ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. F

    JamiiForums Tanzania CCM Wapongezwe kwa Kuiogopa CHADEMA, Wasibezwe!

    Tangu mwaka 2010 Chadema kilipokuwa chama kikuu rasmi cha upinzani nchini, siasa za Tanzania hazijawahi kubaki za kawaida! Kwa wenye kumbukumbu nzuri, tangu mwaka 2010 chama kilipoanza kuongozwa na Freeman Mbowe, CHADEMA kimekuwa chama pekee cha upinzani nchini kinachokua mfululizo (both...
  2. Mikopo Chefuchefu

    JamiiForums Tanzania CCM, Tumeshampata Rais, sasa mtuwekee wazi gharama za kuchukua fomu za ubunge na udiwani nchi nzima watu wajipange!

    Maana kulijitokeza malalamiko ya gharama kubadilika badilika kama hali ya hewa kwenye uchaguzi uliopita. Wekeni standardized amount ili wa kudunduliza waanze kudunduliza kiasi kitachotakiwa!
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli: Wagombea watarajiwa wa CCM wajipime kwanza kama wanatosha, wasikurupuke tu na kwenda kukiumiza chama

    Rais Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM amewataka wagombea watarajiwa katika uchaguzi mkuu wajipime kwanza kama wana ubavu badala ya kukurupuka. Amewataka wagombea kujipima uwezo wao na kulinganisha sifa walizonazo na zile za watia nia wengine kama huna unachowazidi ni heri ukakaa pembeni...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kinondoni, Dar: TAKUKURU inawashikilia viongozi wanne wa Jimbo la Ubungo(CCM) kwa tuhuma za rushwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) Wilaya ya Kinondoni, inawashikilia viongozi wanne wa Jimbo la Ubungo(CCM) kwa tuhuma za rushwa pamoja na kuanza kampeni za uchaguzi mkuu kabla ya muda.
  5. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polisi iepuke kabisa kuwa Polisi ya USA dhidi George Floyd!

    USA ubaguzi wa rangi na matendo ya kinyanyasaji yalizidi sana. Mpaka leo bado kuna Miji inatangaza maandamano. Nimeona waandamanaji wanaokuwa tayari kugongwa hata na magari ili wafe kwa ajili ya uchungu wa manyanyaso hadi kifo ya mpendwa wao George Floyd. CCM yangu inaingia kwenye Uchaguzi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna siku CCM Zanzibar ilipata tabu kama tarehe 25 - 28 Oktoba, 2015

    Kama mtakunbuka hali ilikuwa tete Zanzibar kwenye kinyanganyiro cha uchaguzi wa 2015 Zanzibar. CCM ilikuwa na hali Mbaya katika Maeneo yote. Uwe po Wa GNU kilikuwa kikwazo cha kwanza. Kukataliwa kwa ccm na wazanzibari kilikuwa kikwazo cha pili. GNU kuliinyima CCM Zanzibar bar Uhuru...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Vijana wa familia maskini tuungane kupambana na hawa wakoloni weusi wa CCM

    Wakuu. Tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu napenda kuwakumbusha vijana wa nchi hii, hasa wale wanaotoka familia masikini mijini na vijijini kuwa imewapasa kuelewa kuwa nchi hii inapelekeshwa na hawa wakoloni weusi wa CCM kwa sababu wao wana advantage moja ya kuwa na urahisi wa kuitafuna keki ya...
  8. Kadoda nguku

    JamiiForums Tanzania Mfumo uliopo hivi sasa CCM unawapendelea waliopo madarakani kuliko watangaza nia

    Wabunge waliopo madarakani wanapita wanakutana na wajumbe wapiga kura wanagawa fedha, matishirt n.k. lakini watu wengine wanaotaka kuomba kuteuliwa nafasi hiyo ni marafuku . kwa mtindo huo ni vigumu kupata sura mpya zitakazo ingia madarakani. Hivi chama hakioni utaratibu huo unawapendelea...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tetesi: NCCR - MAGEUZI kuitisha Mkutano Mkuu ili kutangaza kumuunga mkono Mgombea Urais wa CCM 2020

    Inasemekana haya ni moja ya Makubaliano yaliyofikiwa kutokana na vikao vilivyofanyika Ikulu kati ya Mwenyekiti wa CCM na James Mbatia, Nipe nikupe! Sasa kwa vile kikao hiki kitaitishwa hadharani basi tuendelee kusubiri na kujionea maajabu yaliyochanganyika na aibu . Ilianza TLP , sasa NCCR-...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania CCM yaunda 'ukawa' yake dhidi ya CHADEMA

    Mwaka 2015 CHADEMA na vyama vingine vya CUF, NCCR - Mageuzi na NLD, viliunda umoja uliojulikana kama UKAWA dhidi ya Chama cha Mapinduzi CCM kwa lengo la kuiondoa madarakani. Mwaka huu 2020 CCM imeunda muungano wake na vyama vingine vya CUF, NCCR na TLP dhidi ya CHADEMA. Ina maana CCM pamoja ya...
  11. J

    JamiiForums Tanzania CCM ijikite kwenye Siasa ya uchumi iachane kushughulikia hawa akina CHADEMA maana wameshajifia, Uchumi wa dunia unadorora!

    Kwa ukubwa wa kiumri na majukumu iliyoyonayo CCM si haki wala wajibu kutumia muda wake mwingi kushughulikia vyama vidogo vidogo vya upinzani mfano wa Chadema na ACT wazalendo. Ifike wakati sasa CCM ijikite kushughulikia maswala makubwa ya uchumi katika level ya taifa na ile ya mtu mmoja mmoja...
  12. J

    JamiiForums Tanzania CCM siyo wajinga, wajinga ni wanaoilinda na kuiwezesha kuiba kura ili iendelee kutawala

    Habari wanajamvi. Ni ukweli usiopingika kwamba CCM imechokwa na wananchi.kila indicator inaonesha hivyo. Sababu za wananchi kuichoka CCM ni nyingi sana,sitaki kurudia kuzitaja bali nataka niseme nilicho kusudia kuwasilisha kwenu. Naam, CCM siyo wajinga kama chama bali wajinga ni watu na...
  13. B

    JamiiForums Tanzania CCM joto la 2020 lapanda kupita kiasi

    Kipindi : Msumari wa Moto OLE MEDEYE: RAIS KIKWETE ALITUVURUGA/LOWASSA HANA FEDHA/ALITAKA KUMBEBA MEMBE Goodluck Ole Medeye alijiunga na Umoja wa Vijana wa 1968 uliofahamika kama TANU Youth League, 1977 aliiona CCM ikizaliwa kufuatia TANU na ASP kuungana. 1992 mfumo wa vyama vingi kuzaliwa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni chaguo la Mungu amebeba maono ya nchi siyo CCM ni vema Chadema na wapinzani wamuunge mkono

    Kiukweli kila nikimtazama Rais Magufuli naona dhahiri amevuka level ya siasa za vyama na sasa anaitumikia nchi katika mustakabali mpana. Kwa namna anavyoenenda ni ukweli ulio wazi Rais Magufuli anatumikia maslahi ya nchi japo kwa kuongozwa na Ilani ya CCM lakini kwa ubunifu binafsi wa kuleta...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni chaguo la Mungu amebeba maono ya nchi siyo CCM ni vema Chadema na wapinzani wamuunge mkono

    Kiukweli kila nikimtazama Rais Magufuli naona dhahiri amevuka level ya siasa za vyama na sasa anaitumikia nchi katika mustakabali mpana. Kwa namna anavyoenenda ni ukweli ulio wazi Rais Magufuli anatumikia maslahi ya nchi japo kwa kuongozwa na Ilani ya CCM lakini kwa ubunifu binafsi wa kuleta...
  16. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Maendeleo hayana vyama, wapinzani mkubali CCM imebadilika na imefanya makubwa

    Waswahili wanasema mnyonge myongeni ila haki yake mpeni. Vyama vyote vya kisiasa vilianzishwa kw nia moja kubwa ni kushinda uchaguzi na kukamata dola ili kuwatumikia wananchi. kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015 Ccm kilionekana kama chama ambacho kimechafuka na hii ni kwa sababu kulikuwa na...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa waliosema wamehama vyama vyao na kujiunga na CCM kwa kuwa wananafurahishwa na Magufuli, siku Magufuli muda wake ukiisha wataenda nae Chato?

    Hakuna kitu kilichokuwa kikinishangaza - kama sio kuchefusha, kama kumsikia mwanasiasa, mwanaume au mwanamke mzima ambaye tunatumaini ana akili timamu na za kutosha, akitamka hadharani kwamba ameamua kutoka chama chake kwa kuwa eti amefurahishwa sana na Magufuli! Hivi kweli hawa wanasiasa...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: CCM yawatupa waliosaliti vyama vyao na kuikimbilia, makubaliano ya kubebwa yatupwa rasmi, kila punda kubeba mzigo wake

    Haya tuliyaona mapema na tukawaonya wasaliti wote kwamba Usaliti ni laana na inateketeza hadi kizazi cha 4 kwa bahati mbaya wakaona kununuliwa kama mafungu ya dagaa ni kuzuri, sasa yamewakuta. Hivi mbunge kama Mtolea wa Temeke atamshinda nani kwenye kura za maoni ?
  19. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania CCM ikicheza na Waitara jimbo linaweza kurudi CHADEMA

    Nimekuwa na Interested sana na Siasa za Jimbo la Tarime vijijini kwa Sasa kuliko majimbo Mengine. Hii ni baada ya Naibu Waziri Tamisemi kuonyesha Nia ya kulitaka hili Jimbo kwa udi na Uvumba. Nini nakiona Tarime vijijini. Kuna Kosa kubwa la kiufundi linafanyika kwa chama changu NDANI ya Jimbo...
  20. MEXICANA

    JamiiForums Tanzania GE2020 2015 ilikuwa zamu ya CHADEMA, 2020 ni zamu ya CCM

    To be honesty, CHADEMA 2015 mlikula bata Sana katika uchaguzi ukilinganisha na CCM, pamoja na kwambaMzee Lowassa hakuwa na hoja na nguvu ya kushawishi watu,lakini bado watu tulikuwa tumefall in love to CHADEMA without any reason behind. Kwanini? Kuna sababu kama mbili za msingi. 1. Kuchoshwa...
Back
Top Bottom