chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii. CHADEMA wana macho? Je, wawasamehe Wabunge 19 wabarikiwe, au wakomae nao walaaniwe?

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi za kwa maslahi ya taifa, Chadema ni chama cha Kitaifa hivyo haya yanayoendelea ndani ya Chadema katika huu mgogoro wake na wabunge wake 19 wa viti maalum, una athari za Kitaifa zenye maslahi kwa taifa. Hoja yangu ya leo...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kituo cha basi Magufuli hakijabadiliswa jina. Wafuasi wa CHADEMA walipotosha mitandaoni kwa nia ovu

  3. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Taasisi zote makini za kijamii huweka misingi imara ya itikadi zao kuanzia kwa watoto. CHADEMA jifunzeni kwa chipukizi CCM

    Kwa siku kadhaa nimeshangazwa na wafuasi wa chama cha Mbowe kushambulia idara ya chipukizi iliyo chini ya UVCCM kana kwamba ni jambo la ajabu sana kuwahi kufanyika. Wanaoshangazwa na uwepo wa chipukizi wanatakiwa kujikumbusha kuwa chipukizi CCM haijaanza leo. Ni idara ambayo ipo kwa miaka mingi...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Chadema yawasilisha barua Ofisi ya Bunge kufuatia sakata la kina Mdee

    Kama walivyoahidi jana kwenye Mkutano wao na Waandishi wa habari , leo wamekamilisha . --- Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewasilisha barua Ofisi ya Bunge la Tanzania, kikimkumbusha Spika wa Bunge hilo, Tulia Ackson kuwaondoa wabunge Halima Mdee na wenzake 18 bungeni, kikieleza...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nilitahadharisha kuhusu CHADEMA na Wabunge 19 kuwa hukumu zitakuwa za kutatanisha

    Hivi ule Uzi wangu GENTAMYCINE niliouandika hapa JamiiForums mapema mwaka huu hamkuuelewa au ni Jeuri na Dharau zenu tu? Nilisema kuwa CHADEMA na Watu wengine acheni Kuhangaika na hii Kesi ya hawa Wabunge wenu Waasi 19 kwani hakuna ambacho Kitabadilika na wataendelea kuwa Wabunge hadi June...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nielimisheni kuhusu kesi ya Wanachama 19 wa CHADEMA

    Hukumu ya wanachama 19 wa CHADEMA ilitolewa na Mhe. Jaji Mkeha kuhusu wanachama 19 wanaodaiwa kuwa walijipeleka Bungeni bila ridhaa ya Chama chao. Hukumu imetoka na kueleza kuwa Kamati Kuu ya CHADEMA ilifuata taratibu zote kuhusu kuwafukuza. Pili hukumu imetoka kuwa kulikuwa na dosari katika...
  7. W

    JamiiForums Tanzania John Wegesa Heche turufu pekee iliyosalia CHADEMA kuelekea kufutika kwake baada ya Chaguzi kuu za 2024 & 2025

    Mtu pekee anayeweza kuihuisha CHADEMA ili iendelee kusalia kwenye medani hizi za siasa za ushindani na mwenye integrity kwa Mungu na Umma ni John Wegesa Heche. Nafahamu CHADEMA Kuna watu wamefilisika na kuuawa kisa Utetezi wa Chama hicho, Kwa jicho langu la kiuchunguzi kama haya makundi...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari wa ndani na Nje ya Nchi 17/12/2023

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , chama cha siasa kinachotajwa kuungwa mkono na Idadi kubwa ya wananchi kuliko Chama chochote nchini Tanzania , jumapili 17/12/2023 , kitaongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya Nchi . Mahali ni pale pale kwenye Makao Makuu ya Chama hicho nje...
  9. olimpio

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Wabunge 19 wa CHADEMA hawakuwa na baraka za chama?

    Je, ni kweli uongozi wa Chadema hawakutoa baraka kwa wanaoitwa covid-19 kwenda bungeni? Je, ni kweli walienda bila uongozi kuwateua? Kama ni kweli inakuaje hawa waliondoka bila wenza wao kujua? 1. Bensoni Kigaila(Kiongozi wa chadema) mke wake ni mmoja wa wanaoitwa covid -19, je alimtoroka mme...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee na wenzake Washinda kesi dhidi ya CHADEMA. Waendelea kuwa wanachama wa CHADEMA. Kuendelea na Ubunge wao

    Haya hapa ni baadhi ya Maelezo ya Jaji . Kama tulivyotarajia , Jaji ameamua hivi . ==== Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam imewapa ushindi Halima Mdee na wenzake 18 kwenye kesi yao waliyoiwasilisha Mahakamani hapo dhidi ya Uamuzi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wa...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbeya: CHADEMA Digital yatikisa, Wazee kwa Vijana wamiminika kujisajili

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Joseph Mbilinyi, leo ameongoza Kampeni Kabambe ya Kusajili wanachama wapya kwa njia ya kisasa ya Mtandao (Chadema digital) Umati Mkubwa uliojitokeza unaonyesha kwamba CHADEMA ndio chama kilichobeba matumaini ya wananchi , Sugu na timu yake ni dhahiri kwamba...
  12. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Waliosambaza taarifa potofu dhidi ya Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango kukiona cha mtema kuni. Waziri Nape atoa maelekezo

    Kupitia mtandao wa kijamii X, Waziri Nape Nnauye amesema kuwa ameelekeza vyombo vinavyohusika kuchukua hatua za mfano dhidi ya wote waliozusha na kusambaza taarifa za uongo dhidi ya Makamu wa Rais. Nanukuu "Pole sana Mhe Makamu wa Rais. Tumekusikia. Kwakuwa tuna sheria zinazoelekeza mitandao...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Vigogo wa CHADEMA wahudhuria Uzinduzi wa Profesa J Foundation

    Uzinduzi wa Taasisi hiyo ya kusaidia wenye magonjwa ya figo inazinduliwa kwenye ukumbi wa Mlimani City , DSM , ambako watu wengi maarufu na wenye Ushawishi wamealikwa. Vigogo wa Chadema ni miongoni mwa watu wazito wa Nchi hii walioonekana Ukumbini humo UPDATES ======= Michango yao si haba ...
  14. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wana busara kuliko CHADEMA. Walimpisha Rais mafuriko ya Hanang

    TULIMPISHA RAIS SAMIA. "Nilifika Manyara jana, lakini, kwa kutambua Mh. Rais ana ratiba Katesh, hekima ilitutuma kusogeza mbele ratiba yetu ili kumpisha kisha sisi tuje leo kuona athari ya mafuriko, kuwaona wahanga na kutoa mchango wetu," Ado Shaibu, Katibu Mkuu ACT Wazalendo Katibu Mkuu wa...
  15. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Kumbe serikali kupitia jeshi la polisi waliwazuia CHADEMA kama chama kuingia Katesh - Hanang kufariji wahanga wa maafa na kutoa misaada?

    Anaandika Malisa G.J toka FB page yake Baada ya msafara wa Mbowe kuzuiwa na jeshi la polisi kwenda wilayani Hanan'g kwenye eneo lililokumbwa na maafa, Mbowe alilaumu kitendo hicho kuwa si cha kiiungwana na kinawagawa watanzania kwani wahanga wa Hanan'g wanahitaji faraja ya watu wote. Mbowe...
  16. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Manyara kuhusu kilichotokea Mlima Hanang

    Naweza kusema haya sasa ndiyo maelezo sahihi ambayo yana make sense, maana kama umemaliza form 4 naamini umesoma Geography, na hizi mambo za Mass Wasting na Mud Slides ni vitu tulivyosoma kwenye Physical Geography. ★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★ Dr. Derick Magoma, Ph.Dambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kuhujumiwa CHADEMA yafika Hospitali ya Mkoa na kusalimia Majeruhi. Yachangia pesa

    Tulishasema mara kadhaa humu JF na Kwingineko, kwamba kwenye Dunia hii hakuna mahali kokote ambako Shetani aliwahi kumshinda Mungu . Pomoja na utitiri wa hujuma, ambazo ni hujuma za kijinga zilizojaa wivu wa kipumbavu , Chadema imefanikiwa kuingia kwenye Hospitali ya Mkoa wa Manyara kuwaona...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Vatican wanakataa kumpa Uaskofu Padri Kitima baada ya kupata tetesi anataka kugombea ubunge kupitia CHADEMA?

    Kuna mtu kaniuzia habari kwamba Kanisa Katoliki Makao Makuu limegoma kumpa U-Askofu Padri Kitima baada ya "kunusa" taarifa kwamba Padri Kitima ni mshauri mkuu wa Mwenyekiti Mbowe na pia anajipanga kugombea ubunge kupitia Chadema. Kanisa katoliki lolinasifika kwa kuwa na intelijensia Kali sana...
  19. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wasitisha safari kuelekea Katesh-Hanang kuwafariji wahanga wa mafuriko kutokana na vikwazo walivyowekewa

    Kupitia mtandao wa X, GODBLESS LEMA ameandika kuwa wameamua kusitisha safari ya kutembelea wahanga wa mafuriko kateshi wilayani Hanang kutokana na vikwazo vikali wanavyokutana navyo tokea waanze safari ya kuelekea huko --- Tumekatisha safari ya kuelekea Katesh- Hanang kuona waanga wa mafuriko...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA HQ yaanzisha harambee kuchangia Hanang

    Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho kwa vyombo vya habari inawaomba watu wote Duniani wajitokeze kuchangia wahanga wa Hanang, ili angalau waweze kurudi kwenye hali ya kawaida kama walivyokuwa awali, hata kama siyo kwa 100% Maandiko Matakatifu yanaeleza kwamba MKONO WA KUTOA UNA BARAKA NYINGI...
Back
Top Bottom