ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wasira: CCM Itahakikisha Uchumi Wa Tanzania Unaendelea Kuwa Imara

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema CCM inalenga kuhakikisha uchumi wa Tanzania unakua kwa asilimia saba ifikapo mwaka 2030, huku ukichochea ongezeko la kipato na kuboresha maisha ya wananchi. Wasira amesema hayo leo (Agosti 21,2026) wakati...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mmemuona Freeman Mbowe kwenye ‘suti sare’ na Mawaziri wa CCM?

    Hii ni leo Agosti 22, 2026 wakati Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 leo, tarehe 22 Agosti 2026, katika eneo la mradi lililopo Rufiji, mkoani Pwani.
  3. L

    JamiiForums Tanzania CCM imeshindikana,imefika mwisho,wapo kwenye, "fighting for survival"

    CCM imeshindikana,namaanisha imepokea Kila ushauri kutoka Kwa watu wa aina zote hapa duniani,lkn wameshindwa kuukubli. Wameshindwa kuukubali kwa sababu Kila ushauri kwao utekelezaji wake ni moto kwao. CCM imefika mwisho namaanisha kwamba utawala wa CCM umeisha,Wanachofanya Sasa hivi ni...
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kama Lengo ni Kumfunga Kisha Msamaha, eti apoteze Haki zake za Kisiasa, futeni kabisa huo ujinga nyie Vilaza wa CCM !! Dunia haitokubali Kamwe

    Kama ambavyo alikataa Mabilioni ya kuachana na Siasa. Kama ambavyo alikataa kwenda Ulaya . Kama ambavyo amekataa MARIDHIANO ya Kiiinga . Ndivo ambavyo Dunia itasimama kwa ajili yake kukataa UHUNI wa Kumpora Lissu Hali yake ya Kisiasa !!. Hili liwakae kichwani !!.
  5. Waterloo

    JamiiForums Tanzania John Heche: Hatutaipigia magoti Serikali hii dhalimu ya CCM

    "Wanachadema kafanyeni kazi, huu uamuzi umesikitisha lakini ni wa muhimu na wa kihistoria ambao huko mbeleni watu wengine wataangalia na kusoma majina yao, watajiuliza itakuwaje." Mhe. @HecheJohn John Heche na Tundu Lissu ni hardliners wa siasa za upinzani hapa nchini kwa sasa. Wacha tuone huu...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Richard Kasesela: CCM ina mvuto mkubwa sana kwa Vijana na wana matumaini nacho

  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM na machawa wao wakisikia neno Lissu wanatetemeka hadi kushikwa matumbo ya kuhara?

    Nimekuwa nikijiuliza hivi kwanini ccm na machawa wao wakisikia neno Heche na Lissu Huwa wanahara? Naomba majibu tahadhari.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini mikoa ya kusini mwa Tanzania imeonekana kusahaulika kimaendeleo?

    Kwa nini mikoa ya kusini mwa Tanzania imeonekana kusahaulika kimaendeleo? Serikali imekuwa haitoi fursa za kutosha za uwekezaji, licha ya kuwepo kwa rasilimali nyingi. Miundombinu bado ni dhaifu; kwa mfano, barabara za Kilwa–Liwale, Liwale–Nachingwea na Dar es Salaam–Lindi zina hali...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Maporomoko ya Ardhi Yaua Watu 107 CAMEROON. Ingekuwa ni Tanzania Ungeona CHADEMA Wanailaumu CCM na serikali yake Maana Akili za CHADEMA wanazijua Wao.

    Ndugu zangu Watanzania, Kwanza nitoe Pole Kubwa sana kwa Taifa la CAMEROON kufuatia vifo vya watu 107 vilivyotokea baada ya kuporomokewa na Udongo katika eneo la kuchimba Madini . Sasa ingetokea hapa Nchini ungeshangaa na kushangazwa sana kuona CHADEMA wanaanza kuilaumu CCM na serikali yake...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania CCM ina hazina kubwa mno ya vijana wenye vipaji tupu, ni vigumu mno kushindwa uchaguzi au kutoka madarakani

    Nadhani sote ni mashahidi jinsi ambavyo viongozi vijana wa CCM walivyo brilliant na excellent katika kujieleza, kujenga na kutetea hoja mbalimbali za kisiasa, kijamii na kiuchumi, ukilinganisha na vijana wa vyama vingine vya siasa nchini ambao wao wamefundishwa tu jinsi ya kupata mihemko...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wasira ataka WANA CCM wakutane, wasiingie mkenge wa maneno ya Mtandaoni

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu Stephen Wasira, amewataka wanachama wa CCM kukutana mara kwa mara katika vikao rasmi vya chama ili kujadili masuala muhimu na kuepuka kupotoswa na taarifa zisizo na ukweli zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii. Akizungumza leo...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wasira: CCM kama chama haiwezi kukutwa na hatia

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Mzee Stephen Wasira, akizungumza leo Agosti 19, 2026, katika mahojiano na UTV "CCM haiwezi kukutwa na hatia. Mtu mmoja mwana-CCM anaweza kukutwa, na hiyo sio CCM. CCM kama chama haiwezi kukutwa na hatia. Lakini mwana-CCM mmoja...
  13. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Teknolojia inawafuta CCM kwenye siasa za Tanzania

    Mara kwa mara mitandao ya kijamii inapozuiwa ama Data za mifumo ya internet zinapokuwa chini ya kiwango, mara nyingi hutokea CCM inapojihami dhidi ya kizazi kipya. Kuna ushahidi wa kutosha kuwa maendeleo ya teknolojia ya habari, yameifanya CCM kupoteana na kuanza kutumia mabavu ili iendelee...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FT: Pamba SC 1-2 Simba SC | Ligi ya NBC | CCM Kirumba

    Ligi Kuu ya NBC inaendelea leo Jumatano, Agosti 19, 2026, kwa michezo mitatu, huku Simba SC ikishuka dimbani kumenyana na Pamba Jiji FC katika Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Mchezo huo unatarajiwa kuanza saa 10:15 jioni. Simba inaingia uwanjani ikiwa ugenini, huku Pamba Jiji ikitafuta kutumia...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi: CCM haiwezi kuondoka Madarakani

    "CCM haina mshindani kwenye siasa. Tunashindana na wote ambao wamesajiliwa kisheria. Vyama Vya siasa vinasajukiwa na msajili yoyote aliyesajiliwa sisi wote ni mshindani wetu wa kisiasa. Na sioni Chama cha Mapinduzi CCM kikiondolewa madarakani. "Unajua Watanzania wanajua wametoka wapi na CCM. Na...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: CCM ndio muasisi wa katiba mpya, mchakato utapatika kabla 2030

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesisitiza kuwa mchakato wa kupatikana kwa Katiba Mpya nchini ni ajenda yake ya msingi na utatekelezwa kama ulivyohaidiwa katika Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2025–2030. Akizungumza kwenye mahojiano ya mojakwa moja na Clouds Digital leo 19/08/2026, Katibu wa Halmashauri...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi: Misingi ya CCM inapigana na rushwa, ukijulikana umetoa rushwa unaondolewa

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Kenani Kihongosi, akizungumza kwenye kipindi cha PB cha Clouds FM leo, Agosti 19, 2026, amesema kuwa: “Misingi ya CCM inapigana na rushwa, ukijulikana umetoa rushwa unaondolewa. Soma Pia: Kenani: Hakuna taarifa rasmi ya kuitwa Makamu wa Rais Nchimbi...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kenani: Hakuna taarifa rasmi ya kuitwa Makamu wa Rais Nchimbi kwenye Kamati ya Maadili ya CCM — Akiitwa, mtajua

    Kenani Kihongosi, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, amesema hakuna taarifa rasmi kwamba Makamu wa Rais, Dk. Emmanuel Nchimbi, ameitwa mbele ya Kamati ya Maadili ya CCM Ndani ya chama cha mapinduzi sisi CCM hatutambuani kwa vyeo tunatambuana kwa wanachama." "Ili uweze kuwa kada wa chama...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kenani: CCM ni chama cha kidemokrasia, kinachopeleka maaendelea kwa jamii

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndg. Kenani Laban Kihongosi akizungumza kwenye kipindi cha PB cha Clouds Fm amesema CCM ni chama cha Demokrasia na kinacholeta maendeleo kwa jamii
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nini kilimsibu Idugunde na kuacha kuishabikia CCM kama enzi zile?

    Huyu jamaa alikuwa shabiki mkubwa wa CCM na alikuwa akiwatetea sana hapa jukwaaani Nini kilimsibu huyu jamaa maana mpaka sasa amegeuka kuwa shabiki kindakindaki wa Chadema na Lissu.
Back
Top Bottom