Aibu aliyopewa Prof. Jay na CHADEMA ni bora angeachana nayo

Tafakari yetu

JF-Expert Member
Apr 19, 2021
1,502
4,408
Sijawahi kufanikiwa kuifahamu CHADEMA wala sijawahi kujua ndani ya CHADEMA ni nani anaweza kusaidiwa kwa michango pale anapopatwa tatizo. Nikikumbuka Tundu Lissu alipopatwa na tatizo alisaidiwa na chama chake kwa hali na Mali na hapo hakuwa na cheo chochote ndani ya CHAMA(Naomba kusahihishwa kama nimekosoa)

Kilichonisukuma Leo kutaka kuifahamu CHADEMA ndani ya suala hili la kuchangiana ndani la CHADEMA ni juu ya mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho Prof Jay ambaye yupo mahututi ICU. Je michango inaangalia sura, umuhimu au mtazamo wa mwenyekiti?

Ninapokumbuka mjumbe wa kamati kuu ya CCM alipoanguka ghafla kule Lumumba si mwenyekiti wa CCM Taifa wala mjumbe wa shina la wakereketwa wote walienda kumuona. Yalioneshwa mapenzi makubwa na utu.
 
Umeandika haya baada ya kupata kutoka kwa prof au umeamua kuwa mpuuzi??, Una taarifa juu ya nini wamekifanya chadema kwa prof??.

Cdm mpk juzi wamechanga zaid ya 20m kwaajili ya prof. Au unataka cdm nchi nzima waendee mhimbili?.
 
Sijawahi kufanikiwa kuifahamu CHADEMA wala sijawahi kujua ndani ya CHADEMA ni nani anaweza kusaidiwa kwa michango pale anapopatwa tatizo. Nikikumbuka Tundu Lissu alipopatwa na tatizo alisaidiwa na chama chake kwa hali na Mali na hapo hakuwa na cheo chochote ndani ya CHAMA( Naomba kusahihishwa kama nimekosoa)

Kilichonisukuma Leo kutaka kuifahamu CHADEMA ndani ya suala hili la kuchangiana ndani la CHADEMA ni juu ya mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho Prof Jay ambaye yupo mahututi ICU. Je michango inaangalia sura, umuhimu au mtazamo wa mwenyekiti?

Ninapokumbuka mjumbe wa kamati kuu ya CCM alipoanguka ghafla kule lumumba si mwenyekiti wa CCM Taiga wala mjumbe wa shina la wakereketwa wote walienda kumuona. Yalioneshwa mapenzi makubwa na utu.
Mjumbe gani wa CCM unaye twambia aliye anguka ghafla ni yule Mzee Mangula aliye lishwa sumu na Wana CCM wenzie ktk kikao au yupi? Huo si unafiki tuu wa wachawi au wewe hujui kwani? Wachawi huwa wa kwanza kufika kutoa pole ktk janga. Tuendelee kula kwa urefu wa kamba zetu.
 
Sijawahi kufanikiwa kuifahamu CHADEMA wala sijawahi kujua ndani ya CHADEMA ni nani anaweza kusaidiwa kwa michango pale anapopatwa tatizo. Nikikumbuka Tundu Lissu alipopatwa na tatizo alisaidiwa na chama chake kwa hali na Mali na hapo hakuwa na cheo chochote ndani ya CHAMA( Naomba kusahihishwa kama nimekosoa)

Kilichonisukuma Leo kutaka kuifahamu CHADEMA ndani ya suala hili la kuchangiana ndani la CHADEMA ni juu ya mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho Prof Jay ambaye yupo mahututi ICU. Je michango inaangalia sura, umuhimu au mtazamo wa mwenyekiti?

Ninapokumbuka mjumbe wa kamati kuu ya CCM alipoanguka ghafla kule lumumba si mwenyekiti wa CCM Taiga wala mjumbe wa shina la wakereketwa wote walienda kumuona. Yalioneshwa mapenzi makubwa na utu.

Una ushahidi Chadema haijashiriki kwa namna yoyote ile? Au umeamua tu kutumia uhuru wako wa kutoa maoni?

Taarifa kama hii ulitakiwa uisindikizie na ushahidi usio na shaka wa malalamiko kutoka kwa mgonjwa mwenyewe, au mke wake anaye muuguza! Kinyume na hapo, utaonekana wewe ni kunguni.
 
Umeandika haya baada ya kupata kutoka kwa prof au umeamua kuwa mpuuzi??, Una taarifa juu ya nini wamekifanya chadema kwa prof??.

Cdm mpk juzi wamechanga zaid ya 20m kwaajili ya prof. Au unataka cdm nchi nzima waendee mhimbili?.
CHADEMA walienda kumuona Prof. baada ya katibu mkuu wa CCM kwenda
 
Sijawahi kufanikiwa kuifahamu CHADEMA wala sijawahi kujua ndani ya CHADEMA ni nani anaweza kusaidiwa kwa michango pale anapopatwa tatizo. Nikikumbuka Tundu Lissu alipopatwa na tatizo alisaidiwa na chama chake kwa hali na Mali na hapo hakuwa na cheo chochote ndani ya CHAMA( Naomba kusahihishwa kama nimekosoa)

Kilichonisukuma Leo kutaka kuifahamu CHADEMA ndani ya suala hili la kuchangiana ndani la CHADEMA ni juu ya mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho Prof Jay ambaye yupo mahututi ICU. Je michango inaangalia sura, umuhimu au mtazamo wa mwenyekiti?

Ninapokumbuka mjumbe wa kamati kuu ya CCM alipoanguka ghafla kule lumumba si mwenyekiti wa CCM Taiga wala mjumbe wa shina la wakereketwa wote walienda kumuona. Yalioneshwa mapenzi makubwa na utu.
Kiwango kidogo cha akili huu ndo UJINGA WA KIWANGO CHA JUU unaolikabili Taifa
 
Sijawahi kufanikiwa kuifahamu CHADEMA wala sijawahi kujua ndani ya CHADEMA ni nani anaweza kusaidiwa kwa michango pale anapopatwa tatizo. Nikikumbuka Tundu Lissu alipopatwa na tatizo alisaidiwa na chama chake kwa hali na Mali na hapo hakuwa na cheo chochote ndani ya CHAMA( Naomba kusahihishwa kama nimekosoa)

Kilichonisukuma Leo kutaka kuifahamu CHADEMA ndani ya suala hili la kuchangiana ndani la CHADEMA ni juu ya mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho Prof Jay ambaye yupo mahututi ICU. Je michango inaangalia sura, umuhimu au mtazamo wa mwenyekiti?

Ninapokumbuka mjumbe wa kamati kuu ya CCM alipoanguka ghafla kule lumumba si mwenyekiti wa CCM Taiga wala mjumbe wa shina la wakereketwa wote walienda kumuona. Yalioneshwa mapenzi makubwa na utu.
Nyie ndiyo MAADUI wa Nchi mnaotaka kuigawa nchi kisiasa/kiitikadi. Kama Watanzania ni wamoja hizi issue za nani kaenda kusalimia au kachangiwa na nani zisingekuwepo. Hizi propaganda za CCM zimetupeleka kusiko kwa sababu tu ya madaraka..... Utafikiri wtakufa nayo!!
 
Sijawahi kufanikiwa kuifahamu CHADEMA wala sijawahi kujua ndani ya CHADEMA ni nani anaweza kusaidiwa kwa michango pale anapopatwa tatizo. Nikikumbuka Tundu Lissu alipopatwa na tatizo alisaidiwa na chama chake kwa hali na Mali na hapo hakuwa na cheo chochote ndani ya CHAMA( Naomba kusahihishwa kama nimekosoa)

Kilichonisukuma Leo kutaka kuifahamu CHADEMA ndani ya suala hili la kuchangiana ndani la CHADEMA ni juu ya mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho Prof Jay ambaye yupo mahututi ICU. Je michango inaangalia sura, umuhimu au mtazamo wa mwenyekiti?

Ninapokumbuka mjumbe wa kamati kuu ya CCM alipoanguka ghafla kule lumumba si mwenyekiti wa CCM Taiga wala mjumbe wa shina la wakereketwa wote walienda kumuona. Yalioneshwa mapenzi makubwa na utu.

Mambo ya afya ni mambo ya familia zaidi. Familia ya Professor J iliomba Watanzania wamchangie hawajawahi kuomba Chadema kama Chama wasaidie. Matakwa ya familia ndiyo muhimu kuliko siasa. Hivyo huwezi kulaumu kwa hisia zako binafsi bila kuheshimu matakwa ya familia. Kwa Watanzania maana yake ni pamoja na Chadema, CCM, CUF....... mwangalizi wa michango sio Chama ni familia.

Pili Professor J ni raia kwasasa sio mbunge wa taifa na ajaumwa akiwa ofisini. Hii nitofauti na Lissu.
 
Sijawahi kufanikiwa kuifahamu CHADEMA wala sijawahi kujua ndani ya CHADEMA ni nani anaweza kusaidiwa kwa michango pale anapopatwa tatizo. Nikikumbuka Tundu Lissu alipopatwa na tatizo alisaidiwa na chama chake kwa hali na Mali na hapo hakuwa na cheo chochote ndani ya CHAMA( Naomba kusahihishwa kama nimekosoa)

Kilichonisukuma Leo kutaka kuifahamu CHADEMA ndani ya suala hili la kuchangiana ndani la CHADEMA ni juu ya mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho Prof Jay ambaye yupo mahututi ICU. Je michango inaangalia sura, umuhimu au mtazamo wa mwenyekiti?

Ninapokumbuka mjumbe wa kamati kuu ya CCM alipoanguka ghafla kule lumumba si mwenyekiti wa CCM Taiga wala mjumbe wa shina la wakereketwa wote walienda kumuona. Yalioneshwa mapenzi makubwa na utu.
Wewe sio mzima hivi unajua Chadema wametoa shilingi ngapi au unaandika tuu hapa
 
Sijawahi kufanikiwa kuifahamu CHADEMA wala sijawahi kujua ndani ya CHADEMA ni nani anaweza kusaidiwa kwa michango pale anapopatwa tatizo. Nikikumbuka Tundu Lissu alipopatwa na tatizo alisaidiwa na chama chake kwa hali na Mali na hapo hakuwa na cheo chochote ndani ya CHAMA( Naomba kusahihishwa kama nimekosoa)

Kilichonisukuma Leo kutaka kuifahamu CHADEMA ndani ya suala hili la kuchangiana ndani la CHADEMA ni juu ya mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho Prof Jay ambaye yupo mahututi ICU. Je michango inaangalia sura, umuhimu au mtazamo wa mwenyekiti?

Ninapokumbuka mjumbe wa kamati kuu ya CCM alipoanguka ghafla kule lumumba si mwenyekiti wa CCM Taiga wala mjumbe wa shina la wakereketwa wote walienda kumuona. Yalioneshwa mapenzi makubwa na utu.
Ww unashida upstairs Kama sio chawa. Kama alivyochangiwa tundu kisu na sisi Watanzania ndivyo ilivyo kwa Prof. J tunaona umetumwa kuchafua mood za watu. Peleka propaganda zako kwengine
 
Hata Malisa alichangisha kinafiki tu, huwa haitishi michango kama mwenye tatizo sio mchaga
 
Umeandika haya baada ya kupata kutoka kwa prof au umeamua kuwa mpuuzi??, Una taarifa juu ya nini wamekifanya chadema kwa prof??.

Cdm mpk juzi wamechanga zaid ya 20m kwaajili ya prof. Au unataka cdm nchi nzima waendee mhimbili?.
Huyu mtoa mada ana kaupuuzi fulani hivi. Achana nae tu
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Sijawahi kufanikiwa kuifahamu CHADEMA wala sijawahi kujua ndani ya CHADEMA ni nani anaweza kusaidiwa kwa michango pale anapopatwa tatizo. Nikikumbuka Tundu Lissu alipopatwa na tatizo alisaidiwa na chama chake kwa hali na Mali na hapo hakuwa na cheo chochote ndani ya CHAMA( Naomba kusahihishwa kama nimekosoa)

Kilichonisukuma Leo kutaka kuifahamu CHADEMA ndani ya suala hili la kuchangiana ndani la CHADEMA ni juu ya mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho Prof Jay ambaye yupo mahututi ICU. Je michango inaangalia sura, umuhimu au mtazamo wa mwenyekiti?

Ninapokumbuka mjumbe wa kamati kuu ya CCM alipoanguka ghafla kule lumumba si mwenyekiti wa CCM Taiga wala mjumbe wa shina la wakereketwa wote walienda kumuona. Yalioneshwa mapenzi makubwa na utu.
Chadema wamechanga tsh milioni 22 kwa ajili ya Jay

Wewe umeshawahi kuikamata hiyo hela hata kwenye mchango wa harusi yako!!!
 
Sijawahi kufanikiwa kuifahamu CHADEMA wala sijawahi kujua ndani ya CHADEMA ni nani anaweza kusaidiwa kwa michango pale anapopatwa tatizo. Nikikumbuka Tundu Lissu alipopatwa na tatizo alisaidiwa na chama chake kwa hali na Mali na hapo hakuwa na cheo chochote ndani ya CHAMA( Naomba kusahihishwa kama nimekosoa)

Kilichonisukuma Leo kutaka kuifahamu CHADEMA ndani ya suala hili la kuchangiana ndani la CHADEMA ni juu ya mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho Prof Jay ambaye yupo mahututi ICU. Je michango inaangalia sura, umuhimu au mtazamo wa mwenyekiti?

Ninapokumbuka mjumbe wa kamati kuu ya CCM alipoanguka ghafla kule lumumba si mwenyekiti wa CCM Taiga wala mjumbe wa shina la wakereketwa wote walienda kumuona. Yalioneshwa mapenzi makubwa na utu.
Mbowe mwenyewe amechangiwa , Lissu alichangiwa unadhani chadema wanaiba hela za Kodi ili waensehe mavieite??? Stupid.
 
Back
Top Bottom