Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Kilwa kivinje iliyokuwa ngome kuu ya Act wazalendo sasa ni Chadema tupu.
Ikumbukwe mpaka sasa kila inakoenda kufanya mikutano yake Chadema inapata uungwaji mkono na wananchi kwa asilimia mia👇
Mchungaji Msigwa aliyekuwa mbunge wa Iringa Mjini kupitia Chadema kwa miaka 10 (2010/20), alijiunga na CCM Juni 30, 2024 kabla ya kutangaza kurejea rasmi Chadema Mei 23, 2026 amesema; "Mimi sikujua kwamba watu walikuwa wamekasirishwa sana na kitendo cha mimi kuhama kutoka Chadema kwenda CCM...
Mpo eeeh
Sasa hivi ni akijiamulia tu ndio itavyokuwa hivyo ivyo, inakuaje? Msimamo wa kiongozi mkuu wa chadema akisema tena chama cha CHADEMA hakitashiriki tena uchaguzi 2030 nini? Mtafanya wana chadema
Kufata amri au kupinga amri na kwann? Mpinge amri na wakati mwanzo mliifata
Na...
Chei chei
Viongozi hawana ushirikiano na wana vita wenyewe kwa wenyewe ndani ya chama, hakuna masikilizano kila mtu yeye yupo mbele tu hakuna anayetaka kukaa nyuma ya mwenzake
Acha tu CCM waendelee kushikilia nchi maana sioni dalili yeyote kwa CHADEMA kuingia madarakani
Msimamo wangu upo pale...
Wameshindwa kuimaliza CHADEMA.. CDM Imeibuka na kuwa
Chama bora zaidi
Chenye nguvu zaidi
Chenye ushawishi zaidi
Chenye kupendwa zaidi
Wao wameguekana sasa.. Wanafitiana uwani na kuhitilafiana wazi wazi kabisa!
UTAWALA DHALIMU UMEFITINIKA🗑
Mchungaji Peter Msigwa akihojiwa na Wasafi FM, Juni 2, 2026 amesema; "Chadema ya kwanza ambayo nilitoka wakati ule, ilikuwa compromised. Iliondoka katika misingi ya malengo na makusudi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Na sababu niliziweka bayana. Tulikuwa tunahubiri (preach) demokrasia...
Anadai sababu kubwa ya yeye kurudi CHADEMA ni kwa sababu mauaji yalifanyika tar 29 mwezi wa kumi mwaka 2025.
Je, kama CCM ingempitisha kuwa mgombea wao wa ubunge na kisha akawa mbunge angejiuzulu au angekataa kuapishwa kuwa Mbunge?
Wajinga ndio...
Mama huyu amelia kwa uchungu sana. Tena Waziri mkuu ameona kwa kauli yake kwa kusema kuwa wanaChadema wanajiteka akimaanisha hakuna utekaji.
Mama amelia kwa uchungu sana maana anadai polisi walifika nyumbani wakijifanya wamachinga na kumteka mtoto wake tangia mwezi wa nne.
My take; hata kama...
Kuna kijipointi cha kipuuzi mnakig'ag'ania sana kuwa CHADEMA ni wanaharakati.
Harakati hizo ni zipi?
Kupinga utekaji, ufusisadi na CHADEMA kutaka Katiba mpya ili tuwe na demokrasia na maendeleo ni unaharaki?
Ni wakati wa kuleta mabadiliko.
Nimepata taarifa kwamba usiku wa kuamkia leo mida ya saa nane, Jeshi la Polisi limevamia nyumbani kwa Yoromu Mbyella, mfanyabiashaa ambae huwa anauza sare za CHADEMA wakidai wanamtafuta kwa kosa la kutengeneza Tshirt zenye maandishi “FREE TUNDU LISSU”
Kwa mujibu wa mtoa taarifa, Mbyella...
CCM ni sikio la kufa sasa hivi wanajidanganya eti wawatumie vyama vibaraka vyao kufanya maridhiano eti bila CHADEMA.
Lakini wote tunakumbuka CHADEMA waliposema NO REFORM NO ELECTION watu wengi wa CCM na vyama vyao pandikizi waliwabeza sana na kuonesha kiburi kuwa uchaguzi utafanyika tu...
Hii kasumba hiko kwa watanzania karibia 80% wewe ukikosoa serikalini tu basi wewe ni Chadema. Vile vile ukisifia serikali tu basi wewe ni mwana CCM kwamba ni makosa kua na akili huru?
Tujifunze kua wazalendo na kuangalia maslahi mapana ya nchi kwanza vyama baadae CCM inaweza kupotea kwenye...
Hamjambo!
1. Bado tunawekana Sawa. Tunazungumza. Ili mambo yakae sawa.
2. Kuna vitabia vya ajabuajabu ndani ya nchi yetu. Tabia ya kujimilikisha mambo ambayo hayamilikiwi na yeyote. Mambo ya wote kundi na genge Fulani linahodhi na kujimilikisha. Hiya ni dhulma.
3. Ukweli, uzuri, uponyaji...
Chadema kwa ujinga wao tu bila kuzuiwa na yeyote waliamua kutoshiriki uchaguzi mkuu wa 2025.
Waliamua kutosaini kanuni za uchaguzi, ilhali vyama vingine 18 vilisaini na kushiriki uchaguzi.
Baada ya kujinyima haki hiyo wenyewe kwa mahaba yao, wameamua kuita kila kitu ni haramu,
Wanataka...
Ndugu zangu Watanzania,
Hiki ni Chama Cha Ajabu Sijapata Kuona .Ni Chama Ambacho Kuanzia Viongozi wake wa Ngazi ya Juu kabisa Mpaka chini huko wanatukana,kufunua na kuporomosha Matusi Utafikiri Vichaa au wendawazimu Ama unaweza kufikiria wameopolewa kwenye pipa la Pombe .
Hawa Jamaa wanamatusi...
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, kupitia kwa Naibu Msajili wa Ofisi hiyo Sisty Nyahoza imetoa ufafanuzi kuhusiana na madai ya kwamba barua iliyoandikwa 'kutoka kwao' kwenda Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mei 26 mwaka huu inakiuka amri/ zuio la Mahakama lililotolewa hivi...
Ni kama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inazunguka ndani ya mtego uliowekwa na Msajili wa Vyama vya Siasa baada ya kuandikiwa tena barua ya ofisi hiyo ikitakiwa kujieleza kwa nini isisimamishiwe usajili kutokana na kukiuka masharti ya Sheria ya vyama vya siasa.
Rungu hili la msajili...
Kabla ya kuanza kuzichambua kanuni 10 za Uzalendo, Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe ameanza kwa kutukumbusha kuwa yeye hakuondoka CHADEMA kwa hiari yake, alifukuzwa.
Mimi sikuhama Chadema. Mimi nilifukuzwa Chadema lakini "siwezi kuendelea kuwa bungeni... nikaondoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.