Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 2,174
- 3,156
Siasa ya Tanzania ni ngumu sana, CHADEMA itapitia migorgoro mengi sana KWA sbb mapandikizi ya ccm yapo mengi sana.
Nani angeweza kujua kuwa mbowe ni pandikizi wa ccm zaidi ya miaka 30? Na je mbowe amecha wangapi ndani ya CHADEMA? KWA sasa mpimzani wa kweli ni Tundu Lisu: angalau na Heche lakini the rest kamati kuu! Tuwape mda........