulinda afya za wanachama wetu, ni muhimu sana kuchukua tahadhari hiyo hasa...
Inasikitisha kwa TV ya Taifa kutumika kusambaza uongo, kuwa vijana wa Chadema hawataki katiba mpya
Hii michezo yenu ni ya kudanganya umma, mnafanya propaganda za kitoto na mnavunja katiba ya nchi na sheria za utangazaji kwa sababu mnalisha wananchi taarifa za uongo, matukio yaliyo staged.
TBC...
Press ya Mnyika imesema kuwa Mtungi na CCM wana mpango wa kuifuta Chadema.
Mtungi, CCM, Polisi et al, fahamu kuwa Chembehai (DNA) ya CHADEMA imeshaunganishwa (INCORPORATED) na chembehai za watanzania.
Hivyo hilo mnalotaka kulifanya mnajisumbua sana sana mtaleta matatizo na sintofahamu, in the...
Nakumbuka mchungaji Mtikila alivyopiganiwa na wafuasi wake kila mahali wakati akidai katiba na ile iliyoitwa serikali ya Tanganyika.
Mtikila alikuwa na wafuasi wachache lakini walimpigania.
Chadema wanaojiita chama kikuu cha upinzani ni wakimya sana wanataka katiba mpya bila kuwa na mipango...
Nawakumbusha kwa upole sana, CCM na wengine, tunazo taarifa zenu kuwa mnataka kupandikiza vijana wa UVCCM mkijifanya ni CHADEMA siku ya kesi ya kishenzi mliyompa FM.
Mipango yenu yote tunayao, tunajua vijana mnaowatuma na pesa mnazowapa ili wafanye vurugu then mpate ajenda yenu.
I warn you...
Itakuwa kutojitendea haki kutokutambua kuwa taifa hili linapita katika hali iliyo tete sana. Hali kadhalika itakuwa ni kukosa uzalendo kwa kiwango cha juu kuyaona haya na kuyafumbia macho.
Pamoja na yote ni muhimu sana maslahi ya taifa yakawekwa mbele.
Ieleweke kuwa maslahi ya taifa (kama...
Wanachama wa CHADEMA Mkoani Mbeya wamejitokeza kupinga agenda ya Katiba Mpya huku wakiwa wamevalia Tshirts za kuhamasisha Katiba Mpya!
Source: TBC1 Habari
Mtakapoanza maandamano ya amani nendeni na simu zenu zenye video kamera ili kuwa na ushahidi wa watakaoanzisha uvunjaji wa amani na kuwatambua hata kwa sura.
Ni wazi magaidi ambao siyo wa CHADEMA watataka walianzishe ili lawana ziende CHADEMA.
Nawasilisha.
Chadema na CCM zimeungana katika kumkemea askofu Gwajima kuhusiana na msimamo wake hasi kuhusu chanjo ya Corona.
Katika mambo ya msingi ni jambo jema kuwaona Chadema na CCM wanakuwa Wamoja katika Umoja.
Mungu ni mwema wakati wote!
Hivi karibuni tumeshuhudia wimbi kubwa la vijana wa CHADEMA nchini wakitofautiana kabisa na mawazo ya mwenyekiti wao wa Taifa, hii inakuja baada ya vijana hao kuona kuna haja ya Chama hicho kuanza kujitafakari chenyewe kwanza kabla ya kuanzisha vuguvugu la kudai katiba mpya ya nchi nzima. Suala...
Chadema kama taasisi inaendesha shughuli zake ofisini kwa mipangilio yake bila kusukumwa, kuchagizwa, kushinikizwa wala kushawishiwa na yeyeto.
Tulipo sasa mwenyekiti mheshimiwa Mbowe (mola amjalie salama) yuko nyuma ya nondo chini ya watesi wake ambao wangependa kuona Chadema ikisambaratika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.