ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Tume ya uchaguzi INEC haijatoa tamko wala kuchukua hatua dhidi ya CCM licha ya kuvunja katiba

    Inasikitisha kuona tume inayojiita huru, wamekuwa wepesi sana kutoa matamko na kuchukua hatua dhidi ya CHADEMA mfano siku si nyingi walipinga mchakato uliompitisha Tundu Lissu kama Mwenyekiti, Ila Mpaka sasa haijachukua hatua yoyote licha ya CCM kuvunja katiba katika kumpata mgombea wao, Na si...
  2. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 sikilizeni matokeo ya kikao cha CCM live

    Wale wazushi wa humu JF sikilizeni matokeo ya kikao cha dharura cha CCM Dodoma. CCM ni chama imara zaidi ya jabali hamwezi ht kuitingisha, msiifananishe na hao wenzenu. Sijui baada ya hapa mtakuja na uzushi upi, tunausubiri ila wengine mtawehuka mwaka huu. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI, OKTOBA...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM yafanya marekebisho ya Katiba yanayohusisha maamuzi ya Kamati Kuu uteuzi wa wagombea udiwani na ubunge

    Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM akishiriki Mkutano Mkuu Maalum CCM kwa Njia ya Mtandao White house -Dodoma, leo tarehe 26 Julai, 2025 https://www.youtube.com/live/-Tu6zVGA9PU?si=2ByaTaVIA6m33xsQ Mwenyeiti wa chama cha mapinduzi (CCM) Rais Samia ameshafungua mkutano na sasa shughuli zimeanza...
  4. The Khoisan

    JamiiForums Tanzania Wajumbe CCM Mmedharauliwa. Mnafanywa Rubber Stamp

    Yaani hiki kitendo cha kuitisha mikutano mitatu kwa siku moja yaani Kamati Kuu, Halimashauri kuu na Mkutano Mkuu ni dharau kwa Wajumbe na Wanachama wa CCM. Kwa mani yangu kinachofanyika hapa ni kikundi fulani kuleta agenda yao ili vikao halali vya chama ivipitishe. On top of that hata hayo...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Chawa wa Bongo Movie, na Wasanii Uchwara hatuwaoni Wakitumbuiza Kwenye Kikao cha CCM cha Kubadili Katiba

    Kweli ya Mungu mengi, nani angejua Mkutano wa CCM unaweza fanyika bila Chawa? Bongo Movie na Chawa wote wa CCM wwalikuwa anapambana kushonesha nguo za Kijani hadi kuwatukana mafundi wetu. Hii picha sasa ndo wajue Dunia hubadilika na mambo ya kibadilika hawana uwezo wowote. Chawa sijaona...
  6. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hata kama walikiuka kanuni Januari 19, 2025 bado Rais Samia ndiye bora kuliko wote wanaotamani kuwa wagombea wa CCM

    Japo wengi wanashabikia kwa kutofahamu, lakini kazi aliyoifanya Samia ni kubwa sana katika nyannja zote. Hata wapinzani wanaponda sana utawala wa Samia lakini katika waliopo CCM sasa hivi pengine Samia ndiye bora kuliko wote Haya ni mafanikio ya Rais Samia Suluhu Hassan (Machi 2021 – Julai 25...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mkutano mkuu maalum wa CCM Kidijitali

    Leo CCM wanafanya Mkutano Mkuu maalum kidijitali . Niseme ukweli huu mkutano hautakuwa na matokeo chanya kama CCM wanavyotarajia. Asilimia kubwa ya Wajumbe hawajui dhana ya mtandao na hasa kule vijijini. Mfano Mjumbe wa Mkutano Mkuu toka kule Itilima, Rorya, madaba, Mlangali je wana uelewa...
  8. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM marekebisho ya Katiba yenu muda mnao, Sheria za uchaguzi muda haitoshi

    Kama kurekebisha Katiba yenu jambo ambalo ni kubwa Sana ndani ya mwaka mmoja mmeweza kufanya mara mbili, kwa nini hamtaki kurekebisha baadhi ya vifungu vya Katiba Tanzania pamoja na Sheria za uchaguzi? CCM inaogopa uchaguzi huru na wa haki kuliko inavyoogopa kifo.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Nataka CCM itafute mgombea mwingine wa u - Rais na sio Bi Samia Suluhu Hassan!!

    https://youtu.be/HHq7hqvxQSY?si=dLD-aa4aBpswt59T
  10. MGOGOHALISI

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CCM kufuta Kanuni hizi ili mgombea wao asipate vikwazo

    1. Ulazima wa kuchukua na kujaza form 2. Ulazima wa kutafuta wadhamini 3. Ulazima wa majina matatu 4. Ulazima wa kupigiwa kura na mkutano mkuu Yote haya yanafanyika ili mgombea wa sasa asiendelee kushambuliwa kwamba kapita kwa njia haramu
  11. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM mlione hili na kulitolea uamuzi wa busara, Mchakato wa kuchuja watia nia Ubunge na Udiwani

    Wananchama wengi wa CCM wametia nia ya kugombea nafasi za Udiwani na Ubunge. Moja ya sharti lililowekwa na CCM ni kuwa watia nia wote kwa nafasi za Udiwani na Ubunge kwanza watachujwa na Kamati za Wilaya na Mikoa na hatimaye majina yote kupelekwa Makao Makuu ya CCM - Dodoma kila mmoja akipewa...
  12. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania Kitakachoikoa CCM ni mchakato wa wazi na live kama ule wa CHADEMA

    Kwa hali ilivyo ndani ya CCM kwa sasa kitu pekee kitakachoiokoa CCM ni mchakato wa wazi na unaorushwa live kwenye luninga nchi nzima na vyombo vyote vya habari. Kinyume na hapo Chama hakuna tena na kitakachofuata ni kuumizana tu huku wapinzani wa ndani wakiongezeka sana. Chadema walitoa mwanga...
  13. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mwenye Link ya Mkutano Mkuu wa CCM unaofanyika online Leo tarehe 26.8.2025 Tafadhali!

    Ninaomba atupatie!
  14. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM si huwa mnaponda siasa za mitandaoni, Leo kimewakuta nini?

    CHADEMA ndiyo Chama cha kwanza Tanzania kuruhusu kufanya vikao vyake kwa kutumia mitandao ya kijamii. Vikao kadhaa vya Kamati Kuu ya CHADEMA vimeshawahi kufanyikia mtandaoni. Soma Pia: CCM kufanya Marekebisho ya Katiba kwa njia ya mtandao Julai 26, 2025 Wakati wote huo CCM walikuwa wanaponda...
  15. Fredrick J Mbwambo

    JamiiForums Tanzania CCM haitaanguka bila kusaidiwa

    Shalom! CCM haitaanguka yenyewe, Bila kusaidiwa kuanguka. Tusipowasaidia, wataendelea kutawala. Na kwa uzoefu tulionao, hawajali watu wanawaza nini ili washinde. Watafanya watakacho ili waendelee kushika dola. Walivyoweza kujipanga kwa nguvu baada ya sakata la Lowassa mwaka 2015, tulipaswa...
  16. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kupeana updates kutoka katika Online - meeting ya CCM

    Wana-ccm wote tulioko mashambani na vijijini ambako hakuna access ya kushuhudia mkutano huu muhimu katika chama chetu wa kubadilisha katiba ndogo ya Chama Cha Mapinduzi Wajumbeeeeeeeeeh
  17. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania CCM chini ya Mwenyekiti wetu Dr. Samia Suluhu Hassan imekuwa maarufu kama Marekani Dunia yote inaiongelea Marekan hii ndo siasa Sasa.

    Umaarufu wa CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA umezidi kukua maradufu Tangu Mwenyekiti wetu jemedali wetu wa siasa za kisayansi DAKTARI Samia Suluhu Hassan aingie madarakani. Tuwe wakweli Jamani Samia anaujua uongozi, anaijua siasa, yupo very focused Hana papara, kwakweli nampongeza sana, sijui bunge...
  18. and 998 others

    JamiiForums Tanzania GE2025 Niwapongeze CCM kufanya Mkutano Mkuu kwa njia ya Mtanda - Historia imeandikwa

    Maendeleo ya teknolojia CCM hatujaachwa nyuma. Kazi na Utu. Tunasonga mbele. Tunatiki tu
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi CCM mnaakili kweli? Aliyevunja Katiba, anaamua kuibadilisha Kwa Masilahi yake Binafsi Imfae, CCM Wazalendo mko wapi?

    Yaani Rais Mwenyekiti CCM Taifa, aliyevurunda, anaamua kubadilisha vifungu vya Katiba viendane naye, Huu sindo Udikteta?. Kikao gani Cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu, au Kikao Cha Halmashauri Kuu kipi, kilichokaa, kujadili hayo yanayoendwa Badilishwa?? Je yanayobadilishwa ni Kwa Faida ya...
  20. Wimbo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkutano mkuu wa CCM kesho kuwashangaza wengi

    Bila Shaka CCM imetafakari vya kutosha na kesho muda wa uchaguzi mkuu unaweza kusogezwa ili kuondoa sintofahamu ambayo inaweza kutukuta endapo tutalazimisha kuendelea na hali ilivyo. Miaka miwili ya mpito inatosha kurekebisha katiba ya CCM na katiba ya Taifa inayosubiri kwa zaidi ya miaka 10...
Back
Top Bottom