chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Chadema Msituangushe vijana 2025. Bungeni njia ni nyeupee pee.

    Kila mmoja anaona mwenendo mbovu w serikali na Bunge letu. Mijadala haieleweki. Serikali haina msimamizi kabisa Kwa ninavyoona upinzani msilambe asali mkatusaliti 2025 naomba mtupe nafasi tuende bungeni. Najua mmepigwa stop mikutano ya hadhara lakini tunawasubiri Kwa hamu 2025 mkiliamsha...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nyerere aliwahi sema “Nilitegemea majitu yenye nguvu ndani ya CCM yangehamia upinzani ili kupambania mabadiliko ya nguvu”

    1. RIP kwa wote waliotangulia, miongoni mwa watu maarufu na wenye ushawishi / mvuto Mrema alihamia upinzani kwa shinikizo la Mwl Nyerere Sumaye alihamia upinzani kutafuta umaarufu alioukuwa akiendelea kuutamani Lowasa alienda kwa kusukumwa na tamaa yake ya Urais Kingunge alihamia huko kufukuzia...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mdude Chadema: Mijitu inawaza tozo ili ilipwe posho tu

    Dah 👇 Huwa nasisitiza mara zote kuwa tunahitaji #KatibaMpya hata kwa njia za mkato, fikiria hili jitu linafananisha tozo za nchi maskini Tz na Ulaya. Halitaki kufananisha demokrasia Tz na Ulaya lenyewe linawaza tozo tu ili lilipwe posho. Kwanza linapotosha Ulaya ni Kodi tu hakuna tozo...
  4. Mystery

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje CCM waliokuwa hawawataki wapinzani Bungeni, leo hii wawakumbatie Wabunge 19 wa Chadema?

    Ni dhahiri kutokana na maneno na vitendo vyake, Hayati Magufuli, hakutaka vyama vya upinzani, hususani Chadema, viendelee kuwepo hapa nchini. Huyo Mwendazake, aliwahi kusikika akitamka hadharani Katika sherehe za kuazimisha, kuzaliwa kwa CCM, huko Singida, akijiapiza kuwa ifikapo 2020, atakuwa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kishindo Kamati Kuu Chadema, Serikali imefuta Tozo ghafla

    Kama kawaida ya chama makini cha watu na watanzania kila kinapokohoa tu lazima asubuhi au usiku huo huo tushuhudie matamko ya serikali. Ni juzi tu Mh Mbowe alikohoa kuhusu tozo basi baraza la mawaziri halikulala. Juzi na jana Kamati kuu ya Chadema ikideal na maswala mtambuka ya Nchi ikiwemo...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Chadema: Wabunge 19 wa viti maalumu waondolewe Bungeni kabla ya mwezi Novemba, 2022

    Mzungumzaji kuu ni Mhe. Salimu Mwalimu, Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho ambaye anaelezea maamuzi ya kamati kuu iliyoketi Septemba 17-18, 2022 Kamati kuu imeitaka Serikali kupeleka muswada wa kufuta sheria mpya ya tozo ambayo imekuwa mzigo mkubwa kwa watanzania. Serikali ije na mpango madhubuti...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu mwenye kujitambua na mwenye Akili Timamu anayeweza kuishabikia au kuiunga mkono CHADEMA kwa Sasa

    Ndugu zangu huo ndio ukweli japo Ni mchungu lakini ndio uhalisia wenyewe wa mambo, kwa Sasa hakuna mtu mwenye Akili Timamu na anayejiheshimu anayeweza akaanza kuiunga mkono Chadema Kwa Sasa Ni chama kilichokosa dira na muelekeo, Ni chama kilichokosa uongozi wenye kufanya maamuzi ya mwisho na...
  8. happyxxx

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na CHADEMA endeleeni kulamba asali, msijifiche kwenye jina la Magufuli

    Baada ya kulipwa "pesa zao" na serikali ya Mama Samia awa viongozi wa Chadema wamekuwa kimya sana na zaidi wameingia kwenye maridhiano ambayo wafuasi wao hawajui wanaridhiana kitu gani. Inaonekana magwiji wa siasa nchi hii viongozi wa CCM wamewazidi ujanja kwenye discussion. Mbaya zaidi...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Septemba 20, 2022

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kimeitisha Mkutano na Waandishi wa Habari, tarehe 20/09/2022 , Saa 5 Asubuhi kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho, zilizoko nje ya Jiji la Dar es Salaam huko Kinondoni, Mtaa wa Ufipa. Wote Mnakaribishwa.
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chadema wanamfananisha Ruto na Tundu Lissu wakati Wakenya wenyewe wanadai Ruto ni Magufuli mwingine!

    Chadema walijipendekeza kwa Dr Ruto wakati wa kampeni wakijinasibu kwamba anafanana sana na Tundu Lissu. Lakini Wakenya wenyewe wanadai wamemchagua Ruto kwa sababu ni Mkweli tena ana hofu ya Mungu kama hayati Magufuli. Ufipa st sasa wamepigwa butwaa
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mdude Chadema: Nimepata taarifa kuwa Ikulu wana mpango wa kunishughulikia kama enzi za mwendazake

  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Huyuk kiongozi wa Chadema ndio kusema hataki panya road kudhibiwa? Au ndio kupingapinga tu. ? Mkimbizi ni mkimbizi tu.

    Tungesikia malalamiko ya ndugu za marehemu kuwa haki haikufanyika sawa. Sasa hawa analalama nini?
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni Watani zangu Kisiasa na Marafiki, ila mnatuangusha mno Watanzania hadi kuhisi Mmeshanunuliwa kwa Bei rahisi

    Kwa mambo yanavyoendelea nchini Tanzania hasa hasa baada ya tarehe 17 Machi, 2022 kuna Chama na Kiongozi wake Tanzania imeshawashinda kiasi kwamba wengine wanatamani tu Tukio lolote litokee ( hasa Ulaya ) ili wakapumzishe Kwanza Akili kwani walichokitegemea sicho. CHADEMA nilidhani Kipindi hiki...
  14. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Moto wafukuta ndani ya kikao cha kamati kuu ya CHADEMA

    Baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 uongozi wa Chadema ulitangaza kususia kupokea ruzuku kutoka Serikalini ikiwemo ruzuku ambayo walistahili kupata kupitia Wabunge 19 wa viti maalum wa chama hicho kwa madai kuwa uchaguzi huo haukuwa huru na wa haki pamoja na kudai kuwa mchakato wa upatikanaji wa...
  15. Monica Mgeni

    JamiiForums Tanzania Nyepesi: Huwezi amini lakini CHADEMA wamefikia hapa...Yetu macho

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinaendelea na vikao vya ndani ambavyo vilianza kurindima tarehe 17/09/2022. Sasa tazama hizi picha kisha tafakari nini namaanisha.
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo kuwaponda CHADEMA kuwa hawana ofisi sio vizuri. Muwe mnawashauri kwa barua wajenge ofisi

    This is not good at all 👇
  17. B

    JamiiForums Tanzania ITV rekebisheni Pareso si mbunge wa CHADEMA

    kwenye taarifa ya habari saa mbili usiku huu ITV inamtaja Pareso kua mbunge wa chadema hii haikubaliki
  18. Diversity

    JamiiForums Tanzania SI KWELI BAVICHA yatofautiana na maagizo ya Baraza kuu la chama chao, yaunga mkono tozo zinazokusanywa na Serikali

    Barua inayosemekana ya CHADEMA ikieleza malalamiko ya Baraza la vijana la Chadema (BAVICHA) kutoridhishwa kwao na maagizo yanayotolewa nje ya vikao rasmi vya katiba ya chama chao. Barua inayodaiwa kutolewa na BAVICHA ikipingana na maelekezo ya baraza kuu la chama chao
  19. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Sabaya kiongozi Mkuu wa Upinzani baada ya 2025 anayetengenezwa kimkakati na CCM. Ubunge. ukuu wa wilaya na mkoa wala uwaziri si level zake

    Sabaya kwa Sasa ni mwanasiasa mwenye mvuto kuliko wote Tanzania ni kwa sababu CCM wamemtengeneza kimkakati Utawala uliopo uko tayari kabisa kumkuza Sabaya na kumpa nguvu zote kuliko Upinzani uliopo . Mvuto kisiasa wa Sabaya ni zaidi ya Mtanzania yeyote sauti yake inasubiriwa na vijana wengi...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yataka Mwigulu ajiuzulu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekoleza moto kuhusu kilio cha tozo za miamala ya kielektroniki huku kikitaka Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba kuachia ngazi au atumbuliwe. Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema kutokana na suala hilo kuzidi kulalamikiwa na...
Back
Top Bottom