WACHINA waliruhusiwaje kuchangia CCM. Sheria zinasemaje ?

Verrazanno

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2021
Posts
604
Reaction score
1,343
Nchi nyingine wana sheria kali dhidi ya kuchangiwa pesa kutoka nje ya nch au na wasio raia.

Hawataki nguvu au mawazo ya watu Urusi iamue nani anatawala Wafaransa, kwa mfano. Kwa saab ni lazima ana lake jambo, la maslahi yake yeye, vinginevyo anajali nini, mambo ya Wafaransa yanamhusi nini Mrusi ?

Msemaji wa wachimba madini wakati akisoma orodha ya waliochangia CCM, kataja wawili ambao ni "wenzetu Wachina, nao hawakutaka kubaki nyuma,"

Sheria ya Uchaguzi inaruhusu ?

Na hata kama inaruhusu, CCM watapata tena moral authority ya kusema Mpinzani huyu ana wafadhili nje ya nchi?

Ofisi ya Rais ya watu makini wangeomba yale makaratasi toka asubuhi, wayasome

Wange cross out Wachina. Wange cross out Yanga. Wange cross out yeyote ambae hawamwelewi elewi. Vipi baadae ukija ambiwa yule bwana fulani anauza na ngada duniani ?
 
IMG-20250814-WA0039.jpg
 
Tuliza makalio we ngedere, unajua wanaowachangia hao nyumbu wenzako? Au huelewi maana ya mchango? Una udumavu wa akili we bwege.
 
Nchi nyingine wana sheria kali dhidi ya kuchangiwa pesa kutoka nje ya nch au na wasio raia.

Hawataki nguvu au mawazo ya watu Urusi iamue nani anatawala Wafaransa, kwa mfano. Kwa saab ni lazima ana lake jambo, la maslahi yake yeye, vinginevyo anajali nini, mambo ya Wafaransa yanamhusi nini Mrusi ?

Msemaji wa wachimba madini wakati akisoma orodha ya waliochangia CCM, kataja wawili ambao ni "wenzetu Wachina, nao hawakutaka kubaki nyuma,"

Sheria ya Uchaguzi inaruhusu ?

Na hata kama inaruhusu, CCM watapata tena moral authority ya kusema Mpinzani huyu ana wafadhili nje ya nchi?

Ofisi ya Rais ya watu makini wangeomba yale makaratasi toka asubuhi, wayasome

Wange cross out Wachina. Wange cross out Yanga. Wange cross out yeyote ambae hawamwelewi elewi. Vipi baadae ukija ambiwa yule bwana fulani anauza na ngada duniani ?
Takataka
 
Picha
 
Wageni hawaruhusiwi kushiriki siasa za Tanzania, hata hivyo mara zote ni wachina wamehusika kuingilia siasa za Tanzania.
Kuna michango ya lazima na michango ya hiari ,huo mchango wa harambee ni WA hiari ila michango ya uanachama ni ya lazima na ambacho hukijui harambee ya CCM imecgangiwa na CHADEMA kimyakimya
 
Nchi nyingine wana sheria kali dhidi ya kuchangiwa pesa kutoka nje ya nch au na wasio raia.

Hawataki nguvu au mawazo ya watu Urusi iamue nani anatawala Wafaransa, kwa mfano. Kwa saab ni lazima ana lake jambo, la maslahi yake yeye, vinginevyo anajali nini, mambo ya Wafaransa yanamhusi nini Mrusi ?

Msemaji wa wachimba madini wakati akisoma orodha ya waliochangia CCM, kataja wawili ambao ni "wenzetu Wachina, nao hawakutaka kubaki nyuma,"

Sheria ya Uchaguzi inaruhusu ?

Na hata kama inaruhusu, CCM watapata tena moral authority ya kusema Mpinzani huyu ana wafadhili nje ya nchi?

Ofisi ya Rais ya watu makini wangeomba yale makaratasi toka asubuhi, wayasome

Wange cross out Wachina. Wange cross out Yanga. Wange cross out yeyote ambae hawamwelewi elewi. Vipi baadae ukija ambiwa yule bwana fulani anauza na ngada duniani ?
SWALI LA KIJINGA KABISA, TO DONATE, NI SUALA HURU KABISA,UNAWEZA DONATE POPOTE PALE ULIMWENGUNI ALI MRADI NAFSI YAKO IMERIDHIA!
 
Kuna michango ya lazima na michango ya hiari ,huo mchango wa harambee ni WA hiari ila michango ya uanachama ni ya lazima na ambacho hukijui harambee ya CCM imecgangiwa na CHADEMA kimyakimya
Asante kwa kunijulisha mtunza hazina wa Chadema, hizo ndizo siasa safi za kusaidiana.
 
Nchi nyingine wana sheria kali dhidi ya kuchangiwa pesa kutoka nje ya nch au na wasio raia.

Hawataki nguvu au mawazo ya watu Urusi iamue nani anatawala Wafaransa, kwa mfano. Kwa saab ni lazima ana lake jambo, la maslahi yake yeye, vinginevyo anajali nini, mambo ya Wafaransa yanamhusi nini Mrusi ?

Msemaji wa wachimba madini wakati akisoma orodha ya waliochangia CCM, kataja wawili ambao ni "wenzetu Wachina, nao hawakutaka kubaki nyuma,"

Sheria ya Uchaguzi inaruhusu ?

Na hata kama inaruhusu, CCM watapata tena moral authority ya kusema Mpinzani huyu ana wafadhili nje ya nchi?

Ofisi ya Rais ya watu makini wangeomba yale makaratasi toka asubuhi, wayasome

Wange cross out Wachina. Wange cross out Yanga. Wange cross out yeyote ambae hawamwelewi elewi. Vipi baadae ukija ambiwa yule bwana fulani anauza na ngada duniani ?
1755186574205.png
 
CCM kuwa na wachama na marafiki philanthropist sio kosa kisheria ila kuna wanaumia!
 
Nchi nyingine wana sheria kali dhidi ya kuchangiwa pesa kutoka nje ya nch au na wasio raia.

Hawataki nguvu au mawazo ya watu Urusi iamue nani anatawala Wafaransa, kwa mfano. Kwa saab ni lazima ana lake jambo, la maslahi yake yeye, vinginevyo anajali nini, mambo ya Wafaransa yanamhusi nini Mrusi ?

Msemaji wa wachimba madini wakati akisoma orodha ya waliochangia CCM, kataja wawili ambao ni "wenzetu Wachina, nao hawakutaka kubaki nyuma,"

Sheria ya Uchaguzi inaruhusu ?

Na hata kama inaruhusu, CCM watapata tena moral authority ya kusema Mpinzani huyu ana wafadhili nje ya nchi?

Ofisi ya Rais ya watu makini wangeomba yale makaratasi toka asubuhi, wayasome

Wange cross out Wachina. Wange cross out Yanga. Wange cross out yeyote ambae hawamwelewi elewi. Vipi baadae ukija ambiwa yule bwana fulani anauza na ngada duniani ?
KASOME SHERIA ZA GHARAMA ZA UCHAGUZI TANZANIA ZINASEMAJE?NDO URUDI TENA MI SIKUHIZI SIKURUPUKI BILA KUFUATILIA SHERIA KWANZA NRNE
 
Back
Top Bottom