chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar: Mrithi wa Maalimu Seif Zanzibar na mwanachama mtarajiwa wa CHADEMA

    Alifukuzwa nafasi ya Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar akiwa Bunge la Katiba Mjini Dodoma kutokana msimamo wake juu ya aina ya Katiba mpya itakayofaa Wazanzibar. Alilazimishwa kusema asiyoyaamini akaapa Kwa Mwenyenzi atotenda kinyume na Imani yake akasaliti wito aliopewa na Mwenyenzi MUNGU katika...
  2. 5

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yagawanyika, Lissu kukutana na Samia haikuwa ajenda ya chama

    Habarini watu wa ukumbi huu.., Vyanzo vya ndani vinasema hivyo, Tundu Lissu alikutana na Rais Samia kwa matakwa na maamuzi yake binafsi haikuwa ajenda ya chama wala hawakuwahi kukaa ata kwa dakika 5 kupeana mashauri juu ya kukutana na rais Brussels., Lakini vyanzo vilienda mbali zaidi baada ya...
  3. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu CHADEMA atoa Tamko kuhusu Freeman Mbowe na wenzake

    ====
  4. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

    Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Februari 18, 2022 inatarajiwa kutoa uamuzi kama Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na Washtakiwa wengine watatu wana Kesi ya Kujibu au Hapana. Ile siku iliyosubiriwa ya kutolewa maamuzi kesi Mbowe na wenzake 3 kama wana kesi ya...
  5. Mwananchi wa chini

    JamiiForums Tanzania Miezi mitatu nikiwa Jiji la Mbeya. CHADEMA na Sugu wasahau ubunge

    Ndugu Zanguni leo ndio nimehitimisha majukumu yangu ya mradi unaohusisha mambo ya Jamii kupitia shirika lisilo la kiserikali la WORLD VISION. Pamoja na mengine nimekuwa nikikaa kwenye vijiwe, kukutana na wakazi wa Mbeya mjini na viongozi wa vyama vya siasa na viongozi wa dini na waumini wao...
  6. 5

    JamiiForums Tanzania Kwa Vidhibiti hivi CHADEMA wamepatwa na nini?

    Maalim Seif alivyoenda kuonana na Magufuli CHADEMA walimsema sana maalim seif na kumuita msaliti na MNAFIKI wa demokrasia na wa vyama vya Upinzani Tanzania., lakini mbona Style aliyoonana Maalim Seif na Magufuli ndiyo Style ile ile ya Tundu Lissu Brussels kule Belgium aliyoomba mwenyewe kukutana...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kyela, Mbeya: Mwanachama wa CHADEMA afungwa Maisha kwa kuchoma moto nyumba ya Mwana-CCM

    Taarifa kwa Umma: Leo Tarehe 15/2/2022 Mahakama ya Wilaya ya Kyela imemhukumu kifungo cha maisha Gerald Mwakitalu kwa kesi ya uongo ya kuchoma moto nyumba ya Mwana-CCM kwenye uchaguzi wa 2020, huu ni ule ule mwendelezo wa hujuma dhidi ya CHADEMA ulioasisiwa na utawala wa awamu ya 5 kwa hisani...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Aibu aliyopewa Prof. Jay na CHADEMA ni bora angeachana nayo

    Sijawahi kufanikiwa kuifahamu CHADEMA wala sijawahi kujua ndani ya CHADEMA ni nani anaweza kusaidiwa kwa michango pale anapopatwa tatizo. Nikikumbuka Tundu Lissu alipopatwa na tatizo alisaidiwa na chama chake kwa hali na Mali na hapo hakuwa na cheo chochote ndani ya CHAMA(Naomba kusahihishwa...
  9. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Spika Dkt. Tulia ajuzwe Wabunge 19 hawajawahi kuteuliwa na CHADEMA. Wameingia kwa kufoji nyaraka

    Hata kama Spika atawachukulia kuwa NI wanachama halali wa Chadema. Chadema imeshatoa ufafanuzi nyaraka zilizotumika kuwaingizwa bungeni zimefojiwa. Na wanaoandaa nyaraka hizo wameshatoa taarifa za sahihi zao na majina yao kufojiwa. Sijui wanataka Nani aje asibitishe Hilo. Wakati wewe unasema...
  10. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Kigugumizi cha CHADEMA juu ya akina Halima Mdee kinatokana na nini? Sikilizeni Rufaa na mtoe uamuzi wa mwisho

    Ni taarifa rasmi iliyotolewa na CHADEMA kuwa Halima Mdee na wenzake 18 walifukuzwa uanachama wa CHADEMA kwa makosa mbalimbali waliyoyatenda dhidi ya chama chao. Walifukuzwa na Kamati Kuu ya chama hicho. Ikaripotiwa na hata kusemwa na mmoja wa waliofukuzwa uanachama Bungeni Dodoma (Jesca Kishoa)...
  11. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia Ackson: Mdee na wenzake 18 wako bungeni kihalali, aeleza kuhusu kurejea kwa Bunge LIVE!

    Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari. leo Februari 14, 2022 ameeleza kuwa Mdee na wenzake 18 wako bungeni kihalali: “Uharamu haupo kwasababu hawezi kuwa haramu halafu akawepo mule ndani. Nchi yetu inaendeshwa Kidemokrasia na Kisheria. Jambo moja tu...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nimevutiwa na mpango wa CHADEMA wakukusanya rasilimali na kuboresha makazi ya akina Lingwenya, Azory na wengine wanaougulia machungu

    Nimefanikiwa kukutana kijiweni na baadhi ya viongozi wa Bavicha wakiwa Mwanza nakujadiliana nao kuhusu mikakati Yao ya muda mfupi katika eneo la kusaidia jamiii wakasema wanalo wazo soon litamature na Kuanza utejelezaji. Mawazo Yao yamejikita kufanya haya Kwa jamiii 1. Familia ya Azory GWANDA...
  13. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Serikali yayafungulia magazeti ya MwanaHALISI, Tanzania Daima na Mseto

    Waziri wa Habari na Mawasiliano ya Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, leo Alhamisi amesema atatoa leseni za kuanza kuchapishwa kwa magazeti ya MwanaHALISI, Tanzania Daima, Mseto na Mawio “Kifungo kimetosha. Kikubwa kazi iendelee,” amesema Nape. "Agizo la Rais ni Sheria,leo nitatoa leseni kwa...
  14. Mwananchi wa chini

    JamiiForums Tanzania Utoto wa vita kati ya ACT-Wazalendo na CHADEMA

    Anaandika Dk Yahya Msangi (Phd) West Afrika Kwa kweli Tanzania hakuna vyama vya kuweza kuitoa CCM! Hebu fikiria: Sasa hivi kuanzia BBC, DW, SPACE mjadala ni nani yuko sahihi kuhusu kuachiliwa Mbowe (mtuhumiwa wa ugaidi). Mosi: katika utawala wa sheria na wa kidemokrasia ni mahakama pekee...
  15. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Chadema ifanyie kazi haya ili kushinda uchaguzi ujao

    Hello JF, Nimekaa nikaona nije na hiki kitu kwa manufaa ya upinzani tanzania, please unakaribishwa ku like ama ku-comment Chadema must work on following if it is to win the next election. 1. Kuwe na clear vision ya chama, kwamba nini wanataka ku achieve na kwa baada ya muda gani. Naamini...
  16. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Makambako huu ni upigaji, hili jengo haliwezi kugharimu Tsh Milioni 80. Kwanini mnaonesha tabia za kipigaji zinazotuchafua?

    Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Makambako mkoani Njombe, Ben Kyando amesema, mpaka sasa ujenzi wa ofisi zao za chama hicho pichani umegharimu zaidi ya milioni 80 huku jumla ya shilingi Milioni 125 zikitarajiwa kutumika ili kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo zilizopo kata ya Lyamkena.
  17. Ritz

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watueleze US$100,000 walizopewa na OpenSociety Nairobi kwa ajili ya kesi Mbowe zipo wapi?

    Wanaukumbi. CHADEMA na Wanaharakati kama kwelli mnapenda haki na uwazi kuwa mfano kama mnataka kupewa dola watueleze US$100,000 takribani Tsh. 230m) mlizopewa na OpenSociety (Nairobi) kwa ajili ya kesi ya kushughukia kesi ya Freeman Mbowe, zimetumika kufanya nini? Watanzania wapenda haki na...
  18. Leak

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Wahariri waulizeni CHADEMA wana mikakati gani ya kumtoa Mbowe jela

    Zitto Kabwe kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo amewambia wahariri wa vyombo vya habari kuwa amefanya sana jitihada kumtoa Mbowe jela na Mbowe mwenyewe alibariki jitihada za Zitto kupambana kumtoa jela. Zitto anasema kuwa CHADEMA wanamuona Mbowe kama mwenyekiti yeye ana muona kama kaka yake...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Hongereni CHADEMA, mnaishi kama familia kwenye shida na Raha; CCM ukipata janga unaondolewa kwenye ukoo

    Solidarity ilipo Ndani ya wana Chadema nikubwa Sana. Leo nimefanikiwa kufika mahakama aliyofikishwa Mbowe na wenzake. Nimependa kuona Kwamba Hawa ndugu muda wa chakula wanakula pamoja bila kijali chama, mke wa mtuhumiwa kafika mahakama wamemchangia nauli, wakati watuhumiwa wanaondoka saa kumi na...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Luteni Urio alitoa taarifa ya tukio au baada ya kushtukiwa mpango wake akawageuka?

    Kuna kila dalili Luteni Urio alikuwa na mpango wa kula hela za Mbowe kupitia wale vijana na wakati huo huo alikuwa na matarajio kuwa CHADEMA ingeshinda angepata ukubwa Jeshini. Hilo lina asilimia kubwa ya ukweli. Luteni Urio baada ya kuona mambo yamebadilika aliamua kugeuka ingawa inavyosemwa...
Back
Top Bottom