CCM msiishie kujitwisha zigo la Mwenyekiti Taifa , Mwambieni asirudie tena

KISHADA

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
2,224
3,290
Ilisikika sauti ya huzuni " Tumechafuka sana, chama kinaugulia majeraha ya uchaguzi wa 2015, na athari za mwenendo wa maamuzi usioridhisha wa Mwenyekiti kwa nafasi yake, majeraha yamezidi na sasa tuchukue hatua kuwarejesha kundini wote bila kujali lawama, Lazima intrest iwe moja ya kukinusuru chama, yaliyopita yamepita ..... "

"Halafu tuchukuwe hatua sasa kabla ya mambo kuharibika, mzee ashauriwe atumie wazoefu zaidi kwenye chama ili kuweka mstari sawa....."
Hizo ni sauti kutoka kusikojulikana.

Naam nami nawaambia tengenezeni CCM yenu lakini pia tutengenezeeni nchi yetu. Kwa hali ilivyo pigeni deki ili msafishe kiwingu cha demokrasia, diplomasia, umoja wetu na mshikakamano.

Mwambieni mwenyekiti wenu wa Taifa asirudie tena, nchi ni kubwa kuliko kikundi kidogo cha wafuasi na wasifia kila kitu.

Sasa mnaanza kujirudi baada ya kuchafuka, mnaonanaje mngetumia jitihada hizi pale awali kabla ya kuchafuka?

Hata hivyo tunawashukuru kwa hili la sasa, lakini mwambieni mwenyekiti Watanzania hawataki shari na amani haijaribiwi kihivyo

Tanzania ni yetu sote.

Kishada.
 
Uzuri wa jf ndio uko hapa. Kwenye mtg watu wanajimwambafy wakitoka wanaumana kama hivi. Huyu inaelekea alikuwa kwenye mtg na kaleta hbr kama ilivyo. Viva jf
 
Nonsense!
Ilisikika sauti ya huzuni " Tumechafuka sana, chama kinaugulia majeraha ya uchaguzi wa 2015, na athari za mwenendo wa maamuzi usioridhisha wa Mwenyekiti kwa nafasi yake, majeraha yamezidi na sasa tuchukue hatua kuwarejesha kundini wote bila kujali lawama, Lazima intrest iwe moja ya kukinusuru chama, yaliyopita yamepita ..... "

"Halafu tuchukuwe hatua sasa kabla ya mambo kuharibika, mzee ashauriwe atumie wazoefu zaidi kwenye chama ili kuweka mstari sawa....."
Hizo ni sauti kutoka kusikojulikana.

Naam nami nawaambia tengenezeni CCM yenu lakini pia tutengenezeeni nchi yetu. Kwa hali ilivyo pigeni deki ili msafishe kiwingu cha demokrasia, diplomasia, umoja wetu na mshikakamano.

Mwambieni mwenyekiti wenu wa Taifa asirudie tena, nchi ni kubwa kuliko kikundi kidogo cha wafuasi na wasifia kila kitu.

Sasa mnaanza kujirudi baada ya kuchafuka, mnaonanaje mngetumia jitihada hizi pale awali kabla ya kuchafuka?

Hata hivyo tunawashukuru kwa hili la sasa, lakini mwambieni mwenyekiti Watanzania hawataki shari na amani haijaribiwi kihivyo.

Tanzania ni yetu sote.

Kishada.
 
Back
Top Bottom