chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Q

    Halima Mdee, Mwenyekiti wa BAWACHA aidha ajiuzulu au aondolewe haraka kabla hajaleta madhara kwa Chama

    Nidhamu katika taasisi yeyote ile ni jambo la msingi sana, iwe sehemu ya kazi iwe jeshini, kwenye biashara, pesa zako bila nidhamu huwezi kufanikiwa. Kiongozi anapoenda kinyume na maamuzi halali ya taasisi ni aidha anajiuzulu au anafukuzwa. Halima Mdee amekiuka maamuzi halali ya Kamati Kuu...
  2. S

    GE2020 Catherine Ruge: Kwa mateso haya niliyoyapata, siwezi kusaliti chama changu na Wananchi wangu wa Serengeti walioniamini

    Ameandika hivi kupitia twitter: Kwa Mateso na Maumivu haya niliyopitia Siwezi kusaliti chama Changu na Wananchi wa Serengeti walioniamini na Kunipa Heshima Kubwa Kama Msubhati wao.
  3. Maramla

    Wabunge wa Viti Maalum (CHADEMA) na kisa cha asiyefanya kazi na asile

    Na Mwamba wa Kaskazini Nianze kwa kongole kwa Mbunge wangu kipenzi Halima Mdee na wenzake waliokubali kutimiza haki yao ya kikatiba leo kwa kukubali kuapishwa kuwa wabunge wa Viti Maalum (CHADEMA) kwenye Bunge la JMT. Wabunge hao takribani 19 wa CHADEMA wameapishwa leo wakati mambo mawili...
  4. Kipenzi Changu

    GE2020 John Mnyika: Hatujateua majina ya wabunge Viti Maalum. Tunafuatilia Ofisi ya Spika na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema, chama hicho hakijateua majina ya wabunge wa viti maalum “ niliandika barua NEC kuwajulisha. Tunafuatilia yanayojiri Ofisi ya Spika wa Bunge na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua.” ---UPDATE--- Akihojiwa na shirika la...
  5. Erythrocyte

    Viongozi wa Juu wa CHADEMA kuongea na Wanahabari Novemba 25, 2020 Makao Makuu ya Chama, Kinondoni

    Kesho Jumatano, Novemba 25, 2020, CHADEMA kupitia uongozi wa juu wa Chama, kitazungumza na Umma wa Watanzania kupitia waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari, katika mkutano utakaofanyika Ofisi za Makao Makuu ya Chama, kuanzia saa 5 asubuhi. Asanteni. Wote Mnakaribishwa.
  6. Lord Denning

    Ushauri wangu kwa Wanasiasa wa kweli walio ACT Wazalendo na CHADEMA

    Huu ushauri wangu hauhusishi wanasiasa njaa/ Wanasiasa Maslahi, bali wanasiasa kweli wenye uchungu na nchi yao. Waliopo kwenye siasa kwa dhumuni la kuleta itikadi mbadala inayoenda kuleta mabadiliko ya kweli nchini katika maendeleo ya wananchi yanayoongozwa na demokrasia ya kweli na sio...
  7. B

    Wanawake wa CHADEMA wamejitolea kuwatoa gerezani wanasiasa wasio na hatia

    Mbele yetu tunawaona akina mdee na wenzake kama wasaliti wa nafsi zetu lakini tunasau sisi ni wasaliti wa Kwanza kutokea. Toka uchaguzi umalizike tumekaa kimya tukiandika mitandaoni na kushangilia wanachofanya wanasiasa wa upinzani bila kutilia maanani kwamba wapo watu wapo gerezani kwa sababu...
  8. G

    USHAURI: Halima Mdee na wenzake wafukuzwe CHADEMA

    Nimeona Halima Mdee na kundi lake wakila kiapo kwa spika wa bunge kama wabunge wa viti maalumu CHADEMA, kama kweli wamerubuniwa na CCM na hatimaye kula kiapo bila kuwa na ridhaa ya chama wafukuzwe unachama Mara mmoja. Hii itasaidia kujenga nidhamu ndani ya chama. Ni bora kujenga chama upya...
  9. J

    Tuwe Wakweli: Kama Wabunge wa CHADEMA wa Viti Maalumu wasingeenda Bungeni ruzuku ingepungua sana chama kingeendeshwaje?

    Kwanza nawapongeza CHADEMA kwa kuwatendea haki Wanawake wa Tanzania kwa sababu viti vile ni mali yao siyo ya chama. Pili shughuli za uendeshaji wa chama zinahitaji fedha na wabunge 19 ni mtaji mzuri wa kutunisha mfuko wa ruzuku. Tatu na mwisho CHADEMA HQ msiwasikilixe hawa makamanda wanaopiga...
  10. Liverpool VPN

    Nimeamua kuachana na siasa rasmi. CHADEMA walinihatarishia ajira yangu ya umma ila leo wameunga juhudi

    Baada ya kukosa nafasi ya kupiga kura 28/10/2020 niliumia sana kutomchagua mpinzani Mhe. Tundu Lissu. Ila kwa yaliyotokea leo nadhani hata ule uchungu umeisha woteee. 1. Viti maaalumu wamepewa. 2. Tundu yupo Ubelgiji anakula soseji. 3. Maalimu Seif soon atakubali kuwa makamu wa raisi. Kwahili...
  11. K

    CHADEMA, either kwa makusudi au kwa kutotambua, wamepoteza leverage

    Last time niliandika thread: Je tuna wanasiasa wanaopigania demokrasia au wako kwaajili ya kujinufaisha wenyewe. https://www.jamiiforums.com/threads/wanasiasa-wa-upinzani-wajitafakari-je-wako-upande-wa-demokrasia-au-wanajali-matumbo-yao-kwanza.1807933/ Pamoja na kuwa CCM 'wameshinda ushindi wa...
  12. Pascal Mayalla

    Kufanya kosa si kosa, kosa kurudia kosa. CHADEMA inakaribia kufa, hii ndio njia yenu pekee ya kujinasua

    Wanabodi, Hili ni bandiko la ushauri wa bure kwa CHADEMA, maana nimenote baadhi ya viongozi, wanachama, wafuasi wamepigwa na butwaa kwa uamuzi wa wanawake mashujaa, mashoka wa CHADEMA, kukataa ujinga wa chama chao and did the right thing. Kitendo cha CHADEMA kususa kupeleka majina ya Wabunge...
  13. FAHAD KING

    CHADEMA baada ya miaka 28 hatimaye leo imekufa rasmi

    Kuna ka msemo ka Kiswahili kanasema "Hakunaga Umoja kwenye Njaa akitokea mwenye chakula " Ni dhahiri shahiri huu msemo unatumika sasa kwa kile ambacho kinatokea na kinachoendelea kutokea ndani ya CHADEMA https://t.co/qJC06dBFKk Ni ujinga mkubwa kiasi gani kuona usaliti wa namna hii unatokea...
  14. Nyani Ngabu

    Mambo ya CHADEMA yanatia kizunguzungu

    Hivi inawezekanaje makumi ya wanachama akina mama/ dada wa CHADEMA waende kula viapo vya kuwa wabunge wa viti maalumu [hivi huwa wanamwakilisha nani hawa wabunge wa hivi viti?] halafu katibu mkuu wa chama asikitambue kitendo chao hicho? Huko CHADEMA hakuna coordination ya mambo? Kila mtu...
  15. Miss Zomboko

    GE2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

    Wabunge Viti Maalum kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameanza mchakato wa kusajiliwa Jijini Dodoma. Majina yao yamewasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA ORODHA YA WABUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA 2020: 1. Halima Mdee 2. Grace Tendega 3. Ester Matiko 4. Cecilia Pareso 5. Ester...
  16. J

    Kama CHADEMA ina mbunge halali aliyekwishaapa bungeni kwanini hawa wengine 18 inawazuia? Ushamba mzigo!

    Haiingii akilini kwa CHADEMA kuwa kimya kwa mbunge wake wa kuchaguliwa mh Aida wa Nkasi na kuwazuia wabunge wengine wa 19 wa viti maalumu wasiende kuapishwa. Ikumbukwe kuwa taarifa rasmi za bunge zinaonyesha CHADEMA imeshiriki vikao vya bunge na imempigia kura ya ndio Waziri mkuu mh Majaliwa...
  17. K

    Hivi wale Wabunge wa Viti Maalum wa CHADEMA waliosema wamenyanyaswa wako wapi?

    Msimu wa 2015-20 kulikuwa na wimbi kubwa la wabunge kuunga juhudi tukianzia kwa Mollel (Siha) Lijuakal (Kilombero), Ryoba (Serengeti), Masinji (KM), Issack karanga (Monduli), Silinde (momba), Waitara(Ukonga) Na wengineo wengi ambao sikuwataja hawa wote waliwasaliti wananchi wao kwa kuendekeza...
  18. Bowie

    CHADEMA wafahamu kuwa suala la kutaka Tanzania iwekewe vikwazo ni usaliti mkubwa kwa wapiga kura wake

    Nimeona viongozi mbalimbali wa CHADEMA wakitaka Tanzania iwekewe vikwazo baada ya kushindwa katika uchaguzi mkuu uliopita. Mimi ninauhakika Tanzania haijafikia hatua ya kuwekewa vikwazo vya kiuchumi kwani hao wafadhili wanajua moja kwa moja mwananchi wa kawaida ndio atakayeumia na vikwazo...
  19. M

    Tetesi: Suala la Viti Maalum kuna usaliti unaotaka kufanywa na Wanawake wa CHADEMA

    Kuna habari zina-trend mitandaoni kuwa kuna kundi la wanawake wa CHADEMA lipo kwenye harakati za chini kwa chini kula njama za kwenda Dodoma kula kiapo cha kuingia bungeni kwa viti maalum. Kundi hilo linajumuisha wanawake wenye majina makubwa makubwa ndani ya chama hicho, waliojijengea heshima...
  20. Doctor Mama Amon

    GE2020 Tathmini yangu juu ya Uchaguzi Mkuu 2020: Hakuna sababu nzuri ya kukataa kuteua wabunge wa Viti Maalum CHADEMA

    Tundu Lissu (Mgombea Urais wa Chadema) na Job Ndugai (Spika) Kuna mdau kanitumia kitabu cha Gene Sharp (2012), kiitwacho "From Dictatorship to Democracy: A Conceptual Framework for Liberation." Yaani, "Safari ya Kutoka Kwenye HImaya ya Kidikteta Kuelekea Kwenye HImaya ya Kidemokrasia: Mawazo...
Back
Top Bottom