Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
"CCM haina mshindani kwenye siasa. Tunashindana na wote ambao wamesajiliwa kisheria. Vyama Vya siasa vinasajukiwa na msajili yoyote aliyesajiliwa sisi wote ni mshindani wetu wa kisiasa. Na sioni Chama cha Mapinduzi CCM kikiondolewa madarakani.
"Unajua Watanzania wanajua wametoka wapi na CCM. Na...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesisitiza kuwa mchakato wa kupatikana kwa Katiba Mpya nchini ni ajenda yake ya msingi na utatekelezwa kama ulivyohaidiwa katika Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2025–2030.
Akizungumza kwenye mahojiano ya mojakwa moja na Clouds Digital leo 19/08/2026, Katibu wa Halmashauri...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Kenani Kihongosi, akizungumza kwenye kipindi cha PB cha Clouds FM leo, Agosti 19, 2026, amesema kuwa: “Misingi ya CCM inapigana na rushwa, ukijulikana umetoa rushwa unaondolewa.
Soma Pia: Kenani: Hakuna taarifa rasmi ya kuitwa Makamu wa Rais Nchimbi...
Kenani Kihongosi, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, amesema hakuna taarifa rasmi kwamba Makamu wa Rais, Dk. Emmanuel Nchimbi, ameitwa mbele ya Kamati ya Maadili ya CCM
Ndani ya chama cha mapinduzi sisi CCM hatutambuani kwa vyeo tunatambuana kwa wanachama."
"Ili uweze kuwa kada wa chama...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndg. Kenani Laban Kihongosi akizungumza kwenye kipindi cha PB cha Clouds Fm amesema CCM ni chama cha Demokrasia na kinacholeta maendeleo kwa jamii
Huyu jamaa alikuwa shabiki mkubwa wa CCM na alikuwa akiwatetea sana hapa jukwaaani
Nini kilimsibu huyu jamaa maana mpaka sasa amegeuka kuwa shabiki kindakindaki wa Chadema na Lissu.
DK. NCHIMBI NA DHANA YA “VICE-PRESIDENTIAL DILEMMA”
Tafakuri ya Habibu Mchange
Katika sayansi ya siasa kuna dhana inayojulikana kama “Vice-Presidential Dilemma” yaani mtego unaoweza kumkabili Makamu wa Rais anapotaka kujenga utambulisho na mustakabali wake binafsi wa kisiasa, huku akiwa...
Ilani ya CCM ya 2025-2030 Ibara ya 2.6 inayohusu uimaridhaji Utawala Bora na Demokrasia kifungu (v) wametoa ahadi tatu Kwa Polisi, Magereza, uhamiaji na Zimamoto ambazo ni;-
1. Mishahara kuboreshwa.
2. Mafao ya kustaafu kuboreshwa.
3. Umri wa kustaafu kwa Askari wa chini kuongezwa ikiwa na...
Madeleka: ‘Nimeambiwa CCM walisikitika mimi kukamatwa. Nashukuru wameonesha kazi na utu’
Wakili wa kujitegemea Peter Madeleka ameyasema haya leo Agosti 18, 2026, wakati akiongea na vyombo vya habari baada ya kuachiliwa kwa dhamana kutoka Kituo Kikuu cha Polisi (Central) jijini Dar es Salaam...
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Dorothy semu, ameweka wazi kuwa chama chake hakina ushirikiano, urafiki wala mahusiano ya na Dola wala Chama Cha Mapinduzi (CCM), bali ACT inalenga kutimiza wajibu wake wa kisiasa kwa mujibu wa Katiba na sheria za nchi.
Akizungumza katika mahojiano...
Mbowe ndo alikuwa anafaa sana kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Nikiangalia naona hiki chama kwa sasa kinakuwa cha misimamo mikali.
Lissu na Heche hawa ni wabishi na hawataki kusikiliza ya wenzao. Wao wanataka kusimamia wanachomini tu. Wanasahau kuwa kuna wakati wanatakiwa kulegeza wanachikichia...
Watu wengi tulitarajia atoe hotuba kali sana kupinga haya masuala ya utekaji na mauji. Lakini hata alipo uliwa Mzee Ali Kibao, rais alitamka kifo ni kifo tu👇
Hakutaka Chadema iwe na misimamo kama hii ya Heche na Lissu.
Hapo alipo anafurahia na kuchekelea moyoni.
Maana alishazoea siasa za biashara na kuitumia Chadema kama mtaji.
John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA amesema; “CCM sio Chama cha siasa bali ni Dola iliyojivisha nguo za Kijani, CHADEMA ndio Chama cha siasa kwakuwa huko field hatukutani na CCM bali vyombo vya Usalama”
Video: Clouds Media Digital
Hawa wana ccm washawahi kufikiria kwamba wizi wa kura na kuchezea uchaguzi kunaweza kuhatarisha usalama wa nchi?
Nini kinachowapa ccm kujiamini? Je ni back up ya mchina au ya mnani vile? Anyway .. serikali huanguka kwa uzembe wa watu wachache sana wabinafsi.
Waafrica hawaijui ccm aisee. Hii sio TANU iliyowasaidia kupigania uhuru. Hili ni dudu baya.
Sasa tume itakuwa imeshikiliwa Mateka, Vikosi kazi vimeandaliwa tayari kuanzisha vurugu ili kuruhusu wizi wa kura, Askari watapewa posho ambayo hawajawahi kuipata kisha bunduki na Amri za kuua wananchi...
Taifa linakuwa na msomi kama huyu Dk Denis Muchunguzi litafika mbali kweli?
Msomi mzima anajikomba badala ya kueleza ukweli na uhalisia wa siasa mbovu zinazoendelea nchini.
Wasomi kama akina Dk Sengondo Mvungi hawatatokea tena. Hawakujikomba wala kujipendekeza.i
Dk Denis kusifia uovu wote wa...
IMANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI
Imani ya Chama Cha Mapinduzi imejengwa katika misingi mikuu mitatu:
1. Binadamu wote ni sawa.
2. Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake.
3. Ujamaa na kujitegemea ndiyo njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio sawa na huru.
AHADI ZA...
Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mbeya, Joseph Mwasote maarufu ‘China’, amesimulia mkasa mzito uliomfika akieleza jinsi alivyotwaliwa katika mazingira ya kutekwa na kufichwa kituo cha polisi, huku familia yake ikipigwa kalenda na kuambiwa hajulikani aliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.