Wana CCM wenzangu tuongeze bidii jamaa wanatuzidi

Wana CCM wenzangu tuongeze bidii jamaa wanatuzidi

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,558
Reaction score
31,966
Sijui tumeanza kuchoka?sijui tumeanza kuzembea?mbona kama tunakata pumzi? Leo hii sisi wa kushindwa kuwaponda na kuwatukana Chadema na Silinde na Juakali?

Hawa jamaa ni wageni hawajamaliza haya mwezi lakini naona wanakuja kwa kasi.sisi tunakwama wapi? Halafu wakipewa nyadhifa tuanze kulalamika kuwa wageni wanapewa vyeo.

Wakati tunazembea sana...wao wanaonekana wana uchungu kuliko hata sisi wa miaka na miaka. Tujipange jamani...tushambulie kwa pamoja na kurudi kulinda kwa pamoja. Tucheze formation ya 11, 11, 11. Wote kumi na moja tunalinda. Wote kumi na moja tunamiliki mpira pale kati na wote 11 tunashambulia.

Uchaguzi mwaka huu tusije laumiana baadaye wenzetu wakianza kuulamba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom