Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,768
- 165,392
CCM hii sijui viongozi wake wana upeo wa aina gani!
1.Mtu kama Harbinder Seth unamuwalikaje achangie kampeni ukijua record yake ni chafu? Akili gani ilitumika hapa?
2. Unawezaje kukubali kuchangiwa na club ya soka ambayo sio tu ina mashabiki wasio wana CCM, bali unahatarijsha club yenyewe kwa kukiuka sheria na Kanuni za Shirikisho la Soka Duniani (FIFA)
3. Yanga yenye wapenzi wengi ikifungiwa, SAMIA na CCM watakuwa na hali gani kisiasa kwa kuiponza Yanga?
HIiki ni kiburi tu au ndio sasa wamekataa tamaa jumla kuwa hawakubaliki hivyo ni bora tu wafanye wanavyotaka?
Mshauri wa CCM na Serikali, ni nani huyo?