chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kwa Mtazamo wa Kawaida Ally Hapi ni mwanasiasa wa kusimama Jukwaani na kujigamba anaweza kupambana na CHADEMA?

    Kwanza kabisa kama kuna WanaCCM ambao hawana ushawishi ila wapo madarakani kwa upendeleo au labda kwa kutumia matunguri ni Ally Hapi. Uwezo wake wa kushawishi watu ni mdogo na hoja za msingi. Anadhania Tanzania ya sasa ni ya kufanya siasa za Chipukizi wa CCM na kuwanunulia akina mama Kanga na...
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania CHADEMA overdoing imepoteza ushawishi ndani ya Zanzibar!

    Kamwe hakuna chama kinachoweza kukamata dola ya Tanzania bila kuwekeza vyema kwa wafuasi wengi wa Tanzania bara na Tanzania visiwani. Dr Wilbrod Slaa na Marehemu Edward lowassa walitambua hili na waliwekeza katika hili. Siasa za sasa za Chadema zimeegemea bara na zimejipeleka katika kupoteza...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lema: Wote waliohama kwa kusaliti, kushawishiwa au hofu kutokana na mazingira yaliyokuwepo wanakaribishwa tena

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mbunge wa zamani wa Arusha, Godbless Lema, ametoa wito kwa wanachama wote waliokihama chama hicho kutokana na ushawishi, hofu au mazingira mbalimbali kurejea na kushiriki katika kukijenga upya. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Good News. Yule Shujaa Mwanamke wa Shoka, Shupavu na Shujaa wa Chadema, Kamanda Halima Mdee, Iron Lady is Back Ndani ya Nyumba!.

    Wanabodi, Kama kawaida ya wewe mwana JF, pata ile the JF advantage, ya be the first to know!, Kuna breaking news ya good news Chadema, yule mwanamke wao wa shoka, shupavu, shujaa na chuma cha pua wa Chadema, Kamanda Halima James Mdee, is back ndani ya nyumba!, amerejea Chadema! Nitakupa zaidi...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dkt. Godwin Mollel: CHADEMA inakufa, haina sifa ya kwenda Ikulu

    Mbunge wa Jimbo la Siha (CCM), Dkt. Godwin Mollel, ametabiri anguko na kifo cha kisiasa cha chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA, akidai kuwa safu yake mpya ya uongozi wakuu haina uwezo wa kiutawala bali inaendeshwa na itikadi za kianaharakati na makelele ya jukwaani. Akizungumza katika...
  6. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa kumfukuza Said Issa Mohamed ulikuwa sahihi kwa mujibu wa katiba yao CHADEMA

    JMT! Hivi karibuni kumetokea Sintofahamu baada ya mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo machachari sheikh Said issa mohamedi kufukuzwa uanachama na chama chake kwa madai mbali mbali.. hatahivyo baada ya kufukuzwa ameibuka na kudai kuwa ana uhalali wa kuendelea kuwa mwanachama kwa kuwa...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Said Issa: Uamuzi wa kunifukuza CHADEMA siyo halali

    Said Issa Mohammed, aliyefukuzwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa madai ya kukiuka katiba, kanuni na miongozo ya chama, amesema uamuzi huo ni kinyume na katiba ya chama hicho. Hatua ya kumfukuza ilipitishwa na Kamati Tendaji ya Kanda ya Pemba baada ya kuhusishwa na...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Wanaogoma kuichangia pesa Chadema kwenye mikutano yake ya hadhara, wamechoka, hawana pesa au wamegundua wanatapeliwa?

    Ni nini kumetokea, hata wachangiaji kuacha kutoa pesa zao kuichangia chadema? Je, achangiaji wameshtukia wizi au utapeli wa pesa zao mchana kweupe? au kuna mapumziko ya kuomba kuchangiwa pesa? Hata wafuata mkumbo viherehere humu jukwaani, hawaelezi tena ikiwa pesa zimechangwa wapi, na ni...
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Nini hasa chimbuko la CHADEMA kupwaya karibu katika kila idara kwenye siasa za Tanzania?

    Ni ombwe la uongozi na ukata wa pesa tu au kuna jingine? Kwa mfano, Uropokaji umekidumaza mno kisiasa chama hicho cha siasa nchini, Lakini pia kufanya siasa za kutegemea zaidi artificial imotional scripts za drama ili kugain public sympathy zimeifubaza sana chadema, na kuifanya ikose mvuto...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Picha: Mkutano wa Chadema Karatu watu walikuwa wengi kama mchanga

  11. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Hii Chadema imeshindikana ndo maana akina Heche wana jeuri

    Mkutano wa hadhara wa CHADEMA uliofanyika Karatu Mjini umevutia umati mkubwa wa wananchi waliojitokeza kusikiliza viongozi wa chama hicho wakizungumza kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa na maendeleo ya nchi.
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mwenzenu Idu nipo kijiwe fulani Igunga nagonga balimi baridiiiii. Huku nikifuatilia CHADEMA namna wanavyoibagaza CCM

    Haya sio mashambulizi bali ni nia thabiti ya Chadema kuchukua dola. Mungu si Athumani. Maana Mungu hana ubaguzi wala choyo. Watanzania wamepata uelewa mkubwa sana. Hawaitaki CCM kwa namna yoyote ile. Leo hii Chadema wanaibagaza CCM kam vile wanakaanga samaki. Kuanzia ngazi ya mtaa hadi taifa...
  13. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania CCM Ni utamaduni, ukilelewa kwenye vyama vya upinzani hutapaweza!

    Kama kunaeneo methali ya "samaki mkunje angali mbichi" inaishi, basi eneo hilo ni eneo la siasa. Juzi tumemsikia Alli Happy, katibu wa jumuia ya wazazi CCM, kufuatia kurudi kwa Msigwa CHADEMA, akisema kwa jinsi alivyomfahamu Msigwa alijua hawezi kukaa CCM. Jambo hili ni dhahiri sio kwa Msigwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Said Issa Mohamed aliyeishtaki CHADEMA atimuliwa rasmi Uanachama kwenye chama hicho

    TAARIFA KWA UMMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Pemba kinaujanisha umma na wanachama wake kuwa Kamati Tendaji ya Kanda ya Pemba iliketi katika kikao chake cha dharura tarehe 06 Juni 2026 katika Ukumbi wa Pride ya Zamani, Chake Chake, Pemba. Kikao hicho kiliongozwa na...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Kihongosi acha kuvamia vijiwe vya CHADEMA huku umeficha mapanga mgongoni

    Baada ya kuwaua kwa risasi sasa mnarudi kwao kama mbwamwitu huku mmejifunika ngozi ya kondoo. Mchana unasema Tanzania ni moja na ndugu tusibaguane usiku mnawateka na kuwakata vichwa. Elewa hao vijana unaowatembelea bado wanamajonzi ya wapendwa wao huku Mwenyekiti wao hawajamuona leo ni zaidi...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ally Hapi hauna ubavu wa kupambana na Chadema hii hii ni zaidi ya nguvu za umma, bora urudi kwenu ukalime nyanya hoho

    Kwanza jiulize wewe binafsi unaushawishi gani kwenye taifa letu kisiasa? Chama chako kina ushawishi gani? Mwenyekiti wa chama chako? Leo hii usimame jukwaani wewe kapuku wa wa baraza la wazazi CCM kuizungumzia Chadema hii ambayo hata wanaCCM wanatambua kuwa ni chama cha ukombozi dhidi ya...
  17. Y

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na wanaharakati, enzini mazuri ya watu kama Magufuli na Samwel Sitta

    Ndugu zangu wapinzani na hata wana harakati, siyo dhambi mkiyaenzi japo mazuri ya viongozi waliotangulia mbele za haki. Mfano hayati Rais Magufuli, siyo dhambi akienziwa kwa kupambana kwake kulinda rasilimali za nchi. Samwel Sitta naye ( marehemu ), naye siyo dhambi pia akienziwa kwa kuruhusu...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Mikutano ya CCM na CHADEMA kwa sasa

    Mikutano ya Chadema imejaaa watu wa rika zote, vijana akina mama na wazeee wenye bashasha na wanaotaka madiliko. Mikutano ya CCM imejaza akina mama wazee. WanaChadema wanatoa hoja za msingi wakipinga ufusadi, utekaji na upendeleo wa kisiasa wanaouoata wanaCCM wachache na familia zao. WanaCCM...
  19. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Itakuaje CHADEMA kikifutwa na msajili wa vyama?

    Helooooh Swali tu hilo na naomba moderator hasifute wala asibadili kichwa cha habari Chama kikifutwa na msajili wa vyama mtafanyaje? Chadema kikifutwa kwa kanuni za nchi ninyi mtafanyaje? Wanachama na viongozi wa chadema Mtasajili chama kingine au mtasusia maswala ya siasa Mkisajili chama...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Heche: Sauti ya CHADEMA ikifutwa, watawauzeni, tupeni nchi na nyie mnufaike na keki

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche, ametoa wito kwa wananchi kuunga mkono chama chake ili kuleta mabadiliko ya kiuchumi na kijamii nchini. Katika hotuba yake akiwa Lindi Juni 3, 2026, Heche alikosoa vikali usimamizi wa rasilimali za nchi, akibainisha kuwa ingawa Tanzania ina utajiri...
Back
Top Bottom