Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Kama kungekuwa na uoinzani hapo sawa kuchangisha hayo mabilioni.
Sasa hakuna upinzani. CCM ilishashinda uchaguzi hata bila ya kufanga Kampeni.
Hizi pesa zilipaswa kupelekwa kusaidia watu vijijini ili wapate maji, shule na huduma za afya.
Hii ni kauli ya Paul Makonda akizungumzia wafanyabiashara ambao wamekuwa wakilazimika kukichangia Chama cha Mapinduzi ili kuepukana na shari ambazo wanaweza kupata ikiwa watakataa.
''Wafanyabiashara wengi wanakichangia Chama cha Mapinduzi sio kwasababu wanakipenda sana ni kwa sababu ya hofu, Na...
Kamati ya Maadili na Uadilifu ya FIFA
Ninaandika rasmi kuomba uchunguzi wa haraka kuhusu tuhuma kwamba Klabu ya Young African Sports Club (Yanga SC) ya Tanzania inajihusisha na shughuli za kisiasa, jambo ambalo ni kinyume na Kanuni za FIFA zinazokataza kuingiliwa kwa siasa na ushiriki katika...
Salamu kwa Jaji Warioba, Mzee Butiku na wengine mnaoamini katika CCM iliyoasisiwa katika misingi ya mkulima na wafanyakazi.
Nyie kwa miaka mingi mmekuwa ni tone la matumaini ndani ya nchi na chama kama kielelezo cha uadilifu, heshima na hekima.
Lakini leo mnaona CCM inafanya mambo utadhani...
Nimeona privaninho amepost katika ukurasa wake wa insta kama fahari ya wao kuichangia ccm lakini maoni ya wafuasi wa yanga wameonesha kukasirishwa sana na wengi wanatoa matusi ya nguoni.
Mimi nawaambia mashabiki wa yanga waache kuchukia kinyesi cha binadamu huku wakifurahia kula funza...
Ndugu zangu Watanzania. Mmeona, mmeona wenyewe. Chama kile alichokiasisi Nyerere, kinaandaa karamu ya wenye fedha, kuiweka mbele, kila mmoja anapigana vikumbo kukaa mwza kuu ili Kumtafuna mama Tanzania.
Mmeona wenyewe ndugu zangu, CCM na serikali yake hawana hofu, hawana aibu. Wanaalika mtu...
Ndugu zangu Watanzania,
CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu, CCM ndio chama kilichobeba matumaini ya watanzania,ndio chama chenye uchungu na Maisha ya watanzania,ndio daktari wa matatizo ya wananchi,ndio Bima kwa sote,ndio nuru na mwanga wa Taifa.
Ndio sababu kila mtu anajitoa na...
Na hiyo ikimaanisha kwamba, ni wazi CCM ndio chama cha siasa cha mwanzo na mwisho kuitawala Tanzania. Hakuna uwezekano, wala hakuna dalili za kuwepo kwa chama kingine cha siasa cha kuitawala Tanzania au kuongoza serikali ya wananchi wa Tanzania badala ya CCM. Ama kwa hakika CCM ni mpango wa...
Wachimbaji wadogo wa madini wamechangia Bilioni 16.2 kwenye harambee ya kuchangia kampeni za CCM 2025, zilifanyika Mlimani city (CCM gala dinner 2025)
Soma Pia: Harambee ya kuchangia kampeni za CCM 2025, Mlimani city (CCM gala dinner 2025) Hadi sasa wamekusanya Bilioni 56.31 cash
Je ni...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Si tu kwamba aibu tunaona sisi wana yanga na mashabiki ya yanga
Bali hata wao waliochanga wanaona aibu pia
Wamefunga comment huko
LONDON BOY
Nimechukizwa na Kitendo cha Eng Hersi Said kutangaza kuchangia milion 100 CCM bila rushwa yetu Wanachama
Yanga ni timu ya Wanachama
Hiyo milion 100 ilipitishwa na mkutano Gani ikachangie kampeni za CCM
Eng Hersi Said umetugawa sisi Wanachama wa Yanga ambao sio Wanachama wa CCM,
Au unataka...
Wafanyabiashara wanawekeza CCM malipo tujajua yatakuwa wapi? Kodi za TRA Kukwepwa, usalama kuwaogopa na kukwepa kodi kutawasaidia bei ya vitu vyao kuwa chini na kuwafanya wapate pesa zaidi
Hizi ni baadhi ya Sababu za nyuma ya pazia kuchangia CCM.
1. Kuwa "Untouchable": Unajenga taswira ya kuwa mtu muhimu kwa chama na serikali.
2. Kupata Taarifa za Uchunguzi: Kupitia uhusiano wako na viongozi, unaweza kupata taarifa za mapema kama kuna uchunguzi wowote unaokulenga
3. Unaweza...
Wanaukumbi.
No Reforms, No Election imekufa, rasmi leo tarehe 12 August 2025 baada harambee ya CCM.
Ikiangalia watu kutoka maeneo mbalimbali wanavyomchangia Rais Samia kwa ajili ya kampeni utaona kabisa mapenzi makubwa waliokuwa nayo kwa Rais Samia.
Rais Samia anachangiwa na kila...
Vigogo sita wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamechangia jumla ya Sh.milioni 150 katika harambee ya chama hicho, inayolenga kupata kiasi cha Sh. bilioni 10 za kuwezesha kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu.
Wametoa michango yao leo Agosti 12, 2025, katika harambee inayoendelea ukumbi wa Mlimani City...
Klabu ya Yanga imechagia milioni 100 CCM gala dinner 2025 katika harambee ya kuchangia bilion 100 kuchangia Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wawakilishi, Wabunge na Urais.
Nilikuwa mahali fulani nikiangalia namna mambo yanavyokwenda. Sikuamini macho yangu kushuhudia ama pikipiki au Baiskeli zenye chata ya CCM zikikatiza kika baada ya dakika 5. Nikawaza Wanufaika wa pikipiki na Baiskeli za CCM wanatosha kabisa kuirudisha Madarakani! Kura za watu wengine zitakuwa...
Naam wakuu,
CCM inaendelea kukusanya michango. Ghalib Said Mohamed wa GSM (zamani Home Shopping Center) na wenzake waichangia CCM Sh. Bilioni 10 za Uchaguzi.
Michango inaendelea
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amechangia Milioni 50 Harambee ya kuchangia kampeni za CCM 2025 Harambee hii inalenga kukusanya shilingi bilioni 100 kwa ajili ya maandalizi ya kampeni, ikiwemo gharama za magari, mabango, mafuta, fulana na kanga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.