Ni kweli Wabunge 19 wa CHADEMA hawakuwa na baraka za chama?

olimpio

JF-Expert Member
Apr 5, 2023
402
834
Je, ni kweli uongozi wa Chadema hawakutoa baraka kwa wanaoitwa covid-19 kwenda bungeni?
Je, ni kweli walienda bila uongozi kuwateua?
Kama ni kweli inakuaje hawa waliondoka bila wenza wao kujua?

1. Bensoni Kigaila(Kiongozi wa chadema) mke wake ni mmoja wa wanaoitwa covid -19, je alimtoroka mme wake?
2. Mzazi mwenza wa Bulaya (ni kiongozi wa chama akitokea zanzibar) , je alikua haijui mzazi mwenza wake?
3...

List inaweza kuendelea na kuwa kubwa zaidi , lakini mashaka makubwa sana yanakuja pale ambapo uongozi wa chadema unafanya makosa ya kiufundi (tactical errors) kwenye process za kuwaondoa kwenye chama ili wawe na haki ya kukata rufaa na kushinda mahakamani.

Mfano , uongozi wa juu wa chama ulifanya makusudi kuwa sehemu ya kikao cha mkutano mkuu ili maamuzi ya kuwaondoa akina Mdee na wenzake yaharibike, (Think about this...).

Wasi wasi wangu ni kuwa hii ramani ya hawa watu kwenda Bungeni ina baraka za uongozi wa juu na ilipofikia wanajaribu kufanya crisis management ili muda uishe lakini there is nothing Chadema watafanya kuwaondoa hawa watu.
 
Kwanza jiulize Magufuli na ile roho mbaya ya kuzaliwa nayo aliyokuwa nayo alikuwa na mahusiano yoyote na Chadema ?

Angalia mateso ya Lema na kuuawa kwa Ben Saanane , halafu unganisha nukta kwamba Jiwe alikuwa na mahusiano na Chadema kiasi waingie kwenye dili ? na Je Chadema ilikuwa na uwezo wa kutoa jela Nusrat Hanje akaape kuwa mbunge wa viti maalum

Kingine ni hiki , hao viongozi unaodai wake zao wamo miongoni mwa hao corona 19 , madaraka yao ndani ya Chadema yanaweza kusimamia maamuzi mazito kama hayo ?

Yaani jiulize wewe halafu ndio ulete hii hoja yako , tumia tu akili ya kuvukia barabara utaelewa
 
Leo una kazi ya kusuuza roho ya mumeo Mbowe ili apunguze hasira za hii ishu, tena ujiandae vzr mana anaweza kuchomoka na kizazi this time.
 
Mfano , uongozi wa juu wa chama ulifanya makusudi kuwa sehemu ya kikao cha mkutano mkuu ili maamuzi ya kuwaondoa akina Mdee na wenzake yaharibike, (Think about this...).
Sio kweli, katiba inakubali kamati kuu wawepo kwenye baraza kuu na hii sio CHADEMA tu ni CCM, CUF, ACT. Maana utakuaje na baraza kuu bila mwenyekiti au katibu wa chama? Unless wangesema kamati ya nidhamu ianzishwe na iwe independent na kamati kuu. Ila hakuna kosa la kamati kuu kuwepo baraza kuu maana kamati kuu ni 26 pekee whilst baraza kuu ni mamia ya wafuasi.
 
Kwanza jiulize Magufuli na ile roho mbaya ya kuzaliwa nayo aliyokuwa nayo alikuwa na mahusiano yoyote na Chadema ?

Angalia mateso ya Lema na kuuawa kwa Ben Saanane , halafu unganisha nukta kwamba Jiwe alikuwa na mahusiano na Chadema kiasi waingie kwenye dili ? na Je Chadema ilikuwa na uwezo wa kutoa jela Nusrat Hanje akaape kuwa mbunge wa viti maalum

Kingine ni hiki , hao viongozi unaodai wake zao wamo miongoni mwa hao corona 19 , madaraka yao ndani ya Chadema yanaweza kusimamia maamuzi mazito kama hayo ?

Yaani jiulize wewe halafu ndio ulete hii hoja yako , tumia tu akili ya kuvukia barabara utaelewa
Wote hao 19 ni mahawara wa viongozi wa juu wa cdm wanawazuga tu wafuasi,miguu imeota magaga kwa kufuatilia kesi!
 
Attachments

  • FB_IMG_1695019307754.jpg
    FB_IMG_1695019307754.jpg
    68.8 KB · Views: 1
Je ni kweli uongozi wa Chadema hawakutoa baraka kwa wanaoitwa covid-19 kwenda bungeni?
Je ni kweli walienda bila uongozi kuwateua?
kama ni kweli inakuaje hawa waliondoka bila wenza wao kujua?
1. Bensoni Kigaila(Kiongozi wa chadema) mke wake ni mmoja wa wanaoitwa covid -19, je alimtoroka mme wake?
2.Mzazi mwenza wa Bulaya (ni kiongozi wa chama akitokea zanzibar) , je alikua haijui mzazi mwenza wake?
3......
List inaweza kuendelea na kuwa kubwa zaidi , lakini mashaka makubwa sana yanakuja pale ambapo uongozi wa chadema unafanya makosa ya kiufundi (tactical errors) kwenye process za kuwaondoa kwenye chama ili wawe na haki ya kukata rufaa na kushinda mahakamani .
Mfano , uongozi wa juu wa chama ulifanya makusudi kuwa sehemu ya kikao cha mkutano mkuu ili maamuzi ya kuwaondoa akina Mdee na wenzake yaharibike, (Think about this...).

Wasi wasi wangu ni kuwa hii ramani ya hawa watu kwenda Bungeni ina baraka za uongozi wa juu na ilipofikia wanajaribu kufanya crisis management ili muda uishe lakini there is nothing Chadema watafanya kuwaondoa hawa watu .

Ndio tatizo la kujifungia na kudhani kila mtu yupo Kama wewe. Kwa nature ya uchaguzi ulivyoharibiwa ndio ukazaa huu ujinga. Bungeni hakuna wapinzani, ikabidi Halima Mdee na wenzake warubuniwe na mamlaka. Hanje akatolewa jela usiku kwenda kuapishwa. Unadhani ilikuwa ni kitu Cha kawaida. Tuache speculations tuangalie uhalisia.
 
Je ni kweli uongozi wa Chadema hawakutoa baraka kwa wanaoitwa covid-19 kwenda bungeni?
Je ni kweli walienda bila uongozi kuwateua?
kama ni kweli inakuaje hawa waliondoka bila wenza wao kujua?
1. Bensoni Kigaila(Kiongozi wa chadema) mke wake ni mmoja wa wanaoitwa covid -19, je alimtoroka mme wake?
2.Mzazi mwenza wa Bulaya (ni kiongozi wa chama akitokea zanzibar) , je alikua haijui mzazi mwenza wake?
3......
List inaweza kuendelea na kuwa kubwa zaidi , lakini mashaka makubwa sana yanakuja pale ambapo uongozi wa chadema unafanya makosa ya kiufundi (tactical errors) kwenye process za kuwaondoa kwenye chama ili wawe na haki ya kukata rufaa na kushinda mahakamani .
Mfano , uongozi wa juu wa chama ulifanya makusudi kuwa sehemu ya kikao cha mkutano mkuu ili maamuzi ya kuwaondoa akina Mdee na wenzake yaharibike, (Think about this...).

Wasi wasi wangu ni kuwa hii ramani ya hawa watu kwenda Bungeni ina baraka za uongozi wa juu na ilipofikia wanajaribu kufanya crisis management ili muda uishe lakini there is nothing Chadema watafanya kuwaondoa hawa watu .
Una akili chache Sana kama za Jaji Mkhekha. Hivi Kamati Kuu ya CCM si sehemu ya Halmashauri Kuu? Wajumbe wa CC ya CCM siyo wajumbe wa NEC CCM? Maamuzi ya kipumbavu yanapata sapoti toka Kwa wapumbavu wa CCM utadhani kuna Chama kina mfumo tofauti?
 
Je ni kweli uongozi wa Chadema hawakutoa baraka kwa wanaoitwa covid-19 kwenda bungeni?
Je ni kweli walienda bila uongozi kuwateua?
kama ni kweli inakuaje hawa waliondoka bila wenza wao kujua?
1. Bensoni Kigaila(Kiongozi wa chadema) mke wake ni mmoja wa wanaoitwa covid -19, je alimtoroka mme wake?
2.Mzazi mwenza wa Bulaya (ni kiongozi wa chama akitokea zanzibar) , je alikua haijui mzazi mwenza wake?
3......
List inaweza kuendelea na kuwa kubwa zaidi , lakini mashaka makubwa sana yanakuja pale ambapo uongozi wa chadema unafanya makosa ya kiufundi (tactical errors) kwenye process za kuwaondoa kwenye chama ili wawe na haki ya kukata rufaa na kushinda mahakamani .
Mfano , uongozi wa juu wa chama ulifanya makusudi kuwa sehemu ya kikao cha mkutano mkuu ili maamuzi ya kuwaondoa akina Mdee na wenzake yaharibike, (Think about this...).

Wasi wasi wangu ni kuwa hii ramani ya hawa watu kwenda Bungeni ina baraka za uongozi wa juu na ilipofikia wanajaribu kufanya crisis management ili muda uishe lakini there is nothing Chadema watafanya kuwaondoa hawa watu .

Kabla ya kuandika fanya hata research ndogo tu
 
Kwani mahakama imesemaje kuhusu hivyo vipengele? Si Chadema ndivyo walivyokuwa wakidai? Ningependa nione mahakama imesemaje kwenye hivi vipengele: kama vile kugushi barua na sahihi etc.
 
Back
Top Bottom