Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Bado sijajua hasa mwaka ambao Bashiru Ally aliingia kwenye siasa , lakini baada ya kumfuatilia kwa undani nimegundua kwamba huyu ni miongoni mwa WANASIASA WACHANGA SANA ambaye hana uwezo wa kuongoza CCM ya sasa , ameshindwa kujua kama ile CCM iliyofufuliwa na Kinana imekufa na kusambaratika...
Naomba kuchukua fursa hii kukuandikia katibu wangu juu ya mambo yanayoendelea kujitokeza kwenye kura za maoni za kuwachagua wawakilishi wetu katika nafasi mbalimbali za serikali ya mtaa hapa kata ya makutupora mkoani dodoma.
Kata ya makutupora imefanya kura za maoni kwa mitaa minne huku mitaa...
Ndugu Rais, bila shaka umeusoma upepo ulivyo kwa sasa.
Ni vizuri, uachane sasa na roho mbaya, kiburi, majivuno, na visasi. Nadhani umejifunza ni namna gani Wananchi wako wengi wanavyokutakia mabaya (kifo), na wapo tayari kufanya sherehe muda wowote iwapo mauti yatakufikia.
Iwapo utachagua...
Kuzuia siasa za Majukwaa na uminyaji wa Demokrasia kwa miaka minne hakujaokoa ccm hata chembe , bado tegemeo lao kubwa litabakia kuwa Polisi na dola kwa ujumla .
Ushahidi huu hapa
Mimi nilichojifunza ni kuwa serikali ya sasa imeanza kubadilika kwenye nyanja ya mawasiliano kwa umma hasa namna ya kukabiliana na tuhuma na uzushi wa kwenye mitandao ya kijamii lakini pia kwenye kuvuja kwa siri za Ikulu.
Kwa jinsi ambavyo serikali/Ikulu imekabiliana na uzushi uliofanyika kwa...
Kwa kweli Mungu ni mwema leo tumepiga kura za maoni kwa viongozi wetu wa serikali za mitaa na zoezi tumelikamilisha vema kabisa.
Kiukweli hawa viongozi tuliowachagua ni kama wameshapita bila kupingwa kwani 87% ya wakazi wote hapa mtaani tumeshiriki uchaguzi na kufanya maamuzi na sidhani kama...
Rais wetu John pombe Magufuli ameamua Nchi iende Mbele... hii ndio kusema Chagua Magufuli Kazi iendelee
1. Ujenzi wa barabara Nchi Nzima kwa gharama Sh. Trilioni 5.3 ili kurahisisha usafiri wa watu na mizigo ya biashara kutoka sehemu moja kwenda nyingine.....
2. Ununuzi Ndege Mpya Sh...
Mwanasiasa wa upinzani Tanzania Tundu Lissu apigwa risasi na watu wasiojulikana
07 Septemba 2017
Lissu,mwanasheria mkuu wa CHADEMACHADEMA
Mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu amepigwa risasi na watu wasiojulikana jijini Dodoma, katikati mwa Tanzania.
Mwanasiasa huyo amekimbizwa...
Wacha niwe mchambuzi ma maswala ya Kisiasa Kwa Dakika Moja
Hakuna Shaka yoyote kwamba kuondoka kwa Mzee Edward Lowasa Kule Upinzani(chadema) na kuelekea Kule CCM kumeitingisha Chadema na kuiacha Mahututi, hata hivyo Ikumbukwe kwamba Mh. Lowasa Kule upinzani alifuata Uraisi,na kwa mtu yeyote...
Spika Ndugai ameipongeza Serikali kwa kazi nzuri na Muswada umepita kwa kura za Ndiyo
======
BAADHI YA NUKUU (KUTOKA UPINZANI)
Kambi ya rasmi ya upinzani bungeni imekosoa muswada wa marekebisho ya sheria ya vyama vya siasa wa mwaka 2018 ikisema ni uonevu mkubwa dhidi ya vyama hivyo...
Benki ya Dunia inapendekeza mkopo wa dola mi $ 100 ya miundombinu kwa ajili ya Tanzania kuongeza utalii na serikali ya Ujerumani hivi karibuni na ilisaini mkataba wa eruo € milioni 18 wa miaka 5 mpango hifadhi kwa Selous.
Rais Magufuli kajinasibu kununua ndege ili kukuza utalii sijajua huo...
Nimemsikia Bw. Ole Millya akitabanaisha sababu za kuhamia CCM moja ni kuwahudumia Wananchi.
Binafsi hiyo sio sababu kwani hata bila chama unaweza kuwahudumia wananchi.Pili sikubaliani nae kuwa Kahamia CCM naamini kuwa Karudi CCM asipotoshe Umma na sababu ya kurudi CCM wote tunajua.
Watanzania tutazame picha linalolechezwa la kuumalizia mbali upinzani. Ukiangalia wafuatao wamejiuzulu uanachama wao bila sababu mujarabu na chaguzi za wabunge na madiwani zimerudiwa. Akina Mwita Waitara wa jimbo la Ukonga, mbunge wa Monduli, mbunge wa Kinondoni, mbunge wa Liwale.
Hii inatupa...
assalaam alaikum viongozi na ndugu watanzania, nasambaza barua hii kwa lengo la kuomba na sisi tusikilizwe mimi kama mtoto wa kwanza wa mtuhumiwa Antar Humud nafanyah ivi baada ya kuzidi kuongezeka machungu na shida na mfarakano na umaskini wa familia na miaka kila siku tunaihesabu ikiongezeka...
Wanabodi,
Tafsiri ya Neno Ujinga.
Naomba nianze na tafsiri ya neno mjinga maana watu humu hawakawii kusingizia watu kuwa tumetukana watu humu!. Kwa mujibu wa Kamusi ya Kiswahili Sanifu
neno ujinga ni kutokujua.
Declaration of Interest
Naomba ku declare interest kuwa licha ya mimi kuwa ni...
Wanabodi.
Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja?
Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...
Nasema "alitaka kumuua" kwa sababu ukiangalia yale matundu ya risasi upande wake wa gari utajua kuwa hawa watu hawakutaka kumtishia tu. Walidhamiria kumuua.
Niungane na Watanzania wenzangu kumuombea Tundu Lissu dua/sala ili apone kikamilifu, Amin.
Nimejiuliza maswali mengi kuhusu shambulio...
Wakuu,
Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, ajeruhiwa kwa risasi.
Kwa sasa wapo hospitali ya Mkoa, mjini Dodoma.
Ameshambuliwa kwa risasi wakati akishuka nyumbani kwake Area D Mjini Dodoma, alikuwa akitokea...
Habari wanajamvi!
Sijaamini maneno ya msemaji wa chama cha Mapinduzi labda nitaaminishwa baadae. Kwa maneno yake Katibu mwenezi anasema ni kweli mwanasiasa nguli na Katibu Mkuu wa chama cha mapinduzi comrade Alhajji Abdulrahman Kinana alikuwa anaumwa, na alipelekwa nje ya Nchi kwaajili ya...
Historia yake
Stephen Wasira alizaliwa mwaka 1945 katika Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara (ana miaka 70). Alisoma katika shule tatu tofauti, ya kwanza ni Shule ya Msingi Bariri 1956-1959, ya pili ni Shule ya Msingi Nyambitilwa 1960–1961 na kisha akamalizia Shule ya Msingi Kisangwa mwaka 1962 -...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.