chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, watu wa Hanang wanahitaji misaada sio lawama zenu

    Akufaae kwa dhiki ndio rafiki wa kweli. Baada ya matatizo yaliyowakumba ndugu zetu wa Hanang tumeona CHADEMA wakitumia muda mwingi kuishambulia na kuikosoa serikali namna inavyodili na crisis ya mafuriko. Watu wa Hanang wanahitaji misaada sana kuliko kelele ambazo haziwaongezei lolote...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatuma salamu za rambirambi kufuatia mafuriko makubwa yaliyosababisha maafa huko Hanang

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekuwa chama cha kwanza cha siasa Nchini Tanzania kutuma rambirambi zilizoambatana na salamu za pole kufuatia mafuriko makubwa yaliyotokea huko Hanang na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 20 , huku watu wengine wakiwa hawajulikani walipo. Pia...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Chadema Digital yatikisa Mbarali, CCM yaanza kupagawa

    Tulionya mapema sana kwamba , huu mpango wa Chadema wa kusajili watu nyumba kwa nyumba , na huku wengine wakifuatwa hadi mashambani utakuja kuleta mtikisiko , hiki ndicho kilichotokea huko Mbarali . Kipo chama kinaanza kuweweseka kwamba Chadema Digital isifanyike wakati wa kazi au Week end ...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje CHADEMA wameacha kuishinikiza serikali kuchunguza sakata la kada wao na msaidizi wa Mwenyekiti wao Ben Saanane?

    Nastaajabu kuona chama cha CHADEMA ambacho kinajinasibu kuja kushika dola kinashindwa kuipa shinikizo ENDELEVU serikali ya CCM ifanye uchunguzi kujua ni kitu gani kilimsibu kada wao Ben Saanane. Hili linastaajabisha kwa sababu Ben Saanane alikuwa ni mwanachama, tena kada nguli wa chama, na si...
  5. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Ni ipi hasa ilikuwa sababu ya kumsimamisha Edward Lowassa kama mgombea wa Urais CHADEMA 2015? Lipi lilikuwa kosa la Dkt. Slaa?

    Je, ni kuongeza kura ,wabunge ili kupata Ruzuku kubwa? Au kulikuwa hakuna mgombea anaefaa Chamani . Kama ni ruzuku, je kama hili lilikuwa linatosha kuhalalisha tuhuma zote za ufisadi zilizotolewa na viongozi wa CHADEMA dhidi ya EL na kumfanya awe msafi? Je, aliletwa kwa maslahi ya Wananchi au...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Musoma: CHADEMA wakutana kwa ajenda moja tu ya kuitokomeza CCM

    Wakati wao wanalogana ili kugombea vyeo vya Kinana na Chongolo , Chadema Musoma Mjini imekutana na viongozi wao wa Vijiji, Kata na Jimbo kupanga utaratibu wa kuiua ccm kwenye eneo hilo . Mkakati wa sasa wa CHADEMA ni kuchukua wananchi wote na kuibakishia ccm viongozi pekee pamoja polisi , yaani...
  7. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Felista Njau aeleza namna alivyotumia pesa kupata Ubunge na kwenda kuapa Dodoma kwa siri

    Felista Njau, Mbunge wa Viti Maalumu wa CHADEMA, ameeleza jinsi ambavyo kwenye siasa za Tanzania bila kutumia pesa kununua kura huwezi kupata uongozi. Asimulia jinsi wabunge COVID-19 walivyoitwa na kigogo Dodoma kuapishwa kwa siri.
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbarali: CHADEMA Digital yaambatana na nyama choma

    Katika oparesheni kabambe inayoendelea ya kutokomeza CCM Mbarali , kikundi cha Diaspora kikiongozwa na TL Marandu kimenunua Zizi la Mbuzi kwa ajili ya nyama choma ya Watenda kazi hiyo ya kuteketeza ccm , kazi inayoongozwa kikamilifu na Liberatus Mwang'ombe. Wakati CCM wakilogana kugombea nafasi...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aandika barua ya kujiuzulu

    Taarifa zilizotufikia usiku huu ni kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, amejiuzulu nafasi yake hiyo. Vyanzo vyetu vilivyo karibu na CCM vimethibitisha kuwa tayari Chongolo amewasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa Taifa wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mara: CHADEMA yakagua Mfumo mpya wa Tume ya Uchaguzi wa kuandikisha wapiga kura

    Hii hapa ni kata ya Ikoma Jimbo la Rorya Mkoani Mara. Moja ya Kata ambazo zimeteuliwa na kinachoitwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Tanzania katika kinachoitwa maboresho ya Daftari la Kudumu la wapiga kura. CHADEMA inafuatilia jambo hili ili kutengeneza ushahidi na kujiridhisha na kila...
  11. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mpaka sasa sielewi mipango yao uchaguzi mkuu ujao

    Mpaka sasa hakuna tamko rasmi la mwenyekiti Mbowe kuhusu uchaguzi mkuu unaokuja ni vyema viongozi wakatoa tamko kama watagomea kushiriki uchaguzi mkuu au wapo tayari kuingia kwenye uchaguzi hivyo hivyo bila katiba mpya ama tume huru ya uchaguzi.
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mkakati Mpya wa CHADEMA wa kuifuta CCM Majimboni waanza vizuri

    Labda kwa wale ambao hawaelewi ni hivi , Chadema sasa imeamua kuchukua wananchi wote na kubakisha viongozi pekee , yaani wananchi wote wanakuwa wanachadema halafu ccm inabaki na Viongozi tu . DED , DC , POLIS , MAYOR , RC , MAWAZIRI , WABUNGE pamoja na familia zao , kwa hesabu hawafiki hata mil...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Bunda: CHADEMA wakutana kupanga Mikakati ya kuifutilia mbali CCM kwenye eneo hilo

    Chama Kikuu cha siasa Nchini Tanzania (CHADEMA), huko Bunda mjini kimekutana na wanachama wake kwa ajili ya kupanga mikakati mipya ya kuifuta ccm kwenye eneo hilo. Chadema yenye Wanachama hai zaidi ya mil 15 nchi nzima (kwa Mujibu wa Chadema Digital) huku ikiwa na mamilioni ya Wafuasi...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aweka bayana uhusiano wa CHADEMA na siasa za Kenya

    Nairobi, Kenya https://m.youtube.com/watch?v=UVkbMVnUkZw 2017 Uhuru Kenyatta na William Ruto 2015 Odinga na urafiki wake na Magufuli Odinga kuunga mkono siasa za mabavu za Magufuli Kabla ya hapo 2010 - 2012 ODM Raila Odinga Busara za Odinga Detention Siasa za kuumizana N.k
  15. zitto junior

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ikemee Uwepo wa Taasisi ndani ya Taasisi; unaleta mgongano wa kimaslahi

    Nikipita mitandaoni nimekutana na video ya kiongozi wa CHADEMA anaitwa ndugu Daniel Ngogo Naftali akitoa press statement kuhusiana na masuala ya Tegeta Escrow na ufisadi uliofanyika kimfumo. https://www.youtube.com/live/M1HNMuJN6mU?si=RKFzHIKMCwmmn5Gq Hoja zake ni nzito sana lakini...
  16. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kama hii ni kweli, CHADEMA hatuna viongozi tuna wapenda ndululu tu

  17. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA wafanya kikao cha siri nyumbani kwa Mbowe

    Kuna kikao kimefanyika nyumbani kwa Mbowe huko Kilimanjaro. Baada ya kikao viongozi hao wamepost picha na kuweka maneno yanayoashiria kuna jambo zito lililofanyika leo. Je, kikao hiki kinahusu nini? Kwanini kifanyike bila katibu Mkuu wala viongozi wengine waandamizi? Je, Tundu Lissu kupitia...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mshikamano wa Viongozi wa CHADEMA ndio nguzo kuu ya chama chao

    Hili tumewahi kuliandika humu na tunarudia tena, kwamba hata Mchawi hawezi kupenya kwenye jambo la pamoja, mkishaweka msimamo wa pamoja hata iweje hamuwezi kuhujumiwa. Hiki ndicho kimeifanya CCM iendelee kuitumainia Polisi kwa miaka yote, Chadema ni kisiki cha mpingo Pichani ni viongozi kadhaa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Nani Mgombea Urais kupitia CHADEMA 2025 kati ya Mbowe na Lissu?

    Wanasiasa wanaoweza kupambana na mgombea wa CCM 2025 ni wawili tu kwa sasa. Freeman Mbowe na Tundu Lissu Yupi kati ya hawa ataleta ushindani chanya?
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kufifia, kusinyaa na kunywea kwa CHADEMA

    Ni kutokana na hofu ya kusambaratika. Ishara za kumegwa na kumeguka kwa chadema left, right and center ni dhahiri. Mathalani kwa upande ule kuna kundi la wanaojiita sauti ya wananchi, upande huu kuna kundi la wanaojiita wazawa chadema patriotic front wakiwa na chairman, lakini pia upande ule...
Back
Top Bottom