Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,913
- 6,514
Kabla ya kuanza kuzichambua kanuni 10 za Uzalendo, Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe ameanza kwa kutukumbusha kuwa yeye hakuondoka CHADEMA kwa hiari yake, alifukuzwa.
Mimi sikuhama Chadema. Mimi nilifukuzwa Chadema lakini "siwezi kuendelea kuwa bungeni... nikaondoka bungeni kabla ya mwisho wangu wa utumishi ndani ya bunge"
"Niliamua kwenda kuanza upya kwa kushirikiana na wenzangu kuanzisha chama from the scratch"
Soma Pia: Zitto: Kuwa na Bunge ambalo asilimia 96 ni Chama kimoja huwezi kupata Fikra tofauti