Msanii wa vichekesho nchini Lucas Mhavile almaarufu Joti, ameonyesha kufurahia kusua sua kwa Maandamano ya CHADEMA ambayo yanafanyika hii leo.
Joti kupitia mtandao wa "X" ameonyesha kucheka na kujibu kwa maneno yanayoonekana kuwa ni kejeli kwa waandamanaji.
Baada ya kuonyesha kejeli, Joti alijibiwa na mwanachama wa Chadema na akaendelea kuonyesha kuwa hayaungi hayo maandamano.
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1