Wako wapi The good, the Bad and the Ugly wa CCM?

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
9,147
33,302
Nani ni nani Kati ya hawa waigizaji machachari wa CCM?wako wapi Sasa na wanafanya Nini?

Hawa ni January Makamba,Nape Mnauye na Mwigulu Mchemba.
Kwangu Mimi The Good nite January,The Bad ni Nape and the Ugly na Mwigulu.
Regendary Hawa wako wapi?

CCM ingekua chama cha Upinzani wangekua bado wamo Chamani?
Aliyoyafanya January kwa wapinzani mnayajua,
Aliyoyafanya Nape kwa wapinzani mnayajua, na
Aliyoyafanya Mwigulu kwa wapinzani mnayajua.
Ni Nani alyewaumiza wapinzani zaidi?
 
Jiongeze Kidogo
Hao Ndiyo Wametuangusha Hapa Tanzania
Bado Hujajua
 
Hukumu ya msaliti ipo hapa hapa duniani, sasa hivi Maderu hana uhakika na jimbo lake na timu yake lazima inashuka daraja
Jiongeze Kidogo
Hao Ndiyo Wametuangusha Hapa Tanzania
Bado Hujajua

In God we Trust
 
Nani ni Nani Kati ya Hawa waigizaji machachari wa CCM?wako wapi Sasa na wanafanya Nini?
Hawa ni January Makamba,Nape Mnauye na Mwigulu Mchemba.
Kwangu Mimi The Good nite January,The Bad ni Nape and the Ugly na Mwigulu.
Regendary Hawa wako wapi?
CCM ingekua chama cha Upinzani wangekua bado wamo Chamani?
Aliyoyafanya January kwa wapinzani mnayajua,
Aliyoyafanya Nape kwa wapinzani mnayajua, na
Aliyoyafanya Mwigulu kwa wapinzani mnayajua.
Ni Nani alyewaumiza wapinzani zaidi?
I am here 😆😆
 
Hukumu ya msaliti ipo hapa hapa duniani, sasa hivi Maderu hana uhakika na jimbo lake na timu yake lazima inashuka daraja

In God we Trust
Nikimkumbuka Maderu na mbinu zake za kinyama za kutaka kujua CDM mfano less ya ugaidi ya Lwakatare,kumshitaki Mnyika Bungeni kua alitishia kumuua,na jinsi genge lake la Green Guard lilivyokua likiendesha ukatili,Sina hamu na huyu kiumbe,na jinsi alivyomwita Abdul Nondo kuwa ni kinyago,siamini kama Field Marsha Hana meno.
 
Mkuu leo hii Maderu hana tena chake ndani ya ccm

Back
Top Bottom