Mchungaji Msigwa: Sikujua kama Watu walikuwa wamekasirishwa sana, mimi kuhama kutoka CHADEMA kwenda CCM

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,859
Reaction score
16,256
Mchungaji Msigwa aliyekuwa mbunge wa Iringa Mjini kupitia Chadema kwa miaka 10 (2010/20), alijiunga na CCM Juni 30, 2024 kabla ya kutangaza kurejea rasmi Chadema Mei 23, 2026 amesema; "Mimi sikujua kwamba watu walikuwa wamekasirishwa sana na kitendo cha mimi kuhama kutoka Chadema kwenda CCM. Sikuwahi kujua. Nimejua hizi siku chache zilizopita. zamani nikiingia kwenye ndege watu wako kimya, mtakutana wawili kwenye kiti mtu anapunia mkono, 'Salamu,' mnakaa."

"Mimi sikujua kwamba watu walikuwa wamekasirishwa sana na kitendo cha mimi kuhama kutoka Chadema kwenda CCM. Sikuwahi kujua. Nimejua hizi siku chache zilizopita. zamani nikiingia kwenye ndege watu wako kimya, mtakutana wawili kwenye kiti mtu anapunia mkono, 'Salamu,' mnakaa."

CCM SI faili lako limeandikwa"Malaya wa kisiasa;Wafurahie Hilo?!
 
Mchungaji ni kama akili bado hazijarejea kichwani. Apunguze kuweweseka.
 
Mchungaji Msigwa aliyekuwa mbunge wa Iringa Mjini kupitia Chadema kwa miaka 10 (2010/20), alijiunga na CCM Juni 30, 2024 kabla ya kutangaza kurejea rasmi Chadema Mei 23, 2026 amesema; "Mimi sikujua kwamba watu walikuwa wamekasirishwa sana na kitendo cha mimi kuhama kutoka Chadema kwenda CCM. Sikuwahi kujua. Nimejua hizi siku chache zilizopita. zamani nikiingia kwenye ndege watu wako kimya, mtakutana wawili kwenye kiti mtu anapunia mkono, 'Salamu,' mnakaa."

Kumbe alikuwa hajui maskini🤣
 
Kumbe alikuwa hajui maskini🤣
Ajifunze kwa takataka Yericko. Hata vijichapisho hathubutu kutoa tena maana ataishia kuvichambia. Amebaki kuwewesekea kila uchawa
 
Back
Top Bottom