ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Nendeni CCM wote wasaliti wakubwa wa mabadiliko

    Nunuliweni, Peweni vyeo, Pigeni propaganda zote lakini ukweli utabaki pale pale ccm sio chama tena kimepoteza dira wote mliopo ccm na mnaoelekea ccm wote ni wasaliti wa sauti ya wengi. Tutakutana siku ya mwisho hakika mmefanikiwa kusaliti mageuzi lakini nawahakikishia wasindi ndio wale watakao...
  2. JamiiForums Tanzania Polisi asema "Kidumu chama cha mapinduzi" Wakanyaga katiba kwa kufanya siasa wazi wazi

    Polisi Tanzania Wakanyaga katiba Kwakufanya siasa wazi wazi bila kificho ushaidi huu hapa. Salamu ya “kidumu Chama cha Mapinduzi” aliitoa kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Jonathan Shana alipokuwa Butiama mkoani Mara wakati wa hafla ya kumbukizi ya miaka 19 ya kifo cha Baba wa Taifa. zaidi...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti CCM bara, Philip Mangula ziarani Iramba- Singida

    Habari wadau wa JF. Wilayani Iramba mkoa wa Singida mambo ni Moto. Shamrashamra zimetawala ktk mji wa Kiomboi ambao ni makao Makuu ya Wilaya kufuatia ziara ya makamu mwenyekiti wa CCM bara, Ndugu Philip Mangula. Mzee huyu asiyekuwa na makuu hivi sasa anazungumza na wanachama ktk ukumbi wa...
  4. JamiiForums Tanzania CCM tuwe makini na wahamiaji

    Ni njaa tu na faida binafsi zinazowafanya watu wahame kutoka chama hiki na kwenda chama kile. Ukweli ni kwamba vyama vya siasa ni kama madhehebu ya dini na club za mpira waumini wake ni vigumu sana kuhama dini moja kwenda dini nyingine, dhehebu moja kwenda dhehebu lingine na kutoka club moja...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Inachofanya CCM ni kukomboa Majimbo yake yaliyokwenda Upinzani 2015 lakini Wapinzani bado wanamiliki majimbo yao kasoro lile la Ukerewe

    Habari njema kwa upinzani ni kwamba Majimbo yote yaliyorudi CCM kupitia chaguzi ndogo awali yalikuwa chini ya CCM kabla hayajazolewa na mafuriko ya Laigwanan Edward Lowassa. Kilichofanyika hadi sasa ni CCM kuyakomboa majimbo yake na kujipatia nyongeza ya jimbo la Ukerewe. Kule Singida...
  6. JamiiForums Tanzania Bukoba: Kiongozi UVCCM wilayani Muleba akutwa amefariki kando ya barabara

    Bukoba. Mwili wa Jaspar Jasson, aliyekuwa katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) kata ya Katoke Wilaya ya Muleba Mkoa wa Kagera umekutwa pembeni mwa barabara ukiwa na alama shingoni. Akizungumza leo Jumanne Februari 18, 2020 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Revocatus Malimi...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM kuwa makini kuna watu wanatumwa kutoka CHADEMA(mashushu)

    kuna baadhi ya watu wanaohama chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA wakijinadi kuwa wanaunga mkono juhudi za mh Rais kwa kazi anazozifanya .Lundo la watu mbalimbali wengine wakiwa ni viongozi waandamizi ndani ya chama hicho cha upinzani. Hofu yangu ni kwamba chadema si chadema ya zamani.kwa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM Zanzibar haipati wahamiaji kutoka upinzani? Je, haipendwi au wanasiasa wa visiwani wamekomaa kuliko wa bara?

    Naomba anayejua sababu ya kutowasikia wanasiasa wa upinzani kule Zanzibar wakihamia chama tawala anijuze tafadhali. Au sisi Watanganyika tunajua kucheza na kete za kisiasa kuliko Wazanzibari? Majibu tafadhali. Maendeleo hayana vyama!
  9. R

    JamiiForums Tanzania Wanaohamia CCM kutoka upinzani wanafanya hivyo kutafuta vyeo na masilahi mengine, wakiyakosa wataendelea kubaki?

    Nipe historia ya KANU, UNIP ya Kaunda etc! Historia ni mwalimu mzuri. CCM imesismama (kama kweli imesimama) kwa vile inapendwa na wanaohamia au ni kwa vile kuna "marupurupu" yanafuatwa? Kwangu mimi CHADEMA imesismama pamoja na kutokuwa na nguvu ya dola kwa vile walioko wana nia ya dhati na...
  10. JamiiForums Tanzania Wako wapi The good, the Bad and the Ugly wa CCM?

    Nani ni nani Kati ya hawa waigizaji machachari wa CCM?wako wapi Sasa na wanafanya Nini? Hawa ni January Makamba,Nape Mnauye na Mwigulu Mchemba. Kwangu Mimi The Good nite January,The Bad ni Nape and the Ugly na Mwigulu. Regendary Hawa wako wapi? CCM ingekua chama cha Upinzani wangekua bado wamo...
  11. JamiiForums Tanzania CCM ikitaka kupata Airtime ya kutosha iwanunue Mbowe, Mnyika na Tundu Lissu hawa mnaowanunua mtafirisika bila mafanikio

    Wakati wa biashara ya Meya wa Arusha Mjini Humphrey Pole pole aliyataja baadhi ya Magazeti kuwa ni kikwazo cha. Habari ile kuvuma nchi nzima, yaani Pole pole alitaka kuhama kwa Kalist iwe ndio habari kubwa kwenye magazeti ya siku ile , baada ya habari ile kudoda akashambulia magazeti . Sasa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

    Kupitia matangazo ya moja kwa moja yanayoendelea ya channel 10, imemuonesha aliyekuwa Katibu Kkuu wa CHADEMA, Dkt. Mashinji akiingia ofisi hizo akiwa akiwa amevalia nguo za CHADEMA tayari kwa kuijiunga na CCM. Anaeleza baada ya kutafakari kwa kina amebaini CHADEMA haina utayari wa kuleta...
  13. JamiiForums Tanzania Yuko wapi mtunzi mahiri wa vitabu vya kufundishia ambaye pia ni kada wa CCM Nyambari Nyangwine?

    Huyu mtu alikuwa ndio nguzo ya CCM Tarime, lakini ni kitambo kirefu sijamsikia, atakumbukwa kwa kuwa mstari wa mbele kukipigania chama chake kwa halali na kwa haramu na kwa mara ya mwisho alionekana kwenye tukio la kung'oa bendera za Chadema mjini Dodoma Yuko wapi sasa?
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi ni kweli kuwa CCM inakubalika kama ambavyo watawala wetu wanavyotuaminisha?

    Tunapoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2020, tunasikia tambo tupu toka kwa viongozi wakuu wa CCM kuwa uchaguzi wa mwaka huu ndiyo "kiama" cha Upinzani na hatutausikia tena Upinzani ndani ya nchi hii baada ya uchaguzi huo utakaofanyika mwezi wa Oktoba mwaka huu! Swali ninalojiuliza: Hivi ni kweli...
  15. JamiiForums Tanzania Kuwapa nafasi wagombea kutoka CHADEMA kugombea ubunge na udiwani CCM wakati sisi tulimpigania JPM wao wakiizungusha mikono na Lowassa imekaaje?

    Uchaguzi umekaribia, wale waliotuacha CCM wao wakamfuata mamvi, wakapata udiwani na ubunge, leo hii wameona uchaguzi umefika wanakuja kwa sharti kuwa wapewe nafasi ya kugombea. Je, sisi tulikipigani chama mmeamua kutuweka kando. Au ni mkakati wa CHADEMA kuja kivingine kuchukua kwa sura ya kuunga...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Madiwani wa Chadema jimbo la Mtama kujiunga na CCM wakati wowote kuanzia sasa

    Baada ya aliyekuwa Mbunge wa Ndanda Cecil Mwambe kuhamia CCM inaelezwa kuwa madiwani wawili wa jimbo la Mtama watajiunga na CCM wakati wowote kuanzia sasa. Taarifa zinadai kuwa huko Ndanda maelfu ya wana-Chadema wamerejesha kadi na bendera za chama hicho na wanasubiri kukabidhiwa kadi za CCM na...
  17. JamiiForums Tanzania Baada ya CCM kuondolewa madarakani Watetezi wake mitandaoni watakimbia na kutoweka ama watajificha

    Hili jambo ndilo litakalotokea. Hawa wote mnaowasoma humu JF na kwingine wakitoka jasho la kwapa kutetea maovu ya CCM bila kujali utu wa binadamu, hawataonekana tena baada ya CCM kuondoka. Hawa si watetezi wa bure, bila shaka wanalipwa. Hii ni kwa sababu hakuna binadamu yeyote mwenye akili...
  18. JamiiForums Tanzania Ntaipata wapi 'jezi ya CCM- mpya'?

    Hivi hizi jezi zishaingizwa sokoni au bado? Naziona moja moja.. Natafuta kama hizo tatu.. C mnajua 2020 hii?
  19. B

    JamiiForums Tanzania CCM tawi la Michungwani limetenga sh 1,200,000 kwa ajili ya kumchukulia BERNARD C. MEMBER fomu

    CCM Tawi la Michungwani tumetenga sh 1,200,000 kwa ajili ya kumchukulia Bernard Camelius Membe fomu kwenye uchaguzi mkuu, Mil 1 ikiwa ni ya kuchukulia fomu na laki 2 kwa ajili ya kuweka mafuta kwenye gari lake kwenda kuchukua fomu. - Abuu, Katibu
  20. J

    JamiiForums Tanzania Sheikh Alhad Musa Salum: Rangi ya Kijani inayotumiwa na CCM ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu

    Sheikh wa mkoa wa Dsm Alhad Musa Salum amesema CCM imepewa upendeleo na mwenyezi Mungu kwa sababu wanatumia rangi ya kijani ambayo ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mungu. Alhad Musa amesema hayo wakati akiiombea dua CCM katika katika sherehe za miaka 43 ya chama hicho inayofanyika kitaifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…