Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Watu hao ambao baadhi yao wanajinasibisha kuwa wanachama wa CCM ni wanafiki na wazandiki wakubwa, vinywa vyao vinatema sumu kwa lengo la kuwavuruga wananchama na wapenzi wa CCM.
Sisi raia ambao tunaamini kuwa UHAI wa taifa letu upo mikononi mwa Chama cha CCM hatuna shaka wala wasiwasi kuwa CCM...
WaTanzania wanaisusia timu ya Taifa, na wewe kama msemaji wa serikali unashangaa huelewi shida ni nini?
Kama mmeshindwa kujaza uwanja ongea na mwana CCM mwenzenu mwamposa awasaidie kujaza huo uwanja mashabiki anao wa kujaza kwa mkapa na uhuru kwa mpigo
Apereke kondoo wake wakaiombee timu ya...
Kwa kifupi tu ni kwamba ulichokifanya Jana ni Akili ya Kitoto na Kipuuzi ya kutaka sasa Kuliingiza Kanisa Katoliki katika Sakata lako na Utawala wa sasa nchini.
Baada ya kuona huungwi mkono na Makanisa kwa kujifanya una Akili (wakati huna) ukatafuta Kanisa lililo na Ushawishi na Kubwa la...
Yanga SC kupitia Msemaji wao wamekanusha vikali kuwa hawajachangia Shilingi Milioni 100 kwa CCM na kusema kuwa aliyechangia ni GSM na wala siyo Yanga SC.
Lala salama Ruge Mutahaba kwani ile Kauli yako uliyosema kuwa hapa duniani tuogope sana Vitu viwili Mungu na Teknolojia inaishi na itaishi...
Salaam!
Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!
Hili ni swali lingine gumu ameliuliza kwa chama chake CCM Yeye akiwa mnec,
Ameuliza kuwa ikiwa Tundu Lissu ndiye angekuwa Rais na Mwenyekiti wa CHADEMA mwenye mamlaka ya kumteua Mwenyekiti wa...
Salaam!
Nimesikia speech ya Leo ya Askofu Gwajima, nimeona
1. Uongozi,
2. Maono.
3. UWEZO WA kuunganisha makundi yote na uongozi thabiti.
4.Weledi wa Hali ya juu.
5. Uthubutu.
6. Uzalendo na upendo wa Hali ya juu kwa nchi.
Na kwa kuwa ameshauri reforms zifanyike ndani ya chama na...
Salaam!
Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!
Swali Hilo hapo juu limeambatana na swali lingine kuwa, ikiwa unazo njia zingine za kushinda uchaguzi bila hayo makundi,( wizi wa kura),
Je utatawala vipi nchi ambayo imegawanyika?
Kwa ufupi...
Katika kipindi cha miaka 5 ndani ya Jimbo la Kawe nimejenga ofisi za chama 42 halafu mtu anasema siipendi CCM, ila mimi naipenda CCM sio awo wanaongea kwa maneno tu. Ndio maana sitaki kuiona CCM inapotea Askofu Gwajima
Kama kuna mtu alifikiri uchaguzi wa Rais utakuwa mteremko kwa CCM sababu tu Chadema wamezuiwa kushiriki basi amekosea,
Chama cha Mapinduzi kinaenda kupata wakati mgumu kuliko kilivyofikiria,Watu watasusia mikutano yao na itakuwa mitupu tofauti na kipindi cha Magufuli watakachokifanya watatumia...
GSM kama mfanyabiashara yeyote anachoangilia ni kupata faida, popote pale anapokuwa yeye anaona fursa na kufanya aingize pesa zaidi na power ya kumbakisha hapo alipo na Hersi kama mfanyakazi/Mtendaji wa GSM ambaye yupo kwenye kitengo muhimu cha Uwekezaji ni kuhakikisha anacheza karata zake...
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, Mussa Mwakitinya (MNEC) amewasihi viongozi wana CCM mkoa wa Tabora, kuendelea kuwa wamoja na kuzuia mipasuko inayoweza kukipata Chama wakati mgumu wa kuitafuta Dola
Mwakitinya ameyasema hayo mara baada ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM cha Mkoa wa...
Waziri wa kuwa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) na Mbunge wa Kikwajuni Zanzibar, Hamad Yusuf Masauni ameeleza mafanikio yaliyopatikana katika kipindi cha miaka mitano (2020- 2025) katika jimbo hilo akiwashukuru wapiga kura wake.
Bila shaka kibwagizo cha wimbo tuliipenda wenyewe, kinaendelea kujidhihirisha kwa kasi ya 5G.
Mungu atupatie uhai tushuhudie yatakayotokea nchini.
HIVI NINI MAANA YA STATE CAPTURE?
Nawaza tu kwa sauti, hivi hizo bilioni zilizokusanywa na CCM, wakati wa harambee, zitatumikaje katika miezi 2 ya kampeni (zaidi ya 1b kila siku) ili hali ya huduma za jamii nyingi zinahitaji fedha kuboreshwa. Najiuliza hivyo kwa kuwa Serikali iliyoko madarakani ni ya CCM.
Na isitoshe, ushindi...
Tangu baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 kupita, harakati za kuisambaratisha CHADEMA zimekuwa nyingi.
Ingawa sasa harakati hizo zimechukua mkondo mwingine na kuwa za kiwango cha juu, lakini ni jambo ambalo limeshazoeleka na kuwa sehemu ya siasa zetu Tanzania.
Nakumbuka wakati fulani Mzee Steven...
Baadhi ya wananchi Jimbo la Mbarali Mkoa wa Mbeya wametishia kutokushiriki uchaguzi Mkuu Oct ,2025 wakidai kuwa mgombea aliyeshinda kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo hilo sio chaguo la wananchi ni chaguo la chama.
Wananchi wa jimbo hilo wametuma ombi kwa uongozi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.