Lete hoja au swali lolote kuhusu CCM ujibiwe hapa

Clever505

JF-Expert Member
Jul 27, 2020
1,099
2,029
Habari zenu watanzania!

Huu ni mwaka wa uchaguzi ambapo zimebaki miezi michache chama chetu pendwa ccm kwenda kujinyakulia ushindi wake wa kishindo kuanzia kuanzia ngazi ya za chini kabisa hadi urais...

Jitokezeni kwa wingi kusapoti chama chenye uhakika wa kushinda ili mpendwa wetu Jpm aendelee kulinyoosha taifa.
 
Kwanini mgombea wa CCM anafanya maigizo haya?

PICHA YA KWANZA: Mwanausalama anjifanya muuza muhindi, akamuuzia rais
Screenshot_20200806-164321.png

PICHA YA PILI: Muuza mahindi halisi anataka kumuuzia muhindi raisi lakini anazuiliwa na mwanausalama
117301595_187190899497221_8776164224898372861_n.jpg
 
Kwanini mgombea wa CCM anafanya maigizo haya?

PICHA YA KWANZA: Mwanausalama anjifanya muuza muhindi, akamuuzia rais
View attachment 1530766
PICHA YA PILI: Muuza mahindi halisi anataka kumuuzia muhindi raisi lakini anazuiliwa na mwanausalama
View attachment 1530768
Rais ni mtu mkubwa kwa taifa chakula chake inabidi kichunguzwe kwanza ndo akile...

Asante kwa ushirikiano wako, karibu ccm.
 
Jibu jepesi ni kwamba kashindwa kubuni njia za kuajiri wasomi,Jk aliwezaje?
Asante kwa maoni yako mazuri tutayafanyia kazi na kila kitu kitaenda sawa na Tanzania itaendelea kukua zaidi kiuchumi..
Ccm oyeee
 
Habari zenu watanzania!

Huu ni mwaka wa uchaguzi ambapo zimebaki miezi michache chama chetu pendwa ccm kwenda kujinyakulia ushindi wake wa kishindo kuanzia kuanzia ngazi ya za chini kabisa hadi urais...

Jitokezeni kwa wingi kusapoti chama chenye uhakika wa kushinda ili mpendwa wetu Jpm aendelee kulinyoosha taifa.
Imekuwaje mmeshindwa kufanya na kusimamia makazi bora na mipango miji kwa miaka yote tangu nchi ipate uhuru???
 
Habari zenu watanzania!

Huu ni mwaka wa uchaguzi ambapo zimebaki miezi michache chama chetu pendwa ccm kwenda kujinyakulia ushindi wake wa kishindo kuanzia kuanzia ngazi ya za chini kabisa hadi urais...

Jitokezeni kwa wingi kusapoti chama chenye uhakika wa kushinda ili mpendwa wetu Jpm aendelee kulinyoosha taifa.
Uhakika wa kushinda kwa kutumia mabavu too pathetic
 
Watumishi wana miaka 6 hawapandi madaraja, ndio sera yenu kukandamiza haki zao zilizopo kisheria?
Sio kila jambo litakamilika kwa wakati mmoja, tunaenda kidogokidogo chagua ccm tena ili yale ambayo hayatekelezwa awamu ya 2015-20 yatekelezwe 2020-25

Karibu ccm
 
Back
Top Bottom