ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Maadili ya CCM ni yapi ?

    Maadili ya CCM ni yapi ?
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Deogratius Ndejembi ateuliwa kuwa Makamu wa Rais

    Hongera kwa Deo. Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imependekeza na kupitisha jina la Waziri wa Nishati, Deogratius John Ndejembi, kuwa mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ndejembi anapendekezwa kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Dkt...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM

    Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imemfutia uanachama wa Chama hicho leo Agosti 26, 2026 aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmannuel Nchimbi ambaye alitangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa jana Agosti, 25, 2026. Taarifa hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Balozi Dkt...
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania CCM wameanza vikao vya Usiku. Wamepoteana hadi muda huu

    KATIBU MKUU WA CCM DKT. ASHA-ROSE MIGIRO KUZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, anatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari leo Jumatano, Agosti 26, 2026, saa 3:30 usiku. Mkutano huo utafanyika katika Ofisi Ndogo za CCM...
  5. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mwaipopo: CCM imeshindikana tumuachie Mungu

    Kada mashuhuri wa CCM Saidi Mwaipopo (sheikh?) kasema CCM ni chama kisichoweza kushindwa hivyo akasema watanzania wamuachie Mungu. Msioamini kuwa Kuna Mungu kina Nyani Ngabu kazi kwenu.
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Humphrey Polepole yametimia. CCM mtandao ni watu waovu, mtu mwema yoyote hawezi kufanya nao kazi

    Haya maneno alipoyatamka Humphrey Polepole baadhi ya watu walibeza wakadhania anawasingizia. Ukweli umeeanza kuthibitika na huko mbeleni yataibuka mengi. Watu watafanyiwa mambo maovu sana
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Samia aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM

    Bila shaka vikao vya kumtafuta Mbadala wa Nchimbi anayempenda yeye Mama, haya nasubiri kuona nani kuketi kiti cha Nchimbi =============== Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kundi ndani ya CCM linalopinga yanayoendekea nchini hivi sasa lazima lisimame kuhesabiwa ili kuinusuru nchi

    Nyie wanaCCM msiokubaliana na yanayoendelea nchini, uoga wenu ndiyo kitanzi cha tsifa hili. Ni lazima mpandishe joto la kisiasa nchini ili muafaka wa kitaifa upatikane. Tokeni kwenye mashimo yenu ya woga na hofu, mje mtoke hadharani mseme, mkemee, mshauri na mtoe misimamo. La sivyo atanyakuliwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Simbachawene ameamua kuidai Tanganyika na kutaka uwajibikaji ndani ya CCM

    Nchi imechangamka Hii kweli ni account yake?
  10. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Ccm ikiwa dhaifu sana basi mabadiliko ya kweli yatakuja- ikiwa imara sana ni kikwazo cha mabadiliko

    Kwa hili linalotokea la nchimbi kujiuzulu mimi sina upande wa kutetea au kuponda sababu ukweli ni kwamba ccm wote wanafanana tabia na wanatumia playbook moja kwa hiyo huo ni uogomvi wa ndugu haina haja ya kuingilia na kuushabikia Ccm ikiwa dhaifu kwa mda mrefu basi itakuwa ndo chachu ya...
  11. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Peter Msigwa Amlipua Rais Samia na CCM; Asema Utawala Unatengeneza Maadui na Hofu Nchini

    Aliyekuwa Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Simon Msigwa, amezua mjadala mkubwa wa kisiasa nchini baada ya kutoa ukosoaji mkali dhidi ya serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan na mfumo wa uendeshaji wa chama tawala cha CCM. Katika mfululizo wa maoni aliyochapisha kwenye ukurasa wake rasmi wa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nchimbi kujiuzulu siasa ni ujumbe kwa CCM!

    Nchimbi hata mara moja hajazungumzia CCM na amesema anajiuzulu siasa maana yake ni kwamba kapiga dongo CCM kwa kiasi kikubwa. Sasa kama wewe bado upo CCM jiulize kusudi lako hasa ni lipi! Kwa serikali hii ya wanzanibari pekee na machawa
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku: CCM na vyama vingine sio serikali muwe na mipaka

    Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema vyama vya siasa sio Serikali na wawe na mipaka kikiwemo CCM Kuhusu tofauti kati ya chama na serikali katika maamuzi: "...opposition siku hizi utadhani ni serikali lakini ni vyama vyama sio...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku: CCM hawaamini kuna siku Watanzania watawaacha

    Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema anaamini kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeanza kupoteza uelewa wa nafasi yake kama chama kinachoongoza serikali, huku akidai kuwa baadhi ya sera zake zimeanza kuachwa. Akizungumza kwenye...
  15. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Mzee wangu nchimbi natumaini utaendelea kubaki CCM, naimani sana, MUNGU akujalie na akusimamie katika maisha mapya

    Katika harakati za CHAMA, nafahamu ugumu wake Kuna muda una kaa kuanzia asubuhi Hadi jioni bila kula, mfano Mimi sijawahi NUFAIKA na pesa yoyote chamani labda Kwa sababu sio mtu wakujishusha sana, nakuombea maisha mema naimani utaendelea kuwep chamani.
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kikwete kawauza CCM bara rasmi

    Kwakuwa mtoto wake yupo madarakani kikwete rasmi sana kauza CCM bara na wamiliki sasa ni wanzanziri
  17. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Fukuto ndani ya CCM Dodoma linatisha, hali si hali

    Za ndani kabisaa na uhakika Hali si hali huko ndani ila kwa kuwa maCCM ni watu wa milungula wanaweza kuvuka. Ila wajumbe wakichagua haki badala ya pesa moto unawaka soon
  18. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania TUPUUZE UPOTOSHAJI

  19. L

    JamiiForums Tanzania CCM civil wars

    War lords of CCM civil wars from 2015 to 2026 Lowasaa Sumaye Kinana January Nape Mkapa Membe Magufuli Mpina Ndugai Tulia Ummi Simbachawene Polepole Nchimbi ............... ........ ..... ..... . .....
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sasa nawaelewa wanachama wa CCM na wafuasi wake kwa nini wana nidhamu na wanamuogopa Mwenyekiti wao. Msiwalaumu!

    Hamjambo! Nilikuwa najiuliza: kwa nini mtu aamue kuwa chawa? Kuna wakati niliwalaumu. Kuna wakati niliwakejeli, na huenda wakati fulani niliwatukana. Iwe nilikosea au sikukosea, bado nilikuwa na swali moja muhimu sana: Kwa nini mtu mzima, mwenye familia, mwenye elimu, mwanaume mzima na ndevu...
Back
Top Bottom