chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. D

    Uchambuzi: Viti Maalum feki waliotimuliwa uanachama CHADEMA wataendelea kuwa Wabunge wa Mahakama kimkakati kwa miaka mitano

    Waliokuwa wanachama wa Chadema, Halima mdee na wenzake waliofukuzwa chama na kamati kuu kwa usaliti! Wanaweza kujipanga upya kufungua kesi jumatatu kupinga kufukuzwa kwa sababu zifuatazo; Watadai kwamba taratibu za kumfukuza uanachama zilikiukwa kwa sababu hawakusikilizwa kutokana na dharula...
  2. YEHODAYA

    Kundi la Wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno. Wakizibwaga, CHADEMA inasambaratika

    Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika. Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi. Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii...
  3. Return Of Undertaker

    Dar: Wabunge 19 wa Viti Maalum waliovuliwa uwanachama na CHADEMA, Kuongea na Wanahabari

    ALERT CCM wamemuandalia Halima Mdee press conference kesho na ajenda ni kama ifuatavyo:- Kuwa alipewa baraka zote na Mbowe kwenda kuapishwa na wenzake covid 19 Aliruhusiwa na Mbowe aandae list na iende NEC Atasema Mbowe alikuwa analazimisha mademu zake wawekwe na yeye akakataa ndiyo maana...
  4. S

    Wanasheria wa CHADEMA kesi hiyo msiilalie, ichangamkieni mpaka kesho

    Ni wazi mchezo uliotumika kuwaingiza wabunge wateuliwa akiwemo mfungwa kwenye bunge la Tanzania hauwezi kufumbiwa macho, sasa uangaliwe utaratibu wa kufungua mashtaka dhidi ya mechi nzima utafutwe uharamu au uhalali wake. Kama CHADEMA wanajiridhisha kuwa kuna sahihi zimefojiwa,kuna mtu...
  5. Z

    Kamati kuu CHADEMA, haijajadili Ubunge wa Aida Khenan

    Leo CHADEMA imetoa uamuzi wa kuwapa wabunge wake 19 wa viti maalum nafasi ya kuomba msamaha ili waendelee kuwa wanachama. Katika tamko lao, hawajakaripia wala kujitenga na Mbunge wa Nkasi Kaskazini Aida Khenan. Hapo awali, CHADEMA ilitoa amri kwa Aida Khenan kutokushiriki Bunge. Hata hivyo...
  6. Francis12

    Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe atazungumza na Umma wa Watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari, leo Novemba 27, 2020, kuanzia saa 3.00 (usiku huu), kuhusu maamuzi ya Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Vyombo vya habari vya Kitaifa na Kimataifa vimealikwa. Stay Tuned for Updates...
  7. Travelogue_tz

    CHADEMA, Wanachosubiri wanachama wenu mnakijua: Ni uchaguzi dhidi ya dola au umma

    CHADEMA wameshapata mtazamo na muelekeo wa matakwa ya wanachama wao. Katika sayansi ya siasa, kitu kikubwa kinachoitajika katika kufanya maamuzi ni kuelewa vizuri mapokeo yake. Hivyo kama chadema itawavua uanachama itapata support ya umma, na vita dhidi ya dola itaongezeka mada dufu, kwa kuwa...
  8. Chachu Ombara

    GE2020 NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020

    NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020.
  9. kmbwembwe

    Nahisi CHADEMA tayari ishapasuka vipande viwili

    Kibaraka Lissu sasa anaipasua CHADEMA baada ya jaribio la mabeberu la kumuweka urais kushindwa vibaya. Kama watanzania wanavyomuelewa Lissu kwamba ni mtu muongo na mzushi sivyo mabwana zake walivyomuelewa. Inaelekea ameweza kuwaaminisha baadhi ya wafadhili wake anaungwa mkono na watanzania ndio...
  10. Pascal Mayalla

    "Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji

    Wanabodi, JF ni mtandao wa jamii, moja ya faida kubwa ya mitandao ya kijamii zaidi ya kuhabarisha habari mbalimbali, ni kuelimishana, wale members wa mitandao ya kijamii wanaojua jambo fulani, na ambao sio wachoyo wa kuelimisha wengine, hujitolea muda wao mwingi wa thamani, kuwaelimisha wengine...
  11. Return Of Undertaker

    Halima Mdee na wenzake 18 wagoma kufika Kamati Kuu ya chama kwa madai ya kupokea vitisho toka kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

    Muda mfupi kabla Kamati kuu CHADEMA kuwahoji wanachama wake walioapishwa kuwa wabunge wa viti maalum, wanachama hao wamesisitiza kutotokea mbele ya kamati kuu wakidai kupokea vitisho toka kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA wakihofia usalama endapo watafika ofisi za chama hicho. -- Awali Baraza...
  12. Pascal Mayalla

    Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu

    Wanabodi, Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "Karma", na nimekuwa nikikihubiri mara nyingi tuu humu jukwaani kuwa karma ndio the power pekee ambayo hutoa hukumu ya haki hapa duniani, kwenye karma, mtu unaadhibiwa au kuhukumiwa kwa mawazo, maneno na matendo yako, karma haina mswalie Mtume, wala...
  13. Environmental Security

    Suala la Mdee na wenzake: Tusitoke kwenye msingi wa hoja ya CHADEMA kuwashughulikia

    Habari wakuu, Nimefuatilia hoja za watu mbalimbali humu na katika sehemu nyingine mtaani na media, nimefuatilia wengi wanaotoa hoja ya hawa ndugu 19 kutoshughulikiwa, msingi wao ni chama kupata ruzuku ili kiweze kuwa na nguvu ya fedha kujiendesha, wengine wanasema chama kiendelee kuonekana...
  14. M-mbabe

    PICHA: Kamati Kuu CHADEMA fukuzeni hao 19 kutoka chamani

    Picha inaongea mara elfu kuliko maneno maneno.
  15. S

    CHADEMA leo wana nafasi ya kuweka historia ya kusimamia maadili ya chama kwa kuwafukuza Wanachama wake 19 kwa mpigo

    Ni imani yangu viongozi wa CHADEMA leo wataweka mbele heshima ya chama kwa kulinda katiba ya chama hicho pale watapowafukuza wasaliti 19 kwa mpigo na kuweka historia ya kufukuza Wanachama Waandamizi 19 kwa mpigo ili kulinda Katiba ya chama. Hakika leo itakuwa ni siku ya historia kwa CHADEMA na...
  16. MsemajiUkweli

    Viongozi wote wa juu BAWACHA ''Wamenunuliwa'' au ni tatizo ndani ya CHADEMA?

    Kama tukikubaliana na hoja ya ''kununuliwa'' ambapo viongozi wote wa Juu wa Balaza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) wanaweza ''kununuliwa'' basi kuna tatizo kubwa nala msingi ndani ya chama ambacho kwa sasa kingekuwa ni chama kilichokabidhiwa mali za Taifa zima wazilinde na kuziendeleza kama...
  17. Analogia Malenga

    Zitto: Sikuondoka CHADEMA bali nilifukuzwa

    Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe amesema yeye hakuondoka CHADEMA bali alifukuzwa. Kupitia ukurasa wake wa twitter amesema kuwa alifukuzwa bila kikao cha Halmashauri Kuu, bali ilikuwa barabarani tu. Amesema anachukulia hilo kama sehemu ya harakati, na hajabeba chuki kwa tukio...
  18. A

    Mbona wanaoshangilia Viti Maalum vya CHADEMA ni CCM?

    Nimekua nikijiuliza, hivi kwanini CCM wanashangilia sana kuapa kwa wabunge wa Viti Maalum wa CHADEMA kuliko hata wanaCHADEMA wenyewe? Jibu lililowazi ni kuwa Uchaguzi wa October umefanya viongozi wateule kukosa uhalali wa uongozi ndani na nje ya nchi (haswa nchi za magharibi). Hili sio tatizo...
  19. J

    Spika Ndugai: Nitawalinda wabunge wa Viti Maalumu CHADEMA kwa nguvu zote, Mnyika akajifunze kwa Dkt. Bashiru kazi za Katibu Mkuu

    Spika Ndugai amesema kanuni za bunge zinamtaka kuwalinda wabunge walio wachache na maslahi yao naye atafanya hivyo kwa nguvu zake zote. Ndugai amesema wabunge 19 wa CHADEMA wameteuliwa kihalali na kama CHADEMA wana matatizo nao walipaswa kuwaita kwa heshima na kuwasikiliza badala ya kuwahukumu...
  20. J

    Mwanasheria Mkuu: Wabunge wa CHADEMA wa Viti Maalumu waliapishwa kwa mujibu wa Sheria na Katiba, CHADEMA isiwaguse

    Mwanasheria Mkuu wa Tanzania Profesa Adelardus Kilangi amewaonya CHADEMA kutowabugudhi wabunge wa chama hicho wa viti maalum kutoka chama hicho. Profesa Kilangi amesema, mchakato wa Wabunge wa viti Maalum kutoka CHADEMA umefuata Sheria na Katiba, hivyo hawapaswi kubugudhiwa. Awali Spika wa...
Back
Top Bottom