ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naona tayari Laana ya wana Yanga SC kwa Timu yao Kuichangia CCM Milioni 100 imeshaanza Kulipa huko Kigali Rwanda

    Jifanyeni tu mpaka sasa bado hamna Matokeo wakati mapema tu tayari Kipa Mjibinuaji Onyesha Boksa keshawekwa 1...!
  2. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Natabiri kuongezeka kwa malori na mabasi ya kusomba watu na wasanii wa mziki wakati wa kampeni za CCM

    Kama kuna mtu alifikiri uchaguzi wa Rais utakuwa mteremko kwa CCM sababu tu Chadema wamezuiwa kushiriki basi amekosea, Chama cha Mapinduzi kinaenda kupata wakati mgumu kuliko kilivyofikiria,Watu watasusia mikutano yao na itakuwa mitupu tofauti na kipindi cha Magufuli watakachokifanya watatumia...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 GSM + Eng. Hersi + Yanga + CCM Inamaanisha nini? Kwanini Eng. Hersi anautaka sana ubunge? Machango wa GSM, Yanga kwa CCM una maana gani? Tuchambue

    GSM kama mfanyabiashara yeyote anachoangilia ni kupata faida, popote pale anapokuwa yeye anaona fursa na kufanya aingize pesa zaidi na power ya kumbakisha hapo alipo na Hersi kama mfanyakazi/Mtendaji wa GSM ambaye yupo kwenye kitengo muhimu cha Uwekezaji ni kuhakikisha anacheza karata zake...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Vijana CCM, Mussa Mwakitinya, asisitiza Mshikamano baada ya vikao vya uteuzi, Tabora

    Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, Mussa Mwakitinya (MNEC) amewasihi viongozi wana CCM mkoa wa Tabora, kuendelea kuwa wamoja na kuzuia mipasuko inayoweza kukipata Chama wakati mgumu wa kuitafuta Dola Mwakitinya ameyasema hayo mara baada ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM cha Mkoa wa...
  5. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Msauni aeleza utekelezaji wa Ilani ya CCM jimbo la Kikwajuni

    Waziri wa kuwa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) na Mbunge wa Kikwajuni Zanzibar, Hamad Yusuf Masauni ameeleza mafanikio yaliyopatikana katika kipindi cha miaka mitano (2020- 2025) katika jimbo hilo akiwashukuru wapiga kura wake.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Hili fungate la CCM na matajiri, subiri tuone

    Bila shaka kibwagizo cha wimbo tuliipenda wenyewe, kinaendelea kujidhihirisha kwa kasi ya 5G. Mungu atupatie uhai tushuhudie yatakayotokea nchini. HIVI NINI MAANA YA STATE CAPTURE?
  7. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania CCM jengeni Chuo kikuu Mwanza na Hospital kubwa yenye hadhi ya nyota tano muziite CCM MEDICAL UNIVERSITY and Teaching Hospitali

    Haya mabilioni ya shilingi zenu njoeni muwekeze Mwanza mjenge Hospital ya hadhi ya nyota tano hafu mjenge chuo kikuu kikubwa Sana
  8. mwengeso

    JamiiForums Tanzania GE2025 Matumizi ya bilioni za CCM kwa ajili ya uchaguzi mkuu

    Nawaza tu kwa sauti, hivi hizo bilioni zilizokusanywa na CCM, wakati wa harambee, zitatumikaje katika miezi 2 ya kampeni (zaidi ya 1b kila siku) ili hali ya huduma za jamii nyingi zinahitaji fedha kuboreshwa. Najiuliza hivyo kwa kuwa Serikali iliyoko madarakani ni ya CCM. Na isitoshe, ushindi...
  9. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM wanatamani CHADEMA ife?

    Tangu baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 kupita, harakati za kuisambaratisha CHADEMA zimekuwa nyingi. Ingawa sasa harakati hizo zimechukua mkondo mwingine na kuwa za kiwango cha juu, lakini ni jambo ambalo limeshazoeleka na kuwa sehemu ya siasa zetu Tanzania. Nakumbuka wakati fulani Mzee Steven...
  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baadhi ya Wananchi wamkataa aliyeongoza Kura ya Maoni CCM katika Jimbo la Mbarali

    Baadhi ya wananchi Jimbo la Mbarali Mkoa wa Mbeya wametishia kutokushiriki uchaguzi Mkuu Oct ,2025 wakidai kuwa mgombea aliyeshinda kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo hilo sio chaguo la wananchi ni chaguo la chama. Wananchi wa jimbo hilo wametuma ombi kwa uongozi wa...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mpina bila kukatwa angebaki CCM milele, ni hasira tu zilezile za watangulizi wake.

    Mpina amekuwa mbunge wa CCM kwa miaka 20, na alikuwa anaomba kuemdelea kuwa mbunge kabla ya kukatwa jina lake na kutimkia ACT. Tunaposema safari ya vyama vya upinzani bado ni ndefu sana maana yake ndiyo hii. Mpina hakipendi chama cha ACT, bali amelazimika tu kama walivyolazimika akina Mrema...
  12. Mindyou

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wana CCM Kondoa Vijijini wataka mchakato wa kura za maoni urudiwe

    Wanachama wa CCM Kata za Bereko na Kisese, wilayani Kondoa, mkoani Dodoma, wameuomba Uongozi wa CCM Taifa, kurudia kura za maoni kwa nafasi ya Udiwani na Ubunge wa Jimbo la Kondoa Vijijini, wakidai uchaguzi huo uligubikwa na vitendo vya rushwa ili kutoa fursa kwa wananchi kupata kiongozi bora...
  13. malikafif84

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga kuhusishwa na CCM

    Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, tulizilea hizi timu katika mtindo huo na sio rahisi leo kuzitenganisha na CCM, chombo pekee kinachoweza kufanya hivyo ni FIFA kuzipa onyo na kuendelea kuzifuatilia kwa ukaribu.
  14. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Ni ajabu kweli yule reporter kamuuliza Mpina kwanini ametoka CCM

    Sasa Mpina angefanya nini katika hali kama Ile? Pale Samia Suluhu ndio alionyesha udikteta wake. Bila sababu jina la Mpina limeondolewa,watu jimboni kwake imeonekana kama vile hawakupendezewa . It was unprovoked and uncalled for. Imeonyesha jinsi Samia alivyolewa madaraka. Sasa huyu mtu...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Leo ninawaambia ukweli. Ukimwona mpinzani yeyote Tanzania hii anahutubia bila kugusa kiti cha Rais huyo ni pandikizi wa CCM

    Tusipotezeane muda mambo ni mengi. Haina haja kutumia akili nyingi kujua nani ni nani, nani yuko kwaajili ya wananchi, nani yuko kwaajili ya tumbo lake au nani yuko kwaajili ya chama kingine. Code ni hiyo. Mtu yeyote akihuburi siasa bila kugusa kiti cha mtawala huyo anafanya kazi ya mtawala...
  16. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nawapongeza sana Yanga kuchangia CCM, mmesaidia sana kupaza sauti kuwa CCM si chama cha wananchi, ni wakoloni weusi wanaoendesha nchi kwa mabavu

    Unapozungumzia Simba na Yanga, unagusa maisha ya watu zaidi ya milioni 40 Tanzania. Kila kona ya nchi kuna shabiki wa timu hizi, MPIRA NI DINI YA PILI TANZANIA. Baada ya Yanga kuchangia harambee ya CCM, hali haikubaki kimya. Wananchi wameonyesha hisia zao waziwazi, sio kwa chuki, bali kwa...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Luhaga Mpina: Siwezi kuwa pandikizi la CCM

    "Kwa muda mrefu nimejitofautisha sana. Maana yake, kama ningekuwa pandikizi tu, si ningekuwa nashangilia haya mambo? Kama ningekuwa pandikizi, hata huko CCM ningekuwa nashangilia kama wale wanaomwambia mgombea wa CCM kwamba "wewe hatukudai", wakati wananchi wao hawana barabara, hawana madaraja...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Chadema badala ya kuuza sera mshike Dola mmeamua kudandia, kujadili na kukosoa agenda za CCM!

    Mnacheza Ngoma ya Lumumba badala ya kuwazia kushuka Dola kwa sanduku la Kura. Niwape pole ila hamjachelewa sana
  19. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kwa ndani, CCM tunamchukia sana Mwamposa

    Mwamposa anachukiwa sana na sisi CCM in general na Mama Samia in particular. Mama Samia ameitembelea Mwanza mara kibao akiwa na idadi kubwa ya wasanii wazuri lakini hajawahi hata kufikisha idadi robo ya Mwamposa anayojaza hapa Viwanja vya nane nane. Mama Samia aliwahi kushindwa kujaza kujaza...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 TAKUKURU Geita yafuatilia tuhuma za Rushwa Kura za Maoni CCM

    aasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Geita imesema inaendelea kufuatilia kwa karibu vitendo vya rushwa vilivyodaiwa kutokea katika mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni ya wabunge na madiwani ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Akizungumza na waandishi wa habari, Mkuu wa...
Back
Top Bottom