Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Kwamba Lissu Yuko Jela au Kauwawa , HECHE kauwawa au katolewa Umakamu, Mimi Mwananchi nione sasa Sina wa kuniletea, kwahiyo ngoja tu niumie kimoyomoyo, na siitaki Tena hiyo CHADEMA .
CHADEMA sio ya Mtu, ni ya Wananchi wenyewe, Yoyote atakayekwenda kinyume na Wananchi ndani ya CHADEMA...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,Tusichoshane!
Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mtakaopitia huu Ujumbe,Tafadhali sana naomba mumfikishie Mh.Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kwamba ninaomba kwa ridhaa yangu mwenyewe niwe mmoja ya Walinzi wake...
Ni wazi kuna ufisadi tayari umefanyika chadema makao makuu taifa. Lakini pia ni wazi kwamba kuna matumizi mabaya ya ofisi, matumizi mabaya ya madaraka, matumizi mabaya ya rasilimali na fedha za chama yasiyofuata, wala kuzingatia sheria, taratibu, kanuni na katiba ya chama hicho, yanaendelea...
Viongozi wa CHADEMA wamrudishie Mbowe Chama chake
Mbowe hakuokota CHADEMA bali aliijenga kwa jasho la damu
Yeye ndiye anafahamu namna ya kustawisha CHADEMA
Viongozi wa sasa wa CHADEMA ni makinda bado hawajakomaa vizuri wanastahili kufundishwa na baba yao Mbowe
Enzi za Mbowe CHADEMA ilikuwa...
Kumekuwa na shutuma nyingi sana juu ya uongozi wa juu wa chama.
Shutuma za ubadhilifu wa rasilimali fedha ndani ya chama.
Huu ni ushuhuda kutoka kwa mmoja wa viongozi wa chama mkoa wa Kilimanjaro.
Tujadili wana Jf
---------------
Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Mwanga, Mkoani Kilimanjaro...
Je, hii inawathibitishia Chadema kua wajinga wa kuharibu taifa lao kwa vurugu na fujo waliisha Tanzania?
Je, hii inamaana kwamba hakuna hila zenye nguvu ya kuuteteresha umoja, mshikamano na amani ya waTanzania, hivyo tamaa za vyeo na madaraka za vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi haviwezi...
Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Njombe Sigrada Mligo wakati akizungumza katika Mahojiano yaliyorushwa Julai 5, 2026, na Nijuze, amesema hawezi kurudi CHADEMA kutokana na sentensi iliyotolewa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho kuwa anaiua CHADEMA
"Kutamani kurudi nitakuwa muongo. Sitamani kurudi...
Licha ya hali ya hewa kua na mvua za hapa na pale maeneo mengine ya Dar Es Salaam, hali ya kiusalama ni shwari na wananchi wanaendelea na shughuli zao za kila siku kama kawaida, NYOMI LA SABASABA SIO LA KITOTO, huku mtaani maduka yakiwa yamefunguliwa kama kawaida watu wakipata mahitaji yao...
1. Mara nyingi huwa najiuliza hivi kweli chadema wanajua wanataka nini? Mara nyingi wamekuwa wanachagua njia yenye miba sana kwa wafuasi wao ili wakijichoma wao wapige kelele
2. Kwanza lazima wakubali Nchi ina Uongozi kwahiyo kuheshimu mamlaka ni lazima sio hiyari..... maana mwisho wanaoteseka...
Wafuasi wa Chadema wanahitaji tiba akili, otherwise tutakuwa na watu wenye upungufu wa afya ya akili wengi sana nchini na Africa mashariki.
Imagine from nowhere mtu anaanza kutukana watu na ikizingatia mtu anayemtukana hata hana habari naye huu ni ugonjwa si akili ya kawaida.
Imagine mtu wa...
Uongozi wa Mkoa wa Kilimanjaro unapenda kuufahamisha umma kuwa haumtambui ndugu Lembruce Mchome kama Mwenyekiti wa Jimbo la Mwanga, kinyume na jinsi anavyojitambulisha katika shughuli mbalimbali.
Aidha, uongozi unapenda kuutaarifu Umma kuwa Mwenyekiti halali anayekaimu nafasi hiyo kwa sasa ni...
Hamjambo!
Walianza na harakati za ufisadi miaka hiyo. Enzi hizo.
Kukemea mafisadi, kuyataja mafisadi. Waliopo na ambao hawapo.
Enzi hizo kina Slaa na wenzake. Walipaza sauti.
Kipindi hicho utekaji na mauaji yalikuwa kama Hayapo alikuwepo Mzee Kikwete. Na kama yalikuwepo basi ni kwa kiwango cha...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Tanga, Rashid Jumbe Hamza, amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), akieleza kuwa ameridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, hali iliyomfanya kuona hana sababu ya kuendelea kuwa upande wa...
Kesi ya Mgawanyo wa Rasilimali za CHADEMA iliyofunguliwa na Said Issa Mohammed na Ahmed Rashid dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa chama hicho na Katibu Mkuu imeahirishwa mpaka Agosti 5, 2026. Taarifa hiyo imetolwa na Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika amemtaka aliyekuwa kada wa chama hicho Said Issa Mohammed kufuata taratibu za kikatiba ili kupata suluhu ya uanachama wake ambao ulifutwa.
Mnyika amesema hayo leo Julai 6, 2026 akiwa nje ya Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar...
Mbunge wa Viti Maalum mkoani Njombe kupitia chama cha CHAUMMA, Sigrada Wilhem Mligo, amefunguka kuhusu changamoto zinazovikabili vyama vya upinzani nchini, akidai kuwa kuna njama za makusudi zinazofanywa na serikali ili kuvigawa na kuvidhoofisha vyama hivyo.
Amesema hayo katika mahojiano...
Kitendo cha Azam FC kusema kuna upendeleo kwenye ligi ya Tanganyika hivyo wanaona ni bora kuhamisha timu yao na kuipeleka Zanzibar ama kwingineko, ni kama kuitikia wito wa CHADEMA kuhusu haki kwenye changuzi za Tanzania.
Sababu zilizotolewa na Azam FC kuhusu upendeleo kwenye ligi ya Tanganyika...
Wakati mwingine huwa siwaelewi CCM wanaposema maandamano ni jambo baya. Au hawajui maandamano ni kitu gani!
Kuandamana ni mfuatano wa watu mmoja akimfuata mwingine. Sasa ubaya wa CHADEMA kuandamana unatokana na nini?
Kwa siku mbili mfululizo mashabiki wa Simba na Yanga wamekuwa wakifanya...
Maana kuna viashiria vya wazi kabisa na tuhuma za usaliti zinamzonga na kumuandama mwanasiasa huyu wa chadema kutoka kanda ya kaskazini ya chama hicho cha upinzani.
Endapo hilo litatokea, na akabanduliwa uongozi na uanachama wa chadema,
Kwa haraka haraka na kwa mtazamo wako, unadhani Godbless...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.