chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Haya mambo tuambizane Ukweli bila woga. CHADEMA mnanisikia? Toeni Tangazo tujue moja

    Corona, Covid 19? Imeisha? Imeishaje ishaje? Mbowe si alikuwa mpaka anavaa gloves zile za waendeshea pikipiki? It was stupid. Nliwahi sema aachane na hayo mambo ya kijinga mkanitukana sana. Mimi nitasema ukweli fitna kwangu mwiko. Tunaona kwenye kikao hakuna aliyevaa Barakoa, hakuna social...
  2. Emma.

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri kwenye Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA

    Kikao cha Kamati Kuu ya chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ikiendelea muda huu, ikiongozwa na Mh. Freeman Mbowe muda huu. Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama wakiwa ukumbini wakifuatilia hotuba ya ufunguzi wa kikao hicho iliyotolewa na Mwenyekiti Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe. Updates ...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Polisi Wadaiwa kuua raia kwa risasi na kujeruhi wawili kwenye kiwanja cha mpira Lake Tanganyika

    Kupitia Twitter pia, Abdul Nondo Kaandika; -- Askari polisi mwenye namba F.5123 D/ CPL Subira ambaye aliyekuwa na bunduki aina ya AK 47 adaiwa kumuua Juma Ramadhani kwa kumpiga risasi na kuwajeruhi watatu wakati akiwa kwenye harakati za kujihami kwenye vurugu zilizotokea katika kiwanja cha...
  4. mkalamo

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Nusrat Hanje ni daraja moja katika mazingira tofauti

    Kabla ya Uchaguzi mkuu wa 2020 baadhi ya viongozi wa Chadema akiwemo Nusrat Hanje walikamatwa na kufunguliwa kesi Mkoani Singida. Kesi yao mara kadhaa ilikuwa ikitajwa na wakati mwingine kuahirishwa hadi pale walipokuja kuachiwa na baadae Hanje kuteuliwa katika ubunge wa viti maalum kupitia...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ni vema mkutano wa Kamati Kuu ya CHADEMA pakawepo ulinzi wa polisi yasije yakatokea kama ya Mrema enzi za NCCR kule Tanga

    Ni ushauri tu kwa sababu kikao hiki kinaweza kuwa cha kihistoria kufuatia mambo makubwa yaliyotokea hivi karibuni. Ni wazi kuna kamgawanyiko fulani ndani ya Chadema baada ya mwenyekiti wao Freeman Mbowe kumualika nyumbani kwake KC wa ACT wazalendo Mh Zitto Kabwe. Mwaliko ule umetafsiriwa kama...
  6. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Mangula, Mbatia, Lipumba na Duni kushiriki Mkutano wa Kitaifa wa Haki, Amani na Maridhiano

    Amepiga mahesabu na kuona kuwa amepoteza mengi kwa muda wa miezi nane. Amepiga hesabu juu ya biashara zake zilizopo Dubai, Joburg na Mashamba ya maua na mbogamboga na kuona sasa bora ajisalimishe kwa wanaCcM na kuwa nao ili alinde biashara zake. Huyu kiongozi wetu ni mtu wa kujali matumbo...
  7. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Makamanda tusitegemee Mbowe kudai Katiba Mpya. Tayari ameshaingia kwenye 18 za CCM

    Kauli zake zinatia mashaka makubwa. Tayari ameshatishika na anajipendekeza kwa Rais Samia. Mimi ndiyo maana kwa machungu niliyonayo huwa naamua kusema ukweli. Mbowe tayari amenyoosha mikono juu.
  8. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Katika hotuba hizi mbili (Mbowe & Lissu) ni mwana - CHADEMA gani timamu hajawaelewa viongozi hawa kupata heshima ya kuzungumza na Rais Samia?

    Maudhui makuu ya mazungumzo ya viongozi hawa Tundu Lissu vs Mh. Rais Samia Suluhu Hassan [Brussels, Ubelgiji] na Mh. Freeman Mbowe vs Mh. Rais Samia S. Hassan [Dar es Salaam, Tanzania] ni maridhiano ya kisiasa kwa mustakabali wa kujenga Tanzania ya HAKI kama tunda la UPENDO na AMANI. Hawa...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA haikupaswa kulegezewa hata kidogo, ni watu wasiojitambua watasahau sasa hivi na kurudia waliyozoea

    Wakati wa Jakaya walilegezewa na walijisahau kiasi cha kuhatarisha amani ya taifa letu. Wakati wa maandamano yao na operation Sangara zao watu wasio na hatia waliuwawa. Sasa naona Mama Samia kwa huruma ameamua kuwalegezea lakini hawa sio watu maana ni wasahaulifu na huwa wanafanya mambo kwa...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Siasa-muziki bado pengo la marehemu Komba halijazibwa sio CCM wenyewe wala sio CHADEMA

    Wakuu Kwema. Wiki iliyopita nilikuwa kwenye sherehe ya Harusi ambayo maharusi ni wanachama wa CHADEMA na CCM. MC akaitisha challenge baina ya CCM na CHADEMA kulingana na maharusi. Waliaanza CHADEMA, ikapigwa nyimbo mbili za CHADEMA. Wala hazikuwa na amshaamsha licha ya wafuasi na wanachama wa...
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ludewa: Kiongozi wa CHADEMA apiga magoti kuishukuru CCM kwa kutekeleza ilani yake. Hii ni baada ya mto Ruhuhu kukamilika

    Diwani wa kata ya Ruhuhu wilayani Ludewa mkoani Njombe kupitia CHADEMA Atanas Haule, amejitokeza katika ziara ya Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya na kuipongeza serikali kutekeleza Ilani ya CCM kwa kukamilisha ujenzi wa daraja la mto Ruhuhu.
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania FULL TEXT: Hotuba ya Freeman Mbowe kwa Watanzania na Baraza la Wanawake Chadema Iringa 08/03/2022

    HOTUBA YA MBOWE Kama mjuavyo, nimerejea uraiani toka Gerezani siku nne tu zilizopita. Nawashukuru sana kina Mama wa Chadema kunialika kuja kuwasalimia wakati mkiadhimisha siku yenu maalum. Ukiondoa kundi dogo sana, tena tuliloliamini lakini likakiasi Chama kwa vipande vya fedha, Wanawake...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mbowe mkoani Iringa; Asema CHADEMA inachokozwa, ataja bendera ya CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) mkoani Iringa Sehemu ya kauli za Mbowe katika hotuba yake: "Tumekataa kuwa chama cha tamaa za fedha na...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wanachama CHADEMA wavutana vikali na Polisi Iringa, wakataa kushusha bendera zao

    Video ikionyesha wafuasi na wanachama wa CHADEMA wakivutana vikali na Polisi Iringa kwa kike kinachodaiwa kuwa wamekataa kushusha bendera zao za chama. Chanzo: DarMpya
  15. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Divide and Rule with Samia

    Kwa historia ya kale na Tanzania kulikuwa na Mfumo wa divide and Rule hii ilikuwa ni Aina au Mfumo wa uongozi. Mfumo huu ulikuwa unatumika kuwagawa na kuwatawala. Naam, why divide and Rule with Samia? Bila shaka Samia Mimi nampachika sifa ya kuwa Best Female Acrobatic (BFA) Hiki ni cheo/sifa...
  16. Msambichaka Mkinga

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya Maridhiano ni Ushindi wa Watanzania

    Tupo katika kipindi cha kuliponya Taifa, kutafuta maridhiano ya kitaifa, kuujenga na kuumirisha umoja wa kitaifa. Katika kufika hapo, wapo majemedari wa mstari wa mbele. Katika kufika hapo, wapo walioumia, walioteseka, waliotoa uhai, waliopotezwa, n.k. Lakini tukitaka kuwa washindi wa kweli...
  17. R

    JamiiForums Tanzania My casual observation baada ya Mbowe kuachiwa: Chadema iko mioyoni mwa watu!

    Nimepita mitaani, nikapitia mitandao ya kijamii, nimesikiliza watu wazima, watoto , vikongwe na watu kama hao, wanafurahi Mbowe ameachiwa na kuishangilia Chadema. Maana yake nini? Chadema iko mioyoni mwa watu! Erythrocyte
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania CCM sasa inaanda pigo Kali litakaloiua kabisa hoja ya katiba ili Chadema wabaki hawana ajenda, zote zitakuwa zimedhibitiwa.

    Muda si mrefu Chadema wataishiwa ajenda, mkakati uko mezani kuizima kabisa ajenda ya katiba mpya, ife kifo Cha kawaida (natural death). Baada ya kuizima ajenda hiyo unadhani CDM itabaki hai? Hapana, watakosa Cha kusema, hashtag zitakufa, watabaki wanatazamana, wafanye nini. Watu wako...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA wataendelea kugomea ruzuku?

    Waungwana, Uongozi wa Chadema chini ya Mbowe ulitangazia watanzania uamuzi wa kususia ruzuku hadi pale kutakapokuwa na "tume huru ya uchaguzi" na katiba mpya. Hadi sasa mambo yako vilevile na hakuna dalili ya mabadiliko. Je, Mbowe ataendelea kugomea ruzuku hata baada ya kutoka jela?
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nina uhakika kwa hili la 'Freeman' hivi sasa wana CHADEMA wote wanampenda 'Mama' na 2025 wote watampigia 'Kura' zao aendelee kuwa Rais wa Kusamehe TZ

    Kweli nimeamini unaweza Kuchukiwa na Watu ( hasa Maadui zako ) kwa 75% ila ukaja kufanya Jambo moja na hao hao Maadui zako kwa 100% wakabadilika na kuanza Kukupenda. Kwa Furaha kubwa niliyoiona kwa wana CHADEMA wengi baada ya 'Freeman' kuachiwa na kwa Upendo wa ghafla waliouonyesha kwa 'Mama'...
Back
Top Bottom