Lengo la CCM ni kuifuta CHADEMA. Jeshi la Polisi limeshindwa sasa wanatumia vyombo vingine wasijekosa misaada toka kwa mabeberu kwa kuua demokrasia

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
CCM toka mwaka 2015 walitumika sana kuzuia kuenea kwa upinzani hasa kuzuia mikutano ya kisiasa ya upinzani na kuruhusu mikutano ya CCM pekee nchi nzima.

Ilitarajiwa kufika mwaka 2019 upinzani wote uwe ushakufa either kwa hila au kwa pesa, ndio kulichachamaa ununuzi wa wabunge na madiwani na ndio mwaka wakahakikisha wenyeviti wa mitaa wote ni wa CCM.

Wakaja ajenda ya kuwatoa mameya wote wa upinzani hasa chadema kwa nguvu au kwa pesa.

Wakaja na ajenda ya kuwachagulia upinzani viongozi ikashindwa hasa chadema.

Uchaguzi wa 2020 unakuja wanashangaa na kuwa na hofu na chadema sasa wafanye nini na mwenyekiti wa CCM hapendi upinzani hsa ushindani hataki kabisa.

Kwa sasa kete pekee ni kutumia vyombo vingine vya dola kuangalia namna ya kukifuta chama ili apite bila kupingwa.

Ameshajiwekea ulinzi wa kutoshitakiwa kwa sasa haogopi kufanya atakacho na ndio anaenda kufanya.
 
Return Of Undertaker,

Kwa hali kama hii, ya Morotto kutoa waraka kama ule, kwli polisi watashindwa kukimbia na sanduku la kura? Kwenda uchaguzi ni jambo la kutafakari sana. kama hakuna tume huru, waache tu na kusambaza dunia nzima sababu za kuacha kushiriki! Mbona wana hoja nzito sana.. kwa intmidation ambazo wamepitia?
 
Chadema inakufa kwa ujinga wa viongozi wa juu
Nani atakaa kwenye chama ambacho viongozi wake wanaropoka matusi tu km mdee na lissu
 
Teteeni tu wakati vitu vinajonesha
FB_IMG_1591880696907.jpeg
 
Chadema inakufa kwa ujinga wa viongozi wa juu
Nani atakaa kwenye chama ambacho viongozi wake wanaropoka matusi tu km mdee na lissu
Kama Chadema imekufa kwanini mnatumia Jeshi, Mahakama, Na vyombo vingine?
 
Usanii wa CCM umeshawastua na wadau wetu wa maendeleo... aka mabeberu.

Sasa tujiweke mguu sawa maana tayari wameshaingia Kwenye rada za US, EU, UK.

Kilichobakia kinasubiriwa ni huu uchaguzi mkuu kama tukicheza nao tu...basi safari za Ze-hegi zitaanza kama zile za Kenyatta na rafiki yake.

Hawa jamaa si wa kuchezea kabisa!! Joseph anawajua fika ndiyo maana kaamua yeshee!!
 
CCM toka mwaka 2015 walitumika sana kuzuia kuenea kwa upinzani hasa kuzuia mikutano ya kisiasa ya upinzani na kuruhusu mikutano ya CCM pekee nchi nzima.

Ilitarajiwa kufika mwaka 2019 upinzani wote uwe ushakufa either kwa hila au kwa pesa, ndio kulichachamaa ununuzi wa wabunge na madiwani na ndio mwaka wakahakikisha wenyeviti wa mitaa wote ni wa CCM.

Wakaja ajenda ya kuwatoa mameya wote wa upinzani hasa chadema kwa nguvu au kwa pesa.

Wakaja na ajenda ya kuwachagulia upinzani viongozi ikashindwa hasa chadema.

Uchaguzi wa 2020 unakuja wanashangaa na kuwa na hofu na chadema sasa wafanye nini na mwenyekiti wa CCM hapendi upinzani hsa ushindani hataki kabisa.

Kwa sasa kete pekee ni kutumia vyombo vingine vya dola kuangalia namna ya kukifuta chama ili apite bila kupingwa.

Ameshajiwekea ulinzi wa kutoshitakiwa kwa sasa haogopi kufanya atakacho na ndio anaenda kufanya.
Tulia wewe. Naona sasa maharage yanarikaruka.
 
Back
Top Bottom