Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Hamjambo!
Nilikuwa najiuliza: kwa nini mtu aamue kuwa chawa?
Kuna wakati niliwalaumu. Kuna wakati niliwakejeli, na huenda wakati fulani niliwatukana.
Iwe nilikosea au sikukosea, bado nilikuwa na swali moja muhimu sana:
Kwa nini mtu mzima, mwenye familia, mwenye elimu, mwanaume mzima na ndevu...
Wanabodi
Kwanza nitangulize kuomba radhi kwa kusema samahani kwa shurti la udhamini wa chama cha siasa kugombea uongozi wa umma,mimi kuuita ni ujinga!. Kiukweli kitu ambacho ni cha kijinga kweli kukiita ni ujinga,ni halali...
Friends and Our Enemies,
Ukistaajabu ya Nchimbi utayaona ya Chama Cha Maandamano,
Kuna taarifa zinazagaa zagaa zikielezea kuwa John Heche na Genge lake linahaha kuwatafuta CCM ili wawashawishi wamtoe lupango Tundu Lisu ili waunde serikali ya mseto wao na CCM ili kushughulikia masuala ya nchi...
Kama ni kidali poo, mama Samia analo!
Nchimbi huyoo kayoyoma kiaina, kaona kama ni mbwai miye naulaza!
Kwa maneno ya mjini, kabwaga manyanga!
Ngoma waicheze wajuvi.
Kwa maneno nengine Nchimbi hana imani na mama Samia, kuwa mama Samia ana imani naye kama Makamu wa Rais.
Kwa matamshi yake ya...
Tunaendelea kuuenzi Muungano wetu wa Tanzania, ambao baba yetu wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ndiye Muasisi.
Zanzibar kama upande mmoja wa Muungano tunawapa pongezi kwa kuendelea kuunogesha Muungano kwa kuweka mifumo yenye kujali usawa zaidi. Na huo ndio Muungano tunaoupenda...
awamu
ccm
dawa
hatua
hatuna
hii
ili
imara
jitihada
kuimarisha
mfumo
muungano
nafasi
ndani
nguvu
sawa
system
taifa
tanganyika
unyonge
usawa
vingi
viongozi
viongozi wa ccm
vizazi
wana
wana ccm
wasiwasi
watanganyika
wazanzibari
Kama kuna jambo moja ambalo Samia linamshinda katika uongozi wake, ni kuwa na uwezo wa kuona mbali katika baadhi ya maamuzi yake na kuletea kujijengea maadui wengi sana wa kisiasa. Kwa mfano, hadi sasa, hawa huwezi tena kuwaita watu wa Samia, pamoja na wale wanaowaunga mkono
Dr. Nchimbi...
Hatimaye, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Emmanuel Nchimbi, amejiuzulu wadhifa wake baada ya miezi ya tetesi, mijadala ya kisiasa na mashambulizi yaliyokuwa yakimlenga ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Taarifa ya kujiuzulu kwake imetumwa kwenye akaunti zake za X...
Nimejaribu kuyatafakari yanayotokea hakika ni ustaarabu wa haki za kidemokrasia uliopitiliza,leo hii litokee hili kwa heche patachimbika!,japo ni makamu katika vyama vya upinzani
Mlifanya jambo kama hilo kwa Spika wa bunge kwa sasa naomba msijaribu kwa makamu wa rais mtaleta maafa. Kwanini awe Samia pekee anayegombana na wandani wake. Kuanzia kwa Kasimu Majaliwa, VP aliyeamua kupumzika Mpango na sasa huyu Emmanueli Nchimbi? Tafute namna ya kuondoa tofauti zenu bila...
awamu
awamu ya sita
ccm
hatari
hatari kwa usalama
kisiasa
kiuongozi
kuanzia
majaliwa
mgogoro
migogoro
mkubwa
nafasi
nchimbi
nchini
ndugai
taifa
usalama
usalama wa taifa
Hapo VIP!
Huu ndio ukweli utakaochelewa ila itafika
Yanga ni club ambayo imejipambanua Na kuweka wazi kuwa IPO kisiasa Na ni club yenye mahusiano mazuri Na CCM Na imekuwa ikiisupport kipesa.
Na inatumia sana mgongo huo kuumiza vilabu vingine Na kufanikisha mambo yao.
Sasa itoshe kusema in...
Akitoa utetezi wake Leo, Lissu amedai katika Mkutano wake na watia Nia wa CHADEMA alipendekeza uchaguzi wa mwaka 2025 usogezwe mbele kwa mwaka Mmoja ili serikali pamoja na upinzani wakae na kuweka mazingira mazuri ya uchaguzi.
Ila pendekezo lake likakataliwa na CCM kupitia Makamu Mwenyekiti...
1. Kwanza kutumika na CCM kupoteza watu wenye maono wanaochipukia ndani ya chama. Yani Mbowe alimtoa kafara Ben saanane yeye anajua, Mungu anajua na Atalipia yeye na kizazi chake. Hasa watoto wake.
2. Kukaa kimya kuchaguliwa cha kusema na kufanya. Sasa wanampeleka wanavyotaka.
3. Kupambana na...
WanaCCM mtandao ambao walishaligeuza taifa letu shamba la bibi watazidiwa nguvu.
Wazalendo wa kweli watashinda. Mtifuano huu unakwenda kuliponya taifa letu.
Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu hali ya kisiasa nchini na kile kinachoitwa maridhiano. hali hii imenifanya nitafakari jambo hili kwa muda mrefu na kuona nitoe maoni yangu kwenye forum hii ili waungwana mpime na mjiridhishe kabisa kwamba Chama Cha mapinduzi hakitaki maridhiano na hakina nia...
Shibuda amshauri Nchimbi ajitafakari kuhusu mustakabali wake, alinde jina lake, Imani yake ya kwa CCM na historia ya kizazi chake. Na AJIUZULU haraka iwezekanavyo.
Kwa mtazamo wangu Samia na genge lake la watekaji,wauwaji, mafisadi na ma-cartels ya mafuta nimegundua kuwa ccm ni genge ambalo limefikia damu ya kunguni kiasi kwamba hakuna mtu anayetaka kusogelewa nalo hadi Dr. Ndlozi amewaonya SADEC kutomruhusu Samia kukaa naye kama mkuu wa Nchi kwasababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.