chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Moshi: Moto wateketeza Soko la Mbuyuni

    Soko la matunda na mbogamboga Mbuyuni lililopo wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro likiteketea kwa moto. Juhudi za kuuzima moto huo zikiendelea na bado chanzo cha moto hakijafahamika.
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mpasuko mkubwa CHADEMA Mbeya mjini, Msigwa avunja uongozi huku walioondolewa wakimpinga. Ni mparaganyiko mkuu

    Mpasuko mkubwa umeukumba uongozi wa Chadema Mbeya mjini na hii ni dalili kuwa hawako kwenye good terms. Sijui lini watafika mbali =========== Mchungaji Msigwa: Tumeuvunja uongozi wa jimbo la Mbeya mjini na tunawapa mkoa siku tatu kwa mujibu wa katiba kama nilivyosema kuunda timu(Task force)...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Chama ni viongozi. CHADEMA kina hali gani pasipokuwa na viongozi wake wakuu?

    igweeee! Ni muda sasa chama kikuu cha upinzani Tanzania CHADEMA kinapitia changamoto kubwa kiuongozi kwani mpaka sasa chama hiki viongozi wake wakuu hawapo huru kukitumikia chama. Mwenyekiti Mbowe yuko huko segerea kutokana na charges zile ambazo zinaeleweka zipo kimchongo, mpaka sasa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ukimsikiliza vizuri Lt Urio hii kesi ya Mbowe ilipaswa kuwa ya Uhaini siyo Ugaidi. Urio aliombwa kusaidia CHADEMA kutwaa madaraka Wananchi wasiteseke

    Kama utafuatilia kwa makini maelezo ya lt Urio utagundua kesi hii ya Mbowe na makomandoo wa JWTZ ( wastaafu) ilipaswa kuwa ya Uhaini siyo Ugaidi. Kutwaa madaraka kinyume cha katiba ya JMT kwa kutumia wanajeshi ni uhaini. Urio anakiri Mbowe aliomba msaada wake ili CHADEMA itwae madaraka...
  5. Ritz

    JamiiForums Tanzania CHADEMA sasa hivi wanashikiwa akili na Lissu, Lema na Wanaharakati

    Wanaukumbi, Tatizo kubwa la vijana wa Chadema na wafuasi wao karibia wote sasa hivi wanameshikiwa akili na Lissu, Lema na wanaharakati huko Team Space kila siku mnajikuaanya na kulishwa pumba mnameza tu. Hakuna taifa duniani ukigusa mambo yanayohatarisha ‘National Security’ serikali...
  6. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yahamishiwa Ubelgiji na Mtandaoni

    Ninapenda kwanza kutoa heshima zangu kwa Mheshimiwa Mbowe, aliyekuwa kizuizini, kwa kuonewa na bila kupewa haki yake kama sheria inavyosema. Nikirudia mada yangu, hivi karibuni tumeona kuwa shughuli zote za hiki chama kikubwa cha upinzani zikihamishwa, kutoka mikoni mwa Ofisi zake za kisheria...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ni kweli CHADEMA hulipana posho za mamilioni kila wanapohudhuria kesi ya Mbowe?

    CHADEMA sasa ni kama haina uongozi, imekatwa kichwa, Mwenyekiti Yuko gerezani, Makamu anakula kuku ubeleji. Kuna taarifa kwamba viongozi hulipana posho za mamilioni Kila siku wanapohudhuria kesi ya Mbowe, kama taarifa hizi ni za kweli, basi Kuna ubadhirifu mkubwa sana unaendelea. Nashauri...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania John Mnyika awaongoza waombolezaji kuaga mwili wa kada wa CHADEMA, Sarah Alex

    Katibu Mkuu (Kushoto) Mhe. @jjmnyika na Mratibu Uhamasishaji @bavicha_taifa Mhe. @Twaha_Mwaipaya (kulia) wakiwa katika kanisa la Uamsho la Morovian katika ibada ya kumuaga mwimbaji Sarah Alex leo Januari 24, 2022. Kabla ya kuanza safari ya kuelekea Tanga kwaajili ya maziko.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini kuhusu CHADEMA katika hii miaka 30 tangu iasisiwe? Sitasahau nyomi la Lowassa pale Jangwani 2015

    Katika umri wake wa miaka 30 Chadema imefanya mengi ya kulisaidia taifa lakini pia imekuwa kikwazo kwa baadhi ya mambo ya kimaendeleo nyakati zingine. Je, unaipongeza Chadema kwa lipi? Je, ungependa chama hiki kikuu cha upinzani kijirekebishe katika maeneo gani? Je, unafikiri Chadema ni chama...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ndiye mwenyekiti ajaye wa CHADEMA

    Nimekuwa nafuatailia siasa za hiki Chama takriban miaka ishirini iliyopita. Kama sikosei hiki chama nafasi ya Mwenyekiti imewahi kuwa na wenyeviti watatu ambao wawili kati yao ni mtu na Mkwe wake yaani Freeman Mbowe na Mzee Edwin Mtei. Kutokana na kelele nyingi saana toka ndani ya chama kutaka...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025 itakuwa ni vita baina ya CHADEMA, CCM ya Samia na Muunganiko wa ACT Wazalendo na Sukuma Gang

    Hiki ndicho nachokiona na pia ndio nakisikia kwa habari za chini chini. Hata hivyo, coalition ya SUKUMA GANG + ACT haiwezi kuwa na nguvu unless wangeihusisha CHADEMA, ila tatizo ni vigumu kwa SUKUMA GANG kuomba ushirikiano na CHADEMA kwa uhalifu waliofanya dhidi ya chama hiki wakati wa...
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania Manyara: Vingozi wa CHADEMA wakamatwa kwa kufanya Mkutano Stendi, Wakiri kosa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara linawashikila Viongozi watatu wa CHADEMA kwa kosa la kufanya mkutano bila kibali katika eneo la Stendi ya Katesh wilayani Hanang. Viongozi wanaoshikiliwa ni Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake (BAWACHA) mkoa wa Manyara Regula Mtei (45), Valentina Shayo (37) Mhasibu...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Miaka 30 ya Chadema, Swot Analysis, PEST Analysis, Imarisheni Strengths, Shughilikieni Weakness, Start A Fresh!.

    Wanabodi, Chadema imetimiza miaka 30. Tangu ile Chadema inazaliwa miaka 30 iliyopita, imezaliwa na kunikuta mimi tayari niko newsroom kwa zaidi ya miaka 2, hivyo Chadema imezaliwa naiona, inakuwa naiona, ilipofika peak naiona, na sasa imeanza kusinyaa naiona, na ikiendelea hivi kwa mwendo huu...
  14. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Kuna nchi zilipigwa Nuclear Bombs na bado zilisimama, msikate tamaa!

    Hata wajaribu kubomoa vipi bado Tanzania itabakia na tutakuwa na muda wa kuijenga upya, mifano ipo mingi Duniani, kuna nchi zilipigwa mabomu na kuna majivu wakajipanga wakaokota tofali kwa tofali na kujenga upya leo hii ni nchi tajiri kila mtu anapenda kwenda kuishi huko. Hivyo hakuna kukata...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usikubali. CCM walikataa Katiba leo wanataka Katiba Mpya, walidhani Katiba ni ya CHADEMA tu

    Leo maji yamewafika shingoni wanakosa jinsi ya kukutoa madarakani wanaanza kujipitisha huku wakisema katiba mpya inahitajika, walidhani mfumo dume utadumu milele hawakujua mungu ndiye apangae. Sasa hivi wa CCM wanaumizwa na katiba kuliko wana Chadema.
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Wana-CHADEMA mna chuki na Sabaya sababu alisimama kidete kumg'oa Mbowe Hai na kuifuta CHADEMA. Kwenye maisha lolote linaweza tokea msikariri

    Alichofanya ni kuwaambia watu wa Hai kuwa hawana Mbunge maana anashinda Dodoma akila bata. Watu wa hai wakampiga chini Mbowe. Sasa kuwa na kesi kama Armed robbery kwa aliyekuwa mkuu wa ulinzi na usalama wa wilaya mnaona kawaida? Tena kosa lenyewe analifanyia wilaya nyingine yenye mkuu wa...
  17. Mtondoli

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ya sasa ni ya kizazi cha watu waoga sana

    Inawezekana mkanipinga kama ilivyokawaida yenu huwa hampendi kuambiwa ukweli. Chadema hii ni ya vijana waoga sana sana, wako Dkt. Slaa CHADEMA walikuwa wakitangaza maandamo yanakuwa maandamano kweli. Watu walikuwa wanasafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine kushiriki maandamano. Si kwamba...
  18. comte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kujazana mahakamani ili kurekodi mwenendo wa kesi kwa lengo la kupotosha jamii na kutengeneza chuki dhidi ya mahakama siyo sawa

    Mbona mwandishi anarukaru. Hii hapa iko mwananchi ila hapa hamna Taarifa ya Uchunguzi: Shahidi: 13/8/2020 Maabara ya uchunguzi wa Kisayansi ikipokea barua na vielelezo simu nane pamoja na simu card zake kwa ajili ya uchunguzi kubaini Mawasiliano kupitia mitandao ya kijamii Kama vule Whatsapp...
  19. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Salamu za pole kwa wafanyabiashara soko la Karume

  20. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Chama chetu kinaonekana hakipo makini, CHADEMA tuna matatizo gani kukosa mikakati mizuri ya kisiasa kama ACT-Wazalendo?

    ACT ndicho chama chenye viongozi wenye akili na uwezo wa kuchanganua mambo kama wanasiasa na wasomi. Mambo haya ndiyo yalifanya manguli kama Maalim Seif (RIP) wakajiunga huko maana walikielewa sana. MASHINJI utavikwa taji na Mungu kwa kuwaambia akina Seif wasije SACCOS watajuta...
Back
Top Bottom