chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbatia ailipua Serikali ya CCM, aitaja CHADEMA

    James Mbatia, kiongozi aliyetimuliwa kwenye chama cha NCCR MAGEUZI hivi karibuni, ameitupia lawama serikali ya Tanzania na chama cha Mapinduzi kwa kuratibu mchakato wa kung'olewa kwake. Katika hali ya Kushangaza Ndugu Mbatia ameishutumu pia CHADEMA kuhusika na kung'olewa kwake, japo haieleweki...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbunge aliyefukuzwa CHADEMA aomba ulinzi wa Mahakama, adai ana siri nzito

    Grace Tendega ambaye ni kati ya Wabunge 19 waliovuliwa Uanachama na chama hicho alitoa ombi hilo mbele ya Jaji Cyprian Mkeha ambaye alimjibu kuwa anatakiwa kujibu maswali kama anavyoulizwa na sio nje ya hapo. Wabunge hao walifika Mahakamani kuhojiwa kuhusu ushahidi wa Malalamiko ya Viapo baada...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Kesi ya wabunge 19 wa viti maalum waliofukuzwa CHADEMA, Wakili Kibatala aanza kuwahoji mahakamani

    Dar es Salaam. Kesi ya wabunge wa viti maalumu waliofukuzwa uanachama katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na wenzake 18 dhidi ya chama chao hicho cha zamani imeanza kuunguruma mahakamani, baada ya kukwama mara tatu. Mdee ambaye alikuwa mwenyekiti wa Baraza la...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mahakama imemuachia huru Gerald Mwakitalu (CHADEMA). Alifungwa maisha

    Tarehe 15/02/2022 Mahakama wilaya ya Kyela, Mbeya ilimpa hukumu Gerald Mwakitalu kifungo cha maisha kwa mashtaka ya kudaiwa kuchoma nyumba ya mgombea wa CCM wakati wa kampeni za uchafuzi 2020. Leo 7/10/2022 ameshinda rufaa yake, amefutiwa hukumu hiyo, yupo huru. ====== Ni Gerald Mwakitalu...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Hivi Vijana wa CHADEMA Wanatumia kitu gani kinachoharibu uwezo wao wa kufikiri na kujenga hoja? Mbona hawana adabu wala hekima?

    Ndugu zangu nimeuliza nipate kusaidiwa kupewa majibu maana nikiangalia na kufuatilia kwa makini naona hatari kubwa Sana iliyopo mbele ya chama hiki, wataalamu wanasema kuwa ukitaka kujuwa urefu wa maisha ya chama chochote Basi huna budi kuangalia uwezo wa kiuongozi wa vijana waliopoo katika...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Pambalu, Mwaipaya, Lema, Asenga, Hilda, Heche na Mdude mnaiua Chadema

    Watajwa hapo juu wameamua kukesha kwenye mtandao wa Twiter 24/7 kupiga porojo na kutukana muda wote. Inatia huruma sana kwa umri mlionao badala ya kufanya mambo ya kuigwa na walio wadogo zenu nyie mmeamua kwa makusudi kabisa kuwahadaa vijana wadogo wa nchii kwa kuandika habari za kusadika na...
  7. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ufisadi na ubadhirifu unaondelea nchini kuipatia CHADEMA nguvu za kisiasa tena. Awamu ya 5 CHADEMA ilipotea baada ya ufisadi kudhibitiwa

    Kwa namna Mapato ya Serikali yanaonekana kuwa hayatumiwi vyema ili hali Serikali inakusanya mapato mengi kupitia kodi, tozo na faini pia hata ada kibao. Wakati wa hayati JPM alidhibiti mianya ya upotevu wa pesa za umma. Aliweza kuwa na ukusanyaji madhubuti wa pesa za umma na zote zikatunzwa...
  8. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Tuliharibikiwa tuliporuhusu ufisadi wa bilioni 10 Chadema. Sasa tunahangaika namna gani kuchangisha watu

    Tulipaswa kukomaa ili waliokula bil kumi zetu wazitapike. Mbowe na genge lake walipaswa kuzitema. Leo hii tunahangaika kupata mapato. Join ze chain imefeli na sasa tuje na mkakati gani kuchangishana pesa?
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Idugunde: Tusipotoshe umma wafuasi na wanachama wa CHADEMA hawatetei majambazi wala uhalifu. Criminal justice must prevail

    Kwenye ukweli basi ukweli uwekwe wazi. Hakuma mtanzania anyependa uhalifu. Kama jambazi ana silaha na anakiwa mkaidi kutii basi huyo ni halali ya polisi. Lakini inasikitisha kusikia kuwa mtuhumiwa alikamatwa nyumbani kwake na mpaka binti yake na yeye wakavuliwa nguo ili wafanye mapenzi kisa tu...
  10. happyxxx

    JamiiForums Tanzania Chadema kimekuwa chama cha kutetea majambazi, inasikitisha sana

    Kwa sasa kero kubwa kwa wananchi imekuwa kukithili kwa ujambazi na majambazi yamekuwa tishio. Jeshi la police linajitahidi kupambana na majambazi kwa kila namna ili kuifanya nchi kuwa sehemu salama ya kuishi. Kwa bahati mbaya chama cha chadema (zamani CHADEPA) wao wamesimama kutetea majambazi...
  11. N

    JamiiForums Tanzania 'Chadema ni mpango wa Mungu', 'Mungu ibariki Chadema'; ndo kauli pekee zilizobaki za kujifariji wanachadema! Hakuna jingine teeena!

    Ndo ukweli! Kwa sasa hakuna hoja tena, ni kujifariji na kujifariji na kujisariji na kujifariji kwa kutumia mgongo wa Mungu. Ukiuliza tundu lissu anafanya nini ughaibuni? Utasikia 'chadema mpango wa mungu' Ukiuliza ilikuaje lowassa akagombea kupitia cdm? Utasikia, 'chadema mpango wa Mungu'...
  12. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Chadema yashuku mauaji majambazi Serengeti

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeshuku mauaji yaliyofanywa na Jeshi la Polisi dhidi ya majambazi wilayani Serengeti, Mkoa wa Mara, kikitoa hoja nne kuthibitisha mashaka yake. Mashaka hayo yanaibuka ikiwa ni karibu wiki moja tangu Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Mara, Longinus...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kigogo CHADEMA awalipua Polisi, ni kuhusu tuhuma za kuua

    Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Raia Mwema, Jumanne Septemba 27, 2022.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari Umakamu mwenyekiti CCM hakuna kuachiana hadi uchaguzi ufike, hawataki unafiki tofauti na Chadema!

    Kwa mfano Dr Shein ndiye Makamu mwenyekiti wa CCM upande wa Zanzibar hadi sasa Dr Mwinyi ambaye ni Rais wa Zanzibar atapokea kijiti wakati wa Uchaguzi mkuu wa chama Mungu wa mbinguni ibariki CCM
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Polisi wathibitisha kumkata Catherine Ruge wa CHADEMA

    Jeshi la Polisi, Mkoa wa Mara limemkamata Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), Catherine Ruge. Ruge amekamatwa leo Jumamosi, Septemba 24, 2022, muda mfupi baada ya kufika Mjini Musoma, Mkoa wa Mara kwa ajili ya kuzungumza na waandishi wa habari. Lengo la...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Serengeti: Catherine Ruge wa BAWACHA akamatwa na polisi

    Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), Catherine Ruge. Jeshi la Polisi, Mkoa wa Mara limemkamata Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), Catherine Ruge. Jeshi la Polisi, Mkoa wa Mara limemkamata Katibu wa Baraza la...
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mdude Chadema: Wanafunzi wanaolipa kodi ya VAT wakinunua madaftali wanasoma kwenye mapagala!

  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mdude Chadema: Familia masikini ndio zinaumia kwa tozo za serikali ya Rais Samia

  19. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Chadema Msituangushe vijana 2025. Bungeni njia ni nyeupee pee.

    Kila mmoja anaona mwenendo mbovu w serikali na Bunge letu. Mijadala haieleweki. Serikali haina msimamizi kabisa Kwa ninavyoona upinzani msilambe asali mkatusaliti 2025 naomba mtupe nafasi tuende bungeni. Najua mmepigwa stop mikutano ya hadhara lakini tunawasubiri Kwa hamu 2025 mkiliamsha...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nyerere aliwahi sema “Nilitegemea majitu yenye nguvu ndani ya CCM yangehamia upinzani ili kupambania mabadiliko ya nguvu”

    1. RIP kwa wote waliotangulia, miongoni mwa watu maarufu na wenye ushawishi / mvuto Mrema alihamia upinzani kwa shinikizo la Mwl Nyerere Sumaye alihamia upinzani kutafuta umaarufu alioukuwa akiendelea kuutamani Lowasa alienda kwa kusukumwa na tamaa yake ya Urais Kingunge alihamia huko kufukuzia...
Back
Top Bottom