El Roi
JF-Expert Member
- May 29, 2020
- 297
- 537
Nilipokuwa naangalia taarifa ya habari Leo nimeona walimu wanaojiita makada wa ccm waziwazi wakisema wako kwenye harakati za kusaidia chama chao.
Kilichogonga haraka mawazoni mwangu ni, inawezekanaje wafanyakazi wa Umma( civil servants) wafanye siasa za wazi( active politics) na bado wakawa hawajafanya kosa ktk utumishi wa umma?
Hivi wangeonekana wachama wa vyama vingine vya siasa wakifanya hivyo, wangebaki salama? Au ndo ile dhana ya absolute power corrupts absolutely??
Hakika naamini Sasa madaraka ni ulevi mbaya. Ebu wanaotuongoza waweke precedence yakutuongoza justly( kwa haki).