ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ulizi kwa Emmanuel Nchimbi si Matakwa ya Samia wala CCM bali Katiba

    Kuna watu Wanahisi kwamba Samia Hassan au CCM wanaweza kumuondolea Ulinnzi Emmanuel Nchimbi. Hawana ubavu huo kwani analimdwa na Katiba. Sio yeye tu anapata ulinzi, bali yeye na watu wake wa karibu. Kwa mujibu wa sheria ya Tanzania, Makamu wa Rais akistaafu kuacha wadhifa, anaendelea kupata...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania CCM: Hazina Kubwa ya Vijana Viongozi

    CCM ina Hazina Kubwa ya Vijana wenye kariba ya uongozi Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaendelea kuonesha kuwa kina hazina kubwa ya vijana wenye kariba ya uongozi, uzalendo na uwezo wa kulitumikia taifa. Uteuzi huu ni uthibitisho kuwa CCM ni chama kinachowaamini vijana na kuwapa nafasi ya kushiriki...
  3. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Muasisi wa kuwafanya CCM na wabunge kukosa kauli na Kumuona Mwenyekiti kama Mungu ni Magufuli

    Kuna Uzi nimeusoma mahal humu humu mleta uzi anasema wabunge watumie nafas yao kupiga kura ya hapan kwa Makam ili asipite.. Ujue ni vitu ambavyo haviwezekan kwa sababu mtu kama Baba levo ambae anajua dhahiri kabisa kua hakushinda Jimbo kwa ushawishi wake bali kwa Nguvu ya mwenyekiti atahoji...
  4. K

    JamiiForums Tanzania CCM jiulizeni Kama Makamu wa Rais wa nchi anafukuzwa kwa kuwa mkweli wewe Mzalendo bado upo CCM!

    Kama wewe kweli ni mzalendo utaendelea vipi kuwa ndani ya Chama ambacho Makamu Wa Rais wa nchi anafukuzwa kwasababu ya kusema watanzania wapiganie katiba mpya. Tujiulize kwanini hao waliobaki katiba mpya inawapeleka huko. Na hao TIS wanafanya kazi kwa niaba ya nani?
  5. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa chadema na wapinzani wengine nadhani mmeona wenyewe kuwa CCM si Mali ya mtu ni Mali ya watanzania

    Hakuna mtu yyte aliyekishikilia chama cha CCM kama unadhani una nguvu ndani ya CCM unajidanganya BURE. Inshort siasa za CCM ni za kiwango cha ulimwengu mwingine ni siasa zilizojengwa kwenye mwamba mgumu ambao hakuna mtu yyte wa kuutikisa na haitakuja kutokea. Hakuna mtu mkubwa kuliko CCM, CCM...
  6. G

    JamiiForums Tanzania CCM na demokrasia ni paka na panya

    Chama kikongwe kinaogopa majadiliano. Katika vikao vyao kazi kubwa ni kupitisha anachokitaka mwenyekiti wao. Hakuna nafasi ya mawazo mbadala, kutokubaliana na mwenyekiti ni uasi usiovumilika. Je kwa utaratibu huu wa "zidumu fikra za mwenyekiti", chini ya Samia, tutaweza kupata kaba mpya ya...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rasmi sasa Watanganyika ni machawa tu ndani ya CCM

  8. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku: CCM inatakiwa ijitathmini itazame namna ya kujifanyia reform. Mwanri Mzee wa zamani

    Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa Agosti 26, 2026 na M & S Podcast, amesema kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) inatakiwa ijitathmini na kujifanyia reform. Mzee Butiku ameeleza kuwa hatua...
  9. BabuFey

    JamiiForums Tanzania CCM ASILIA TOKENI MAFICHONI

    Ujumbe wangu kwa CCM Asiliaukipenda CCM Masalia Watanganyika tokeni mafichoni nchi yetu inakwenda kubays. Leo wa wapi Majaliwa.Mpango.Simbachawene.Ndugai.Nchimbi.Makamba.Nape na wengine wengi gone with the wind Leo CCM Tanganyika ni Kitila Katambi.Mwigulu .Ndejembi Mwana FA na kama hao wasio...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Dk Nchimbi aingia kwenye historia ya vigogo waliotimuliwa CCM kisa kutofautiana na Rais, chama

    Siku mbili baada ya Dk Emmanuel Nchimbi kujiuzulu nafasi ya Makamu wa Rais, hatimaye CCM imemfukuza uanachama. Taarifa ya kufukuzwa kwa Dk Nchimbi ilitolewa saa 4:30 usiku wa Agosti 26, 2026 na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Asha-Rose Migioro katika ofisi ndogo za makao makuu Lumuumba Dar es...
  11. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania CHADEMA itisheni kikao cha dharura haraka sana tembeeni na upepo huu huu wa CCM kumalizana na Mbowe

    Mi ushauri wa bure tu, Ccm inapofanya uhuni wowote msajili anakaa kimya, wote tunajuwa Dr Nchimbi wanamfuta uanachama bila kupewa natural justice ya kusikilizwa na kujitetea. Sasa hoja yangu kwakuwa Mbowe si Chadema tena tangu alipoangushwa Uenyekiti na Tundu Lisu sina haja ya kueleza mengi...
  12. K

    JamiiForums Tanzania CCM wanapiga drama baada ya kuona lichama limekufa na hakuna anayewajali

    Wakuu bila shaka mko poa, Nimeleta Uzi huu baada ya kuona Kwa jicho la ndani kuwa CCM mpaka sasa haipo na hakuna anayetaka kujua habari zao ukiacha nguruwe na wapigwa miti, so ni katika muktadha huo wameona waje na drama za Nchimbi ili kuhamisha upepo japo wamekuja kipindi kibaya ambacho...
  13. Chakaza

    JamiiForums Tanzania VP Mstaafu Ambaye Sio Mwanachama wa CCM, Serikali na Raia Tuendelee Kumpa Stahili na Heshima zake Bila Ubaguzi

    Ndio, bwana Emanuel Nchimbi ameondoka madarakani kwa kujiuzulu na Katiba inampa haki ya kufanya hivyo na kustahili heshima, mafao na stahili zote kama VP mstaafu. Hayo ya kufukuzana CCM mtajua wenyewe na chama chenu. Nchimbi alikuwa makamu wa Rais hivyo ni mtumishi serikali lakini kwa jinsi...
  14. gimmy's

    JamiiForums Tanzania Ukilinganisha na zamani Chadema ya sasa imesahau kuwekeza kwa vijana vinginevyo kwa CCM ya sasa hata kama waibe kura bado CCM wangeondoka madarakani

    Huu ni ushauri wa bure kwa Chadema ya kwamba warudi chini kwa vijana waweke nguvu kama zamani. Bavicha ya leo imechoka na haisikiki kabisa jambo ambalo linapoteza matumaini kwenye siasa za vyama vingi nchini. Zamani kule vyuo vikuu CDM walijitahidi sana kuchukua vijana na kuanza kuwalea...
  15. R

    JamiiForums Tanzania CCM, Hii siyo sawa. Pamoja na yote , msingelimfutia uanachama nchimbi. Mungu anawaona

    Hakuna kosa lolote alilolifanya. mmekengeuka na diyo maana mnaua watu, kuteka, kupoteza na ukatili ulikithirika mipaka ya ubinadamu. Kwa nguvu, utumishi alioufanya akiwa CCM, watu wenye hofu ya Mungu msingelifika kumfukuza uanachama. CCM ipo hapo kwa contribution kubwa ya Nchimbi. Kama...
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Pongezi Dr. Nchimbi Kwa Uamuzi Wako Kufuatia Ushauri Wangu Huu, Kufutwa CCM, Hakutafuta Mazuri Yako!, YEYE Yupo, Atasimama na Wewe!. Ubarikiwe Sana!

    Wanabodi, Kiukweli kitendo cha VP Bal Dr. Emmanuel Nchimbi kufutwa uanachama CCM, kimenipiga shock na kunikata usingizi, ukijumlisha na kujiuzulu, this is double tragedy, sijui kama kuna mtu yeyote amempongeza kwa uamuzi wake huu wa kujiuzulu, ambao mimi nauita ni uamuzi wa kishujaa, ila hili...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Kweli CCM ya Nyerere imegeuka hadi inatuletea visivyoeleweka kila uchao

    Eti Ndejembi ndiye kapendekezwa! Heri hiyo nafasi ingebaki wazi au kupewa Abduli kama siyo Wanuu au Mchengerwa. Tumefikishwa hapa? Natamani huyu awe mzanzibari wa mwisho kuwa rais wetu. Inauma na kuumiza kuona nchi inakwenda kwa mafisi na mafisadi.
  18. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Jifunzeni toka CCM how to take quick actions. Lembrose Mchome, Said Issa Mohamed na Freeman Mbowe wanasubiri nini ndani ya chama?

    Siungi mkono na sijawahi kuipenda CCM.. Lakini yapo machache ya kujifunza toka kwao... Wanailinda taasisi yao kwa nguvu sana bila kujali kwa kufanya hivyo wanakuwa sahihi au la... Wamekula kichwa cha Dr Emmanuel Nchimbi. Hawajaangalia alikuwa ni nani au ni maarufu kwa kiwango gani.. Kwao ni...
  19. Waterloo

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM hapa ndio sehemu ya kutuma Ujumbe kwa Samia siku ya kupigia kura hilo jina la Makamu wa Rais. Hana Cha kuwafanya kwasasa

    Kama mnakipenda chama chenu na nchi hii sehemu pekee iliyobaki ni hapa. Mtumieni salamu ajuwe hamjapendezwa na kitendo alichokifanya. Huwezi kumfukuza mtu uanachama eti kwa sababu anataka tupate katiba mpya. Mkizubaa huyu bibi atawatesa sana. Kazi kwenu sasa mkubali kuwa mateka au muamue kuresist.
  20. polokwane

    JamiiForums Tanzania Nawashauri CCM punguzeni ujinga wenu , anzeni kuthamini nchi kwanza ndipo chama kifuate maana utetezi wa chama si kwa manufaa ya nchi bali mafisadi

    CCM na wafuasi wake hasa wafuasi mkumbo, tangulizeni taifa kwanza kwa manufaa ya vizazi vyenu huko mbeleni , chama chenu kwa sasa si kwa manufaa ya taifa wala wananchi wake eleweni hilo.
Back
Top Bottom