Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Nimeangalia hii clip, nashindwa kuelewa sikuhizi chama kimekosa watu wenye akili au nini tatizo?
mambo ya kitoto na ya kijinga kabisa
mnajitahidi kujenga uhasama na jeshi la Polisi mkipigwa mje kutia huruma kwa wananchi,
tuache kufanya upumbavu siasa haziendi hivyo
kwa hali hii mimi...
Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.
Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.
CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shtakiwa kwa makosa yake lukuki...
Kwanza hongereni sana wale majasiri wote wa CHADEMA wanaofanya kazi takatifu ya kuwapa elimu wananchi juu ya haki yao ya kuwa na katiba bora itakayolenga kulinda haki zao.
Mheshimiwa Mbowe, yupo ndani kwa sababu ya kuongoza mapambano ya kupata katiba mpya. Waliomkamata Mbowe na kumfungia huko...
Hali hii imeanza kuleta mashaka ndani ya chama cha zamani baada ya mtaji wake wa miaka mingi ambao ni wazee kuanza kumeguka kwa kasi .
Shida kubwa inayoikumba ccm Kyela ni sera yake mbovu ya kurudisha vyama vya Ushirika vinavyowakopa wakulima mazao yao ikiwemo cocoa , badala ya makampuni...
Kuna baadhi ya makamanda wameniambia sera ya Bima ya Afya kwa Wote ni ya Chadema na kwamba Hayati Magufuli aliikopa kutoka Ufipa akaitia kwenye Ilani ya uchaguzi ya CCM.
Mimi naamini hii ni sera ya CCM na imekuwepo tangia mzee Wassira akiwa ndiye mratibu wa ilani ya chama.
Wanaojua zaidi...
Tumesema mara nyingi humu JF na kwingineko kuhusu unyama unaofanywa na serikali ya Tanzania kwa kulitumia Jeshi la Polisi kuwanyanyasa viongozi na wanachama wa Chadema , kwa kuwabambikia kesi za uongo ili kuiokoa ccm , lakini tukaishia kubezwa , kutukanwa na kusimangwa .
Leo Viongozi 18 wa...
Wakuu kwanza tunaomba radhi sana kwa kuwachosha na hizi habari zetu za Chadema Digital, tunaomba tuvumiliane kidogo.
Hapa ni kijiji cha Mwantini kwenye Jimbo la Solwa huko Shinyanga ambako semina za Chadema Digital zinaendelea.
Ndilo kundi linalonyanyasika sana kipindi hiki.
Nyinyi msijali walikuwaje bali jalini mailage ya kisiasa.Hawa ndiwo watu wanaotegemewa hadi na wajomba zao huko kijijini kuwatumia elfu 5 kila wapatapo sasa wakiikosa ya kuwatumia huko kijijini lazima nao huko waelewe mchawi wa elfu 5 yao ni...
Niwasalimu Wana jf popote mlipo, MOJA KWa moja kwenye hoja
Sio siri tena CHADEMA TZ mpaka mda huu tumepishana na jeshi la police tz , na waliotufikaisha hapa ni CCm kutumia vyombo vya dola kisa wapo madarakani, Hili limetuvulilugia sana nchi na kutengeneza mausiano mabaya Kati ya police na...
Yericko Nyerere anasema Nape Nnauye ndio Kiongozi wa mwisho kijana kuongoza CCM ambaye chama kilimuandaa hawa UVCCM wengine wanaoongoza wameokotwa okotwa tu mitaani hawana nidhamu wala heshima.
Yericko anasema kwa mfano Polepole alikuwa ni Kiongozi mkubwa sana ndani ya chama na anajua siri...
Kuna taarifa zilizosambaa mitandaoni leo kuwa zaidi ya Askari 10 wakiwa na silaha za moto walikuwa wamezingira Ofisi za CHADEMA Mbeya ambako kulikuwa na Kikao cha Ndani cha BAWACHA! Taarifa hizi ziliripotiwa na NIPASHE na kusambaa katika mitandao ya kijamii. Ni kawaida yetu kutaka kujiridhisha...
Baada ya tafakuri ya muda mfupi, nimepata hisia kuwa hata kama wana uwezo mdogo, lakini sio wa kufanya makosa kama haya ya kiuandishi.
Hivyo, nahisi huenda baadhi yao hawafurahii haya mambo,.ila wanafanya kwa kulazimishwa tu na matokeo yake na wao wanamua kufanya kazi chini ya kiwango...
Siasa inabadilika kila wakati kulingana na maitaji ya wakati husika, lakini moja ya vitu vinavyotisha na kusononesha ni vitendo vya wafuasi wa CHADEMA kuishambulia NCCR-Mageuzi!
Mbatia amekuwa bega kwa bega na CHADEMA hasa katika mapito ya chama hicho, kesi Mbowe NCCR-Mageuzi imeweka mawakili...
Kwa Afrika tunasoma wale wote waliopingana na serikali au waliokuwa na akili za kutisha nafasi za watawala waliitwa wasaliti, wahaini na viombe hatari kwa nchini. Juzi tumeona mjadala wa Bibi Titi Mohamed, aliposhindana na Mwalimu ndipo alipoitwa muhaini, tunamsoma Kambona, Maaalim Seif, na...
Hii ndio Chadema na hapa ni Nkasi huko Rukwa leo tarehe 25/10/2021 , msululu huu ni wa wananchi walioamka alfajiri kupanga mistari mirefu ili kupata usajili wa Chadema digital .
Ni zaidi ya vitambulisho vya Nida.
Waliokuwa Wagombea ubunge wa Chadema kwenye ule uchaguzi hewa wa 2020 , wamefunguka leo chanzo cha wao kuzuiwa kuingia ndani ya gereza la Ukonga kumuona Mwenyekiti wao Freeman Mbowe, katika siku halali na muda muafaka wa kuona Mahabusu.
Wamefunguka yote haya katika Mkutano wao na Waandishi wa...
Dar es Salaam. Baadhi ya makada wa Chadema waliofika kumuona Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe juzi katika gereza Ukonga jijini Dar es Salaam, hawakutimiza lengo lao baada ya askari Magereza waliokuwa getini kuwazuia wakisema kuwa wamepata maelekezo kutoka juu.
Hata hivyo, Msemaji wa Magereza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.