ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Ni jambo la hatari CCM kuishiwa mbinu

    Kwa sasa inavoonekana CCM imeishiwa mbinu ya kukifanya chama hicho kikubalike kwa watanzania. Kitendo cha CCM kuishiwa mbinu ya kukifanya chama hicho kuaminiwa na watanzania wakati kikiwa kinaendesha Serikali na kusimamia vyombo vya dola, ni jambo la hatari sana kwa mustakbali wa nchi yetu...
  2. K

    JamiiForums Tanzania It is a time now sycophants of a self positioned group into power so called ccm to be named officially a terrorist syndicate.

    Comrades and well wishers of our great and beloved country, I am persuaded to join a call that the self positioned into power the so called chama cha mapinduzi now has met all tenets required to be named as a terrorist gang and needs to face necessary consequences that other similar groups such...
  3. JamiiForums Tanzania Mkakati wa uzushi dhidi VC wa CHADEMA Mh John Heche hapa JF unaongozwa na chawa wa CCM wa4 wana: Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, Troll J na Dr wa Manesi

    Hawakosi kuposti thread hata kumi kwa siku zote zikimshambulia.. Hawa chawa Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, Dr wa Manesi, Retired, Troll J kwa mrengo wao na kujinasibu kwao hujitanabaisha kwa ujasiri na bila kificho kuwa ni wana CCM na watetezi wa Samia Suluhu Hassan wakiapa kuwa hata ikitokea...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Madola yaipa Tanzania siku 30 Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria

    Wakuu, Nimeona niwaletee mrejesho na uchambuzi wa waraka muhimu sana ambao umetoka leo tarehe 10 Julai 2026 kutoka kwa Kundi la Mawaziri wa Jumuiya ya Madola linaloshughulikia Demokrasia na Haki za Binadamu (CMAG - Commonwealth Ministerial Action Group). Kikao chao cha 73 kimefanyika leo kwa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania CCM Ni waongo,habari ya maridhiano haipo,wanadanganya watu

    Habari wakuu; Nawakumbusha tu kwamba chama cha mapinduzi hakina nia ya dhati ya kushughulikia maridhiano ya kweli na nawakumbusha wadau na wenye nia njema kwamba hilo jambo kwao ni mwiba kitu ambacho hawawezi kukubali. CCM wana silka ya kudanganya danganya watu miaka yote. Mfano mzuri ni zile...
  6. JamiiForums Tanzania Kweli ambazo ni LAZIMA CCM /SAMIA wazikubali, ili Kuiponya NCHI ndani na Kimataifa , na waepukane na ADHABU za Kimataifa

    1-Hamna aliyewahi anzisha Vita na KATOLIKI akatoboa .... Yaan Msukumo wa US na EU kwa CCM na Wauaji wake, unatokana na Taarifa zinazoandikwa na KATOLIKI ...... Hawa wanaaminika DUNIANI na MBINGUNI. 2-Huwezi kuua Raia Oktoba 29 Kwa MAELFU vile, alafu DUNIA ikae inakuangalia tu . NEEVEEEEER ...
  7. JamiiForums Tanzania CCM hamuwezi kuiangusha CHADEMA kwa propaganda za kishamba kama hizi. Ninyi ni wachafu maana mna tuhuma za ufisadi na mauji ya raia

    Mnatuhumiwa kwa tuhuma nzito sana za mauaji ya kimbari yaliyofanyika Oktoba 29 na mkakaa madarakani bila ridhaa ya wananchi. Mnatuhumiwa kuteka na kuua raia wema akiwemo Humphrey Polepole na wengine wengi. Kuleta hoja kuwa Heche amekula michango ya Chadema ni ushamba na upuuzi wa kisiasa.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Mange Kimambi: Kuwa makini na vyanzo vya habari; CCM wana mbinu nyingi za diversion.

    TL;DR (Kwa ufupi): Wito kwa Mange Kimambi kuwa makini na vyanzo vyake vya habari kwani CCM wanatumia mbinu ya "Diversion" na masalia ya wasaliti wa ndani ya CHADEMA (aina ya kina Yericko) kuvujisha habari za uongo (mafamba) kuhusu migogoro ya kufikirika ili kusambaratisha wanamageuzi, kama...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Maridhiano ACT na CCM Zanzibar ni unafki na danganya toto Watanzania kuona nchi ina maridhiano

    "Kuna, kuna, kuna, kuna unafiki ule unaofanyika Zanzibar wa kusema kitu tofauti na kufanya tofauti. Na mimi nasema mzungumzo ni moja ya nyenzo ambayo sisi kama Chadema tunaamini katika kushughulikia matatizo. Tunaamini kwenye mapambano tunaamini kwenye mazungumzo lakini sisi tumesema tunaamini...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kwani ndugu zangu Ccm ni LAZIMA mridhiane na Chadema si Bora mridhiane na Chaumma iliyokuwa na mgombea wa Urais au Act

    Kama ni Ishu ya maridhiano tu ndugu zangu Ccm ridhianeni na chaumma au Act ndo iliingia kwenye uchaguzi. Chadema Haina hata diwani kwanini mnalazimishe waingie kwenye maridhiano wakati Kuna watu wako tayari kina Yeriko na Zito . Nyie si mnataka TU ionekane mmeridhiana kama kule Zanzibar ingawa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Musiba alisema wamechaguliwa Lissu na Heche CCM wajipange

    Ninakumbuka Musiba aliwahi kusema baada ya Lissu na Hche kuchaguliwa na Mkutano mkuu wa Chadema kuwa CCM wajiandae na siasa ngumu kutokana na haiba ya hawa watu. Ni kweli tumeyaona utabili wake ulikuwa sahihi. wacha tuone
  12. JamiiForums Tanzania Ndani ya Chadema mapandizi ya CCM bado yamo mengi sana

    Siasa ya Tanzania ni ngumu sana, CHADEMA itapitia migorgoro mengi sana KWA sbb mapandikizi ya ccm yapo mengi sana. Nani angeweza kujua kuwa mbowe ni pandikizi wa ccm zaidi ya miaka 30? Na je mbowe amecha wangapi ndani ya CHADEMA? KWA sasa mpimzani wa kweli ni Tundu Lisu: angalau na Heche...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya makapi kutoka CCM kurudi Chadema, tayari Mipasuko ndani ya Chadema imeanza, kina Msigwa wachunguzwe!

    Waliondoka kipindi Cha Mbowe na kuhamia CCM na ama vyama vingine, hawakutakuwa kurudi tena Chadema Angu waruhusiwe kurudi Chadema, sikuwahi kuwaamini tena Tutajuwaje kina Msigwa kama ndio wametumwa kuja kutengeneza haya yaliyopo sasa ndani ya Chadema? Chadema ni chama Imara sana, wananchi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Msikatishwe tamaa na majambazi ya CCM. Watanzania wapo nyuma yenu

    Mwenyekiti Mheshimiwa Tundu Lissu na Makamu Mheshimiwa John Heche, sisi watanzania tupo nyuma yenu. Mungu wa mbinguni aliye hai, asiyesinzia yupo pamoja nanyi. Mungu baba yetu ni Mungu wa haki na kupitia ninyi watanzania watapata haki.
  15. JamiiForums Tanzania Meneja wa CCM Kirumba: Video ya watu wakijisaidia ovyo Kirumba ilipangwa ki-Propaganda ili kutuchafua

    Meneja wa Uwanja wa CCM Kirumba uliopo jijini Mwanza, Hassan Omar Ali amesema taarifa kuwa uwanja huo una changamoto ya uhaba wa vyoo ilikuwa ni mkakati wa kuchafua sifa iliyopangwa na watu wenye nia hovu juu ya eneo hilo. Hoja ya awali ~ Uwanja wa CCM Kirumba hali ni mbaya. Watu wajisaidia...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Makubaliano ya Maridhiano baina CCM na ACT Wazalendo - Julai 9, 2026

    Hii hapa: Jambo Tv https://www.youtube.com/watch?v=44nfO46PvfU
  17. JamiiForums Tanzania Ukiangalia propaganda wanazotengeneza CCM ni zile za miaka 90 kushuka chini

    Propaganda za CCM ni za kichekesho sana na mtapigwa pesa mpaka mkumo na mwisho wenu unakaribia. Yani mfano tu kuna watu wanaibuka kuwa wenyekiti sijui jumuia ya wananchi fulani mfano mlivyo fanya kusema waroma wanapinga,bodaboda,vijana na mambo mengine. Watu smart wanatakiwa kuwekwa mezani...
  18. JamiiForums Tanzania Kilichobaki ndani ya mfumo wa CCM kutafuta wa kisimama naye kama Nchi kubwa ikionekana kumkosoa

    Kwa sasa kila idara kila sehemu ya taasisi zote za serikali zipo mikononi mwa CCM. Anachotafuta ni nani wa kumlinda. Nakumbuka hata maanguko mengi ya nchi hii ndio steji huwa wanatafuta wa kuwa msaada wao. Uganda kuna kipindi alianza kufanya haya. Msije shangaa kuna balozi zikafukuzwa.
  19. M

    JamiiForums Tanzania CCM Simiyu inakaaje kimya?

    Inazua maswali kuona viongozi wa chama wakitukanwa kwenye baadhi ya makundi ya WhatsApp yanayodaiwa kuhusisha wanachama, huku kukiwa hakuna hatua za wazi za kinidhamu zinazoonekana kuchukuliwa. Je, ukimya huo unatokana na tahadhari kuelekea uchaguzi wa ndani wa chama mwakani, au ni dalili ya...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi nikikutana na mbunge wa CCM nikamnong'oneza wewe ni mwizi jizi la kura atanifanya nini pasi na shahidi?

    Unakutana paap na mbunge wa ccm halafu unamnongoneza Kwa karibu ili mtu yeyote asisikie wewe ni jizi la kura atakufanya nini? Na hakuna shahidi aliyesikia maneno hayo ya kizalendo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…