Yanayoendelea kwa walionunuliwa na CCM. Fungua uzi ujionee uozo

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Pauline Gekul nakumbuka ulilalamika kutwezwa utu umehamia CCM sasa mbona walia lia?

Halafu kumbe hata Cecil Mwambe alikuwa na kilio kama hiki kwa spika na aliandika barua ya kuomba unafuu wa deni lake ndipo akaitwa bungeni!

Hii awamu hii
IMG_20200614_153321.jpg
 
Gekule pole sana. Ndio malipo ya usaliti. Kumbe hata huko ccm chama kinakopesha wabunge? Kwa hiyo CCM ni Saccoss au vikoba sio?
Wanawatoza % ngapi mikopo yao?
Lakini kwa vile CCM ni ya WANYONGE labda riba yaweza kuwa 5% tuu.
 
Back
Top Bottom