chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya kisiasa ilivyo sasa nchini, CHADEMA haiwezi kupata wabunge zaidi ya wawili endapo itakuwa na sifa ya kushiriki uchaguzi

    Kwasababu sidhani kama kuna mTanzania atachagua mihemko, chuki, ghasia, makasiriko, porojo, uzushi, malalamiko yasio koma au migawanyiko, na aache kuchagua wabunge wa vyama vya siasa vyenye agenda na mipango ya maendeleo yake mwenyewe kisiasa, kijamii na kiuchumi. Nadhani ombwe la uongozi ndani...
  2. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: CHADEMA wamefanya vikao vya siri ili kuhamasisha vurugu kupitia maandamano wanayoratibu

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesikitishwa na kile kilichokiita ni mipango ya siri inayoratibiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yenye lengo la kuhamasisha vurugu nchini kupitia maandamano. Kauli hiyo imetolewa leo Juni 13, 2026, Jijini Dodoma na Katibu wa Itikadi, Uenezi na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kihongosi na CCM achaneni kuwasingizia Chadema, angalieni muungano unavunjika. Sikia maneno ya sheikh

    Watanganyika endeleeni kupaza Sauti ya Utaifa ya Tanganyika. Kadri Wazanzibari wanavyojibu ndio mpasuko ndani ya Jamii unaongezeka, sikiliza kwa makini huyu Sheikh anayozungumza alafu useme kwa nini kusiwepo na Serikali ya Tanganyika. CCM mjibuni huyu Sheikh.
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Nyie viongozi wa CHADEMA mpo serious kuchukua dola? Kwa nini mnafanya uzembe wakati njia nyeupe kuchukua dola?

    Mnatambua wazi kuwa CCM imeshachokwa na Watanzania. Watanzania hawaitaki CCM na hawamtaki rais Samia. Hili lipo wazi. Mnafanya uzembe kuandikisha wanachama kwenye vyuo vikuu. Mnafanya uzembe kuandikisha wanachama ambao wana uwezo na kupambanua mambo kama Deogratius Mahinyila. Ni kweli...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: CHADEMA wametoka kuwa chama cha Siasa sasa ni chama cha wanaharakati, wanaendeshwa na rimoti

    CHADEMA wametoka kuwa chama cha Siasa sasa ni chama cha wanaharakati, wanaendeshwa na rimoti Anachoongea kwenye video Kenan Kihongosi leo, Juni 13 2026 "Lakini jambo lingine ninalopenda kulisema ni kwamba CHADEMA kimetoka kuwa chama cha siasa, limekuwa ni kundi la wanaharakati. Wanaendeshwa...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Heche: Unakuta kijana wa Chuo Kikuu anajivunia kuwa CCM, eti kisa anahofu ya kukosa ajira

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche akizungumza na Vijana wa CHASO Mkoani Iringa Juni 13, 2026 amesema; "Chuo Kikuu, university, unakuta kijana anajihusisha na CCM and he is proud. Sasa ukimuuliza, it's not bad, sio tatizo kujisoshiaiti na CCM. Lakini anajihusisha na CCM kwa lipi? Kwa...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Pwani: Polisi wazuia CHADEMA kuzindua vizimba bila sababu ya msingi. Hii ndio sababu wanaitwa PolisiCCM

    RPC wa mkoa wa Pwani, ACP Salim Morcase amezuia shughuli za Chadema za uzinduzi wa vizimba iliyokuwa ifanywe na Katibu Mkuu John Mnyika asubuhi ya leo Jumamosi, Juni 13, 2026. RPC huyo alipoulizwa alisema amezuia kwasababu Chadema haijamuandikia barua ya kutaka kufanya shughuli hiyo. Madai...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ushauri: CHADEMA hamasisheni vijana wa vyuo vikuu kufahamu matumizi ya digital app kujiunga

    Nimefanya utafiti kuwa vijana wengi wa vyuo vikuu wanatamani kujiunga na CHADEMA ila hawajui matumizi ya si digital app ya chama chenu Nawashauri mfanye kampeni mahususi ili vijana wajiunge na kuweza kuchangia chama.
  9. upupu255

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Je, ni kweli Lema amesema tuwachangie CHADEMA ili viongozi wanywe bia?

  10. M

    JamiiForums Tanzania Kimya cha wanaharakati wa Tanzania na CHADEMA kuhusu mwamuzi wa Afrika aliyekataliwa kuingia Marekani

    Katika siku za karibuni, dunia ya michezo imeshuhudia tukio lililozua mjadala mkubwa baada ya mwamuzi wa Somalia, Omar Abdulkadir Artan, kuzuiwa kuingia Marekani licha ya kuwa miongoni mwa waamuzi walioteuliwa na FIFA kuchezesha Kombe la Dunia la 2026. Tukio hili limeibua maswali mengi kuhusu...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Said Issa Mohamed aishitaki tena Chadema. Anataka izuiwe kufanya siasa

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imefungua shauri la kiraia namba 13832 la mwaka 2026 lililofunguliwa na Said Issa Mohammed na Ahmed Rashid Khamis dhidi ya wadhamini waliosajiliwa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) pamoja na Katibu Mkuu wa chama hicho. Kwa mujibu wa...
  12. upupu255

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Makamu mwenyekiti CHADEMA Zanzibar ametoa shukrani kwa serikali?

  13. M

    JamiiForums Tanzania Chadema inategemea Marekani na ulaya kuwasaidia? Wasahau

    Kama Isreal na Marekani wanafanya watakavyo katika dunia hii hakuna kuulizwa, sio Fifa, sio UNO Wasitegemee Chadema kupata haki katika dunia hii ambayo imejaa double standard
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwa kutegemea public sympathy tu, unadhani upinzani Tanzania unaweza kupata kiti walau kimoja tu cha ubunge uchaguzi mkuu 2030?

    Ni obvious, upinzani Tanzania kuhusu urais, watausikia tu kwenye bomba tu, kwasababu, kwanza hawana mgombea mwenye kaliba ya urais, lakini pia, hawana agenda zenye kugusa maisha halisi ya wa wananchi wote wa Tanzania, bali wao, wamejikita zaidi katika kuwatukuza viongozi wao, kwa kampeni za...
  15. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na watu wote chukua tahadhali kesho, maana tamko la polisi linatia mashaka na usalama wenu. Chagua kati ya mawili haya...

    Kuna taarifa mbaya ameitoa Mnyika kuhusu kesi ya Lissu kesho with regard to police force. To me; Chadema na watu wenye mapenzi mema chukua tahadhali, wanaweza kuua watu , kuumiza, kujeruji and all sort of brutality you can think of! Naona kama wanajenga premise za kuvunja, kuua, kuumiza watu...
  16. upupu255

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Je, ni kweli viongozi wa CHADEMA wameamuru wapigwe wanaohoji kuhusu tonetone?

    Nimekutana na hii video TikTok na maelezo haya, kuna uhalisia wowote wa hili? == Taswira inayozidi kujitokeza ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inazidi kuibua maswali mengi kuliko majibu, huku vitendo vya baadhi ya viongozi vikionekana kukiondoa chama hicho kwenye misingi ya...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Jeshi la Polisi lipuuze taarifa za uongo za Polisi zinazodai CHADEMA itafanya vurugu kumuokoa Lissu

    Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA John Mnyika, akizungumza na Vyombo vya habari kuelekea kusikilizwa Kesi ya Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu kesho Juni 11, 2026 Mahakama ya Rufaa, ametoa wito kwa Jeshi la Polisi kuacha taarifa za uongo zinazoendelea ndani ya Jeshi...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ally Hapi: Rais endelea na kazi, CHADEMA tuachie sisi

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Ally Hapi, amesema CCM imejipanga kujibu hoja na madai yanayotolewa na viongozi wa CHADEMA kwa kutumia takwimu na taarifa sahihi, badala ya kuacha kile alichodai kuwa ni upotoshaji kuendelea kusambazwa kwa wananchi. Hapi aliyasema hayo wakati...
  19. R

    JamiiForums Tanzania JF Nawasalimia iwa Jina la Chadema

    Tusalimiane wote wapenda Haki, Amani Katiba MPYA and lastly FREE TUNDU LISU
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kwa Mtazamo wa Kawaida Ally Hapi ni mwanasiasa wa kusimama Jukwaani na kujigamba anaweza kupambana na CHADEMA?

    Kwanza kabisa kama kuna WanaCCM ambao hawana ushawishi ila wapo madarakani kwa upendeleo au labda kwa kutumia matunguri ni Ally Hapi. Uwezo wake wa kushawishi watu ni mdogo na hoja za msingi. Anadhania Tanzania ya sasa ni ya kufanya siasa za Chipukizi wa CCM na kuwanunulia akina mama Kanga na...
Back
Top Bottom