Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Serikali ya ccm sijaelewa njiani hugawa cash sana kuliko kuzingatia bajeti iliyopangwa katika eneo husika na siku hizi anatembea nazo hasa kwe ye nyumba za ibada na kugawa maburungutu na haijulikani zinatoka wapi.
Katika maongezi na Waziri Mkuu wa India nimegundua kuwa miradi ya maki ya nchi...
Pauline Gekul nakumbuka ulilalamika kutwezwa utu umehamia CCM sasa mbona walia lia?
Halafu kumbe hata Cecil Mwambe alikuwa na kilio kama hiki kwa spika na aliandika barua ya kuomba unafuu wa deni lake ndipo akaitwa bungeni!
Hii awamu hii
Wanabodi,
CCM ndio chama tawala na kwa Tanzania, tukubali tukatae, CCM ni chama dola. Tunapoelekea uchaguzi Mkuu wa rais na wabunge October 25, mgombea akiishapitishwa kuwa mgombea kwa tiketi ya CCM, then huyo ndio tayari ni mshindi, zoezi la uchaguzi ni kukamilisha tuu taratibu za uchaguzi ili...
ACT Wazalendo na Bajeti za Serikali ya CCM Awamu ya Tano
1. Mwaka 2016 kukiwa na shamra shamra kubwa za Serikali mpya makisio ya Bajeti yaliongezwa kwa 31%, Chama chetu kilipofanya Uchambuzi wa Bajeti ya Kwanza ya Serikali ya Awamu ya Tano tulihitimisha kuwa #TumeanzaVibaya kwani ongezeko hili...
Mbunge umehamia CCM tena unawatukana waliokupa ridhaa ya chama kugombea. Unatukana sana huku unajisahau kuwa unaenda kugombea ubunge kwa tiketi ya chama ambacho umehamia juzi. Chama ambacho unaenda kukutana na magwiji ha propaganda chafu yaliyojipanga tangia 2016.
Nawaambieni mtapata tabu sana...
CCM Zanzibar imesema ni ruksa kwa wanaccm wanaotamani urais wa Zanzibar kwenda kuchukua fomu.
Naibu Katibu mkuu wa CCM Zanzibar amesema uteuzi wa jina la Mgombea utafanyika jijini Dodoma na siyo Zanzibar na kisha litapelekwa Tume ya uchaguzi.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Mambo yafuatayo CCM ikijipanga vizuri itashinda kwa kishindo ....
1. Kitendo cha Tundu Lissu kwenda kuichafua nchi kwa wazungu.
2. Kitendo cha Zitto Kabwe kutaka nchi isipewe mkopo wa elimu na WB, na baadaye nchi kukopeshwa
3. Kitendo cha wapinzani kupinga kila kitu
4. Kitendo cha...
Ninavyomjua Dkt. JPM ni mtu mwenye huruma na pia hupenda kupendwa na kusifiwa. Magufuli hapendi atokeze mtu hata mmoja ambaye huonesha kutopendezwa naye. Ndiyo maana ukimwomba msamaha mnamalizana. Kwangu mimi ukisikiliza sana wote walio upinzani utagundua hata Mbowe mwenyewe hajawahi...
USHAHIDI wa awali wa Jeshi la Polisi nchini kuhusu madai ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Freeman Mbowe umeonesh kuwa siku hiyo ya tukio Mbowe alikuwa amelewa chakali na alizunguka kwenye kumbi mbalimbali za...
Amesema amerudi CCM kwasababu nyingi na ya kwanza ni kuwa Rais Magufuli ni msikivu na atakaposikiliza hoja yake atakuwa msikivu.
Amesema “Mwaka 2015, Rais alinikuta nje akaniuliza nafanya nini. Nilijibu nataka kwenda nyumbani kufuturu. Akaniambia mimi ndio baba watoto twende, nami nikamuambia...
CCM toka mwaka 2015 walitumika sana kuzuia kuenea kwa upinzani hasa kuzuia mikutano ya kisiasa ya upinzani na kuruhusu mikutano ya CCM pekee nchi nzima.
Ilitarajiwa kufika mwaka 2019 upinzani wote uwe ushakufa either kwa hila au kwa pesa, ndio kulichachamaa ununuzi wa wabunge na madiwani na...
Ratiba ya mchakato wa kumpata wagombea wa CCM wa Urais Tanzania inaanza June 15,2020 hadi June 30,2020 ambapo Watu watachukua na kurejesha fomu kisha baada ya hapo vikao vya uchujaji vitaanza.
July 09, 2020 kitaketi kikao cha Kamati Kuu ya Halmshauri Kuu ya Taifa ya CCM ambayo itatoa...
Mungu ni mwema hatimaye bunge la Ndugai linafikia tamati kwa utulivu na amani.
Lakini mkutano huu wa bunge la bajeti utaacha historia ya aina yake.
Mosi, wabunge watatu mashuhuri wamefariki wakati bunge likiendelea na vikao vyake.
Pili, Wabunge wa Chadema wakiwa ndani ya bunge wametangaza...
"I can't breath" ni kauli aliyoitoa George Floyd wakati askari mmoja huko marekani alipomkamata na askari huyo kuweka goti lake katika shingo ya George Floyd, jambo lililosababisha akose hewa kisha kufariki.
Naipa kauli hiyo muktadha wa kitanzania kisiasa.
Ni mambo gani ambayo yanafanya...
Nilipokuwa naangalia taarifa ya habari Leo nimeona walimu wanaojiita makada wa ccm waziwazi wakisema wako kwenye harakati za kusaidia chama chao.
Kilichogonga haraka mawazoni mwangu ni, inawezekanaje wafanyakazi wa Umma( civil servants) wafanye siasa za wazi( active politics) na bado wakawa...
Sijui tumeanza kuchoka?sijui tumeanza kuzembea?mbona kama tunakata pumzi? Leo hii sisi wa kushindwa kuwaponda na kuwatukana Chadema na Silinde na Juakali?
Hawa jamaa ni wageni hawajamaliza haya mwezi lakini naona wanakuja kwa kasi.sisi tunakwama wapi? Halafu wakipewa nyadhifa tuanze kulalamika...
Shughuli ya kubadili vifungu vya sheria pamoja na minongono ya chini kwa chini ya kubadili katiba ikichagizwa na baadhi ya wabunge pamoja na spika siyo ya kupuuzwa. Waswahili walisema lisemwalo lipo kama halipo linakuja.
Mimi nasema hilo iko wazi kabisa na maandalizi imeanza leo Dodoma...
Lijualikali akichangia bungeni leo amesema Mbowe hakuvamiwa bali alianguka sababu alikuwa amelewa
Maneno hayo yamesindikizwa na makofi mengi ya wabunge kuashiria kuunga mkono hoja yake
Pia baada ya maneno hayo Spika amesimama na kusema kuna kitu hakiko sawa ndio maana hawataki kusema akalitaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.