ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania CCM imetutoa mbali: Tuungane kukitetea chama chetu kilichotutajirisha

    Wakuu, chama kimeporwa na genge la wahuni aka wana mtandao. Tusaidieni kukirudisha mikononi mwetu ili mambo yakae sawa. October tunatiki, mama yetu kipenzi tunakupenda sana. No reforms no election.
  2. econonist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Upinzani wa Tanzania umepoteza golden opportunity dhidi ya CCM

    Vyama vya upinzani vya Tanzania ukiondoa chama cha CHADEMA Vimeonesha wazi ya kwamba havipo kwaajili ya kuiondoa CCM madarakani bali vipo kwaajili ya kukifanya chama mapinduzi kuendelea kuwa madarakani. Vyama vya upinzani vilikuwa na nafasi adhimu ya kukibana chama Cha CCM kikae pamoja nao na...
  3. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania CCM inakaribia milestone muhimu

    Sasa ndiyo watakaogombea ubunge watatangazwa kwa hiyo tutegemee nchi itakuwa tayari kwa Uchaguzi. Kama CCM imeanza vyema kutokea mchakato wa Uteuzi ulivyoanza,kama CCM imekuwa na sera nzuri toka Chama kilipoanzishwa CCM itakuwa salama kama siku zote. Bado swala la Chadema linakuwa kizungumkuti...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Monalisa: Kila ikifika wakati wa uchaguzi tunachukua watu wa CCM

    Akizungumza na kituo cha East Afrika Redio leo Agosti 20, 2025 Monalisa Joseph Ndala, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ACT-Wazalendo Dar es Salaam, anaweka wazi kuwa hakubaliani na hii dhana kwamba kila ikifika wakati wa uchaguzi basi wao wanachukua wagombea kutoka chama cha mapinduzi (CCM)...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nauliza tu hivi Polepole angeendelea kuwa Mwenezi CCM Taifa au Balozi wa Cuba haya anayoyafichua sasa Serikalini na CCM alipanga kutuambia lini labda?

    Tafadhali nawaomba mlio nae karibu na kumuunga mno mkono mniulizie hili Swali kisha ama Yeye au Nyie mje Kunijibu.
  6. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Polepole: Nitaongea visivyostahili vinavyofanyika ndani ya CCM na Chama kitateteleka

    Nakuomba tena Mama, itisha mchakato halali wa kumpata mgombea Urais wa CCM na awe mpya fresh mwenye nguvu, kama hautafanya hivyo Nitaongea vile visivyostahili ndani ya CCM, waulize CCM hivi Polepole anajua chochote ndani ya CCM kinachoweza kutikisa Chama!? Watakwambia.
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole acha maneno fanya vitendo. Kama mchakato wa mgombea Urais wa CCM umekosewa, peleka barua ya malalamiko kwa Msajili wa Vyama

    Bwana Polepole ulichoongea tumekusikia, Ila sisi Watanzania huwa tunasema kuwa maneno matupu hayavunji mfupa!. Tumeshaona precedent ya watu wasiokubaliana na mwenenendo wa mambo katika vyama vyao ambavyo wao wanaamini katiba za vyama vyao zikivunjwa wakiandika barua rasmi kwa msajili wa vyama...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nawasihi watia nia wa CCM tuliopigiwa kura za maoni kuwa watulivu na kujiandaa kisaikolojia Agosti 23, 2025

    Lolote linaweza kutokea na yeyote miongoni tuliopigiwa kura za maoni anaweza kupendekezwa na kamati kuu ya ccm taifa na akaidhinishwa na halmashauri kuu ya ccm taifa, kua ndie atakaepeperusha bendera ya ccm uchaguzi mkuu wa october29,2025. CCM haina cha kupoteza uchaguzi mkuu huu, na yeyote...
  9. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Nikienda Jehanamu CCM iwajibishwe

    Sijaenda kanisani kitambo, makanisa yamefungwa. Nikikosa siti za mbele peponi naomba ccm wawajibike.
  10. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Yanga yapeleka utetezi FIFA katika skendo ya kujiingiza katika siasa

    Baada ya FIFA kuilima barua Yanga kuhusiana na kitendo chake cha kuichangia na kutoa sapoti ya wazi kwa chama cha siasa, inasemekana utetezi wao umejikita katika kukosekana kwa ushahidi wa kikao kilichofanya maamuzi hayo na pia kukosekana kwa stakabadhi za malipo hayo. Binafsi najiuliza, hivi...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Luhaga Mpina: CCM tutawashinda na watasaini matokeo

    Leo Agosti 19, 2025, Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amefika Wilayani Chato, Mkoa wa Geita, kuomba udhamini kwa wananchi. Akiwasalimia wananchi wakati wa zoezi la udhamini, Mpina amesema ni wakati wa kuing’oa nchi mikononi mwa...
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM itashinda viti vyote vya ubunge nchi nzima uchaguzi mkuu wa 29 Octoba, 2025

    Hili ni jambo la kipekee sana linakwenda kutokea nchini kwetu baada ya uchaguzi mkuu wa kihistoria wa oct.29,2025. Uhakika wa ushindi wa kishindo kwa ccm ni wa kiwango cha juu sana, kwasababu chama hicho tawala chenye wafuasi na wanachama wengi zaidi nchini, na kinachopendwa zaidi na wananchi...
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa Mawakili wa CCM kujibu hoja za Dkt. Malisa na kukimbilia kuweka mapingamizi dhidi ya Utaratibu ni muendelezo wa Uhuni

    Watanzania walitegemea kuona Hawa Wahuni wakijitutumua kujibu Hoja za Dkt Malissa . Hoja ni Nzito na zamoto , Katika Utawala wa Sheria ulio huru , TUKIO LA SAMIA kujipitisha lingefutiliwa mbali na kuamuriwa Mchakato kuanza Upya. SAmia na CCM yake WAMEONA waje na Mbinu ya Pingamizi dhidi ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania CCM hawajui kula na vipofu ndio maana watu wanapenda nchi iwe ya majimbo, huwezi kupuuza mikoa yenye watu wengi na ukawapooza hasira kwa baiskeli

    Ni mikoa inayotoa madini mengi Tanzania, Ni mikoa jirani iliyojaa watu wengi sana Lakini maendeleo ni duni sana, wanachotoa na wanachorudishiwa ni vitu viwili tofauti, wnachotoa kinaenda kuendeleza kwengine wakari kwao hali ni mbaya sana Uchaguzi unakaribia, Ccm wanaona watu wa huko wapozwe...
  15. Parabolic

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Malisa: Mahakama kutoa uamuzi mapingamizi ya CCM Agosti 22

    DODOMA. Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma itatoa uamuzi wa mapingamizi yaliyowekwa na CCM dhidi ya Mchungaji Godfrey Malisa anayepinga uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho. Mchungaji Malisa aliyefukuzwa uanachama Februari 10 mwaka huu...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuichukia Taifa Stars kwakuwa tu unamchukia Rais Samia na CCM si tu ni Ushamba bali pia ni Upumbavu uliovuka mipaka

    Anayecheza pale ni Rais Samia au Chama Cha Mapinduzi? Hivi ni kwanini kila Kukicha tu Akili za baadhi ya Watanzania zinazidi tu kwenda mrama na kutia Aibu? GENTAMYCINE naweza kuwa kweli sipendezwi na baadhi ya mambo afanyayo Rais Samia na Chama cha CCM lakini siwezi kuacha Kuishabikia Timu yangu...
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM imefanya maendeleo makubwa hatuwezi kuiondoa madarakani

    Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Alliance for Africa Farmers Party (AAFP), Said Soud Said amesema hawawezi kuungana kukiondoa Chama cha Mapinduzi (CCM) madarakani kwa sababu maendeleo yaliyofanya na CCM ni makubwa. 🗣"ni kwamba niliandaa mimi mwenye binafsi utaratibu wa kuhakikisha...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM yawatangaza waliopita kuwania udiwani Buchosa

    Katibu wa CCM Wilaya ya Sengerema, Rashid Semindu, ametangaza majina ya madiwani walioteuliwa kuwania nafasi hiyo katika wilaya ya Sengerema. Aidha, amewakabidhi barua zao za uteuzi na kuwataka waendelee kushikamana ili chama kipate kura za kutosha katika Uchaguzi Mkuu.
  19. Rule L

    JamiiForums Tanzania Mada fikirishi. Je CCM kugawa vitu mbalimbali kwa wananchi kipindi hiki cha kampeni ni rushwa ama si rushwa???

    Kwasasa ukitembea mitaani utakutana na vitu vingi sana vyenye nembo ya CCM ambavyo watu wamepewa bure ikiwemo baiskeli na pikipiki ambazo zilitoka muda kidogo. Mimi najiuliza kwanini vitolewe kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi mkuu?? Je Takukuru iko wapi na kwanini hawahoji hili...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa BAZECHA Mbeya: Kama kweli CCM imefanya kazi nzuri kwanini waogope kushindana na CHADEMA

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetajwa kuiogopa CHADEMA kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutokana na mazingira ya kukibana chama hicho kikuu cha upinzani huku vyama vingine vya upinzani vikionekana kuimarika, kikiwemo ACT Wazalendo na CHAUMMA. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Baraza la...
Back
Top Bottom