ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. chawa wa mama

    JamiiForums Tanzania Kwa kutumia hoja CCM ni dhaifu Sana, hata mtoto wa kidato cha pili aliyesoma Civics anawagalagaza

    Kwa ndugu zangu wa damu CCM ukiondoa kutumia nguvu ya dola na ubabe wa kulazimishwa kupendwa kwa vitisho hawana hoja katika mizani ya siasa. Kumshambulia mwenyejiti Mbowe kwa hoja za udikteta, ufisadi na mengine ni daliki ya kumwogopa tu kwa namna alivyoweza kuwa jiwe ktk kipindi ambacho...
  2. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Pascal Mayalla: Je inawezekana CCM kuogopa Tume Huru ya Uchaguzi inaogopa kupoteza kiti cha Urais na majority bungeni?

    Swali langu ni hili..... Kwa nini CCM inaogopa kusiwe na Tume Huru ya Uchaguzi (kwa maana ya tume itakayoteuliwa na chombo huru chenye wawakilishi kutoka all cycles of life)? Je, inaogopa kuwa uchaguzi utakuwa ni wa huru sana na hivyo kupelekea uwezekano wa CCM kupoteza kiti cha urais na...
  3. J

    JamiiForums Tanzania David Silinde ni mbunge pekee aliyepongezwa na Rais Magufuli, CCM huko Momba mpokeeni kwa unyenyekevu!

    Najua pongezi za Rais Magufuli kwa mbunge wa CHADEMA aliyemaliza muda wake David Silinde hazitapokelewa na watia nia wengine wa Momba akiwemo Wakudadavuwa. Lakini kwa Silinde huu ni mguu mzuri kwa safari aliyoianza na asipopaparika anaweza kurejea bungeni kwa kishindo Maendeleo hayana vyama...
  4. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli: Nina uhakika wabunge wa CCM watarudi bungeni, lakini ambao hawatarejea tunashukuru kwa mchango wao

    Vyama vya upinzani mmeona hicho kigongo kutoka kwa mshika dola? Maneno haya aliyoyasema Rais yalipaswa yatolewe kwenye CCM campaign rally na siyo ndani ya chombo huru (at least kikatiba) kama bunge. Ana audacity ya kuonyesha upendeleo wa wazi kwa chama chake mahali ambapo si pake (bungeni) na...
  5. Superbug

    JamiiForums Tanzania Star tv mmezimwa na CCM au wapambe wa CCM?

    Inaumiza saana mijadala huru inazimwa na CCM na watu wa idara ya usalama wa taifa anyway na mijadala yenu itazimwa miaka mitano ijayo .
  6. S

    JamiiForums Tanzania Siasa za hamahama zimefeli kwa asilimia zaidi ya 90 kimalengo

    Ni wazi mpango huu umefeli kwa kiasi hicho kwasababu waliobuni na kutekeleza mpango huu wameshindwa kabisa kufanikiwa kuwashawishi wanasiasa wenye damu ya upinzani na wenye ushawishi katika jamii kuhama vyama vyao na kujiunga CCM. Kwa upande wa CHADEMA,wale waliokuja na Lowassa na kuondoka na...
  7. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM Zanzibar haipambanii Dkt. Ali Mohamed Shein kuongezewa muda kama huku bara?

    Ukianzia na Bunge, UVCCM na baadhi ya makundi ya watu wachache hasa wanaccm wako mstari wa mbele kabisa kupaza sauti na kupambana Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibadilishwe ili tu kuweza kumpa Magufuli nafasi ya kuongoza kwa kipindi cha zaidi ya miaka mitano. Wengi wa wanaodai...
  8. Influenza

    JamiiForums Tanzania Wabunge watatu wa Viti Maalum CHADEMA watangaza kuachana na chama hicho na kujiunga CCM

    Wabunge watatu wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Dkt. Immaculate Sware Semesi, Anna Gidarya na Latifa Chande wametangaza leo Bungeni kuondoka katika chama hicho na kujiunga na CCM. Dkt. Immaculate Sware Semesi na Latifa Chande ni miongoni mwa Wabunge waliotakiwa kujieleza baada ya kukiuka agizo...
  9. ndanda masasi

    JamiiForums Tanzania Suleiman Bungara (BWEGE) Mbunge wa Kilwa Kusini: "Kwaheri CUF, hodi ACT Wazalendo"

    Mbunge wa Jimbo la Kilwa Kusini Mhe.Selemani Bungara (Bwege) ametangaza kukihama chama Cha Wananchi Cuf na kuhamia chama cha ACT Wazalendo azalendo mara baada ya bunge kuvunjwa hapo kesho. --- Ifahamike kuwa, nimeitumikia nafasi ya uwakilishi wa wananchi kwa maana ya ubunge wa Kilwa Kusini...
  10. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: ACT - Wazalendo na vyama washirika, Januari 2021 kuitisha Bunge maalum la bajeti kuifuta hii inayopitishwa kesho na CCM

    Zito Kabwe amesema hili leo wakati akiichambua bajeti ya Magufuli 2020/2021 pamoja na kutoa mwelekeo wa chama chake kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba, 2020. Amesema kama chama cha ACT - WAZALENDO kitapata ridhaa ya wananchi wa Tanzania kupitia sanduku la kura ktk uchaguzi mkuu wa mwaka huu na...
  11. katoto kazuri

    JamiiForums Tanzania Chama Ni CCM

    Cha kilichokaa kwa kishindo kabla na baada ya uhuru ni hiki chama wa leo hakitetereki . Hakina mpinzani ni cha kitaifa,kimataifa na kipenda chama cha mapinduzi. ''Tumeipenda wenyewe'' ''Chaguo letu milele'' "Wanune wapasuke" ''Acha waisome namba eeh'' ''Isombe namba '' "Ccm mbele kwa mbele"...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe 'azitoboa' bajeti 5 za serikali ya CCM Mpya

    June 14 2020 Source : Wazalendo TV KIONGOZI wa chama cha siasa cha ACT- Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, amekosoa Bajeti kuu ya serikali na kusema, kila bajeti inapaswa kutafsiri maono, malengo na shabaha, ambazo hazijawahi kuonekana tangu Rais John Magufuli, kuingia madarakani.” Akizungumza...
  13. funaku

    JamiiForums Tanzania Baraza la madiwani Halmashauri ya Rombo lahamia CCM

    Katika muendelezo wa opersheni kali ya kuifuta Chadema mwenyekiti wa UVCCM Taifa amewapokea madiwani zaidi ya 27 wa baraza la madiwani halmashauri ya Rombo ambao wamajiunga CCM na kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais Magufuli. Huu ni mwanzo tu...kazi inaendelea
  14. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 UCHAGUZI WA ZANZIBAR: Great thinkers, inabidi iwashangaze kuwa mpaka sasa hakuna mwana CCM yeyote aliyechukuwa fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho.

    Amani iwe nanyi, Mimi binafsi imenishangaza na kunishtua kuona kwamba mpaka sasa hakuna yoyote aliejaribu hata kujitokeza tu kuchkua fomu. Kuna maswali mengi sana fikirishi katika hili. Je ni kweli viongozi wa juu wa chama ndio watahusika moja kwa moja kutoa jina pendekezwa na kumpa green...
  15. funaku

    JamiiForums Tanzania Madiwani Watano kupitia Chadema huko Arumeru wahamia CCM

    Baada ya Humphrey Pole Pole sasa ni zamu ya Kheri James kuipasua ngome ya Chadema huko kaskazini. Huyo ni mmoja wa madiwani vijana Waliojiunga leo hii
  16. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya sababu za kuinyima kura Serikali ya CCM Oktoba 2020

    Kuelekea uchaguzi mkuu 2020, ndugu mtanzani amini usiamini unao uwezo wa kuiondoa CCM madarakani, nitaelezea kwenye uzi mwingine jinsi unavyoweza kulitumia sanduku la kura kuleta mageuzi chanya. Kwa leo naomba tukumbushane machache tu ambayo serikali ya CCM imeyafanya na hivyo kustahili kupewa...
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM isitarajie mno mteremko 2020

    Bahati nzuri au mbaya flyovers, ujenzi wa barabara pana, ndege, na meli havijafika huku kwetu Nanjilinji hivyo sio rahisi watu kupiga kura kwa kushawishiwa na vitu Kama hivyo. Wao bado wanasubiri atakaewapelekea maji ya kunywa, barabara, masoko ya mazao yao, na pesa mifukoni mwao. Wale...
  18. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali ya CCM miradi ya watu kama maji mpaka wakope ndio itekelezwe? Lakini majengo hutolewa taslimu?

    Serikali ya ccm sijaelewa njiani hugawa cash sana kuliko kuzingatia bajeti iliyopangwa katika eneo husika na siku hizi anatembea nazo hasa kwe ye nyumba za ibada na kugawa maburungutu na haijulikani zinatoka wapi. Katika maongezi na Waziri Mkuu wa India nimegundua kuwa miradi ya maki ya nchi...
  19. G Sam

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea kwa walionunuliwa na CCM. Fungua uzi ujionee uozo

    Pauline Gekul nakumbuka ulilalamika kutwezwa utu umehamia CCM sasa mbona walia lia? Halafu kumbe hata Cecil Mwambe alikuwa na kilio kama hiki kwa spika na aliandika barua ya kuomba unafuu wa deni lake ndipo akaitwa bungeni! Hii awamu hii
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Waziri Kigwangalla amwaga baiskeli Nzega

    Inasemekana ni kwa ajili ya kuwawezesha viongozi wa ccm kufanya shughuli za chama kwa urahisi , Jumla ya baiskeli zilizogawiwa ni 780 Kutoa ni moyo .
Back
Top Bottom